Bungoma residents gather to see mysterious wide cargo load, 'mnyama'
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 28 ก.พ. 2024
- Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya
It's interesting how we appreciate the little things
Watu wamekosa kazi kweli
Yeah hawana kazi ya kufanya ningeomba uwasaidie na job ili wawe busy
My CRE teacher MR Buteyo
I just marvel at what the human brain can do. From the driver, the one who built the trailer, the one who built the load. The human brain is a mystery.
Mnyama ndio nini wadau 😮😮nisadiwe nimechoka kupretend
That thing looks like a boat
Ichunguzwe sana isikuwe ni un wanahamisha lake Victoria 😅
That guy Martin is a story teller 😂. The accent is perfect.
This was a random recommendation on my feed. For us non swahili speakers, can you give a summary? He seemed to be enjoying himself.
All the way kutoka kpa, mazeras, mariakani, samburu, voi, mtito, machinery,kbz, mutomo, kitui, kabati to Nyeri watu wametulia tuu wakiona mnyama…lakini wacha ifikeko puungoma😂😂😂
puungoma ndio nini?
What is inside? Could be magendo open and see what loaded. Waweza kuwa nu watu wenu wamebevwa nateka?au ni mashua meli!
Mumeomatu mreport ikishafika pungoma ndio watu wa pumgoma waonekame washamba na kuingilia waluhya😂😂😂😂😂😂😂,,,ni sawatu
😂😂😂
I'd have wanted to witness it live, yet I'm not idle nor mshamba, we don't usually see such large, long and wide cargos on our roads, some with narrow bridges and low flyovers.
Wow just a ship
But what is that thing called Munyama😮
Next ni wapi?
What is the truck carrying?
Mnyama mwenyewe
Muwakuchukia watu wa bungoma lorrl au tureles sihua zkipita kila wKata tuliona mnathaurau waluya sana
Babukusu base❤❤❤
Can the truck fit in a fuelling station while having Mnyama on it?
There is an escort pick-up both leading and trailing behind carrying fuel and equiped with sirens.
@@TheRonoTV2024 Ook!
Mnyama sio hiyo cargo lakini ni huyo mnyama ( gari)
Washamba
Wangepea waluhya holiday
Si uende holiday na mamako.
@@bensonngichabe946 Umemuambia tu poa
Nonsense lazim utaj luhya...wenye wamekua kwa road coast n nkr n luhy
That's ship
wanyama ndio wengi zaidi ya mnyama
Watu wa bungoma washamba
😂😂😂😂😂😂😂😂
Akii watu wa weta na chepkati ni tabu tupu
Huyo mnyama anaenda Uganda sis pia tunamsubir hapa Kampala 😅
😂😂
A boat is mnyama walahi
Kwani before ifike bungoma walijua aje ni mnyama,si lazima Kuna mahali ilipita ndio ikaitwa mnyama kila mtu Kenya ako idle si waluhya
From bloggers to national TV
Mwawashangaa nini sasa 😂..zamani hizo hata gari likionekana ilikuwa maajabu hata gari la moshi likipita ilikuwa shagwe kwa watoto na wa watu vijijini na mijini😂😂
Ndege ndio ilikuwa sana
What's being transported?
Probably a ship 🛳️
Ugali
A huge girl
Washamba wako kila mahali but hao wote wanatoka ocha. Let's take development yenye iko Nairobi ocha watu wajanjaruke kiasi bana... This is embarrