Hajra pisi Kali San wallah!!nikiokota fuko la hela ...popote halipo taoa ...hat km ameolewa tawapenda wote yeye na uyo bwana ake,,😄😄 nampenda San anajua anachokifnya San San big up
Munajuwa ni huruma saana watu wehusi kufikiriya ulaya ni pa zuri kuna maisha kweli ya kula chakula ya kujaziwa madawa,hewa mbaya maji mabayi kujazwa madawa imetugehuza ngozi nywele zinakatika na ngozi zimeharibika. Na
Ulaya ni umask8ni wandugu mubaki Afilika paradizo kama ulaya kuna vyote kwa nini wazungu wanazagaha zagaha ndenge kupanda kwetu afilika, ooooh afilika maskini. uwongo wazungu ni wevu saaanaaa roho mbaya za uhuwaji. Kwa hiyomupende afilika paradizo
Kaka huyu Hajra kidoti hakupendi Nimegundua
Me nampenda yeye na huyo bwana wake
I wish you were kenyan 🥴
Hajra wa watu dah au basi
Ndaro we komaa nae hivo hivo 🤣
Chawa hunabaya Steve
hajra nakupenda sana mashallah na unavojistiri na nguo.zako.nzuri na unavojitanda Allah akuzidishie hongera sana
Hajra ana dharau furani hivi ya kistaarabu!!! So amazing
😂😂😂😂huyu Ndaro na Steve hunifurahisha sanaa...kazi nzuri sana wadogo zangu
Steve. Nenda uwe chawa diamond itapendeza sana. Hangers sana Steve mungu. Akubariki
Dada Hajira, Mungu akulinde 🙏💟🇨🇩
Hivi ndaro rafiki unaye Steve mweusi ni mkali kimistari ipo siku naomba kukutana nanyi mnipe mrembo Mmoja mtoto Kaa huyo mweupe 🔥🔥🔥
Hakika kazi yauchawa unaiweza kweli kaka yangu ongera sana
Steve na ndaro 😂😂😂😂mtafuteni kicheche mlete kazi 😂😂😂
Hajra mamaa wallah nakupenda sana wee mwanamke nataman uwe mke wng ningepata hata dakika moja yakuongea nawewe ningekueleza asee
Ndaroo hajiraa wanguu , ndomaana hakupendiiii , namupenda sanaaa
"Kutenda kosa sio kosa ila kirudia kosa ndio kosa"
Sawa mzee.. Hajira haingiliki jipange upya tena 😅😅
Hajra pisi Kali San wallah!!nikiokota fuko la hela ...popote halipo taoa ...hat km ameolewa tawapenda wote yeye na uyo bwana ake,,😄😄 nampenda San anajua anachokifnya San San big up
🎉🎉🎉😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Umalaya utakumalza bro 😂😂😂😂
@@FrankWillson-f2w go
😂😂😂😂😂 Steve haunaga kazi mbaya mjeshiii...
Ndaro ajra,akupedi kaka hila kazizenu no mzuri nazipendaga sana
Hajraaa chombo ya kisingidani❤❤❤❤
Ndaroooo, 254🇰🇪 twawatambua vinoma💪
Ndalo ndkubvonye npend San klip zako msarmie Stivu mweus Kali wa vit
Brozzz hizi zenu kali, yani nazipenda kinoma
ujue wewe ndaro unacheza na akili zetu huyu dada mi pisi yako kweli shenzi wewe😂😂
Waouh t'es le meilleur comédien du tz
th-cam.com/video/2nrBKw5EZjc/w-d-xo.html
Da jaman shikamo kaka Steve kweli were no chawa komedi da nawapenda sana kwa Nazi yenu jinsi iivyo zuli
Steve king of comedy 🤣🤣🤣🤣 hiyo ngoma anaingia nayo imenifurahisha Sana
Jamani nyie hua mwanifurahisha ndaro kaka mkiwa na Steve 🔥🔥🔥
Nakupend ajra 👍👍
😂😂😂😅😅😅siwezi kurudisha moyo niende marekani Steve chizi ww ndaro unanyota ,mtashinda njaaa ,nipe maneno marefu..😅😅😅
Man nyi nawaona the best comedians in the whole TZ
Ndarooo ulinoma na huyo chawa wako😅😅😅😅😅
Hajra nakupenda sana unajisitir vzuri sana allah akubarik
Nice sanah steve
Hajira Sura yake kama tunda la Upendo yaani binafsi nakupenda Sana daaaaaah sijui uko mkoa gani Mimi nipo huku Kigoma karbu kwetu Mama
Kaka nataman akukubarie nione maisha yatakuaje😂😂😂
Steeve wewe ni noma aisee,, Hongera sana
NDARO NI CHIZI 😂😂😂😂😂🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Dah stive uchawa unauweza sana, Apo ndaro itabidi akupoze ata elfu 50 kakutetea Sana 😂😂😂
Nakubali sana mkubwa ua basiiiiii!!!
Nimependa sana❤❤❤❤
Hajra mwenyewe ameisha kukupenda zaidi
Nawakubar sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
😂😂😂kwamara ya kwanza Steven akawa mshauri mzuri bila kualibu 😂😂😂
Huy chawa wangu mkusanyaj 😂😂😂😂
Chawa huna baya umekaa kwenue nafasi yako vizuri2😂😂😂😂😂😂😂
Hajra hongera good job
Munajuwa ni huruma saana watu wehusi kufikiriya ulaya ni pa zuri kuna maisha kweli ya kula chakula ya kujaziwa madawa,hewa mbaya maji mabayi kujazwa madawa imetugehuza ngozi nywele zinakatika na ngozi zimeharibika.
Na
Hahahhaa awa jamaa Wana chemistry nzuri san
Mh nawakubali San ndaro na mweusi
Keep it up the good job 🙏
Ww nakubali kazi zakosana yani mimi silali sababu ya bitubyako bavuzangu ni princefrom burundi bujumbura
Na honeeeyMuni niWapiiiii❤❤❤
Steve Ni nooma huyu jamaa😃😃
Dha ❤❤
😂😂😂😂Tuondoke bibi aaa😂😂😂😅😅babu harusi
Hawo wadada wote nawapenda mno😂😂😂😂
Kazana Kaka nakuelewa
Hajira aache kumkazia mwenzake mbona hataki kumuelewa mwenzake kutokana na njia mbali mbali na mbinu mbali mbali anazozitumia ili kumpata😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hilo steve kweli chawa pro Max
Ajira ni mimi kupimia hewa mbali😂😂. Ehee😂.
Ila wanaume mnang'ang'ania penzi😂.
Stevu naomba utuletee season ya chawa nimekufuatilia sana naona unafaa
Daaah nyie n manomaaaa🤣🤣🤣🤣🤣❤💥
Ulaya ni umask8ni wandugu mubaki Afilika paradizo kama ulaya kuna vyote kwa nini wazungu wanazagaha zagaha ndenge kupanda kwetu afilika, ooooh afilika maskini. uwongo wazungu ni wevu saaanaaa roho mbaya za uhuwaji. Kwa hiyomupende afilika paradizo
Uyojama stive anasema maneno mengi kabisa #icirorecomedy
Bro hajra mwenyewe ana kisrani huyoo adi raha 🥰🥰😂😂😂
Napend san hawa wa brooo
😂😂😂😂😂😂😂 stevu na ndaro
Bila kuficha hajra mzuri bwana
Steve banaaa bangi unazo vutaa🙌🙌🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥
Hakilii Steve muongo😂😂
Mjeshi kikofia we nomaaa
Ndaro mi nahs kama Hajira ndo kashaelewa malizia tu tumpeleke kigoma
Mupereke taratibu atakubari2 usimulazimishe ngombe kunywa maji barimushawi awenakiu
Steve Nimekubali😁😂
Ahha zuri kaka
❤Hajraa
Aiseee hii video kweli mmenivunja mbavu eti "nimtoe babu harusi".😂 Na kushituka kwa steve anapoambiwa awagawie hela laaa
dada ajra mzuri sana mashaallah
mtashinda njaa leo😂😂😂
Mtashinda njaa stive bwana 😂😂
Oyaaaa nakiri kabisa bongo akuna Kama steve
😂😂😂nakupenda steve
Like zangu kama unampenda steve
😂😂😂anaolewa atake asitake
Steve nawashukura na miamba ya wa kenya tunakupea 100% ni moses barasa nikiwa Nairobi kenya
Ndaro moja hiyo🤣🤣🤣🤣🤣
Mh huy hajira kk hukupend😂
😂😂😂❤❤❤ Steve wewe
Chawa Steve😂😂😂
hahahaha kaka ila hajila Mzuri muoe asee
😂😅😅😅hajra penda ndaro
I say steve mumetisha apo mumejua kuzingua kweli 😅
Uko kuzunguk nakuangalia juu kama bongo movie
Broo naon munajua kushawish aise
Nakubarisa stivu
🤣🤣🤣🤣🤣 ila ndaro nakukubali sana
Stive unajua kuigiza kma chawa atr😅😅🖐️
Steve hata vile unact,dem haezi kubali coz anaona kama ni kama kichaa,but big up bro
Ila niwajinga nyie duu😝😃😃😃
Wehusi ulaya ni umaskini mtupu tupende Afilika yetu Mungu alitubariki kwa yote.
Hajra mrembo kwel
stive ndaro 😂😁😂
Finally found this😂😂
Stevu nakukubal sana kaka unanifanya nakuwa na furaha sana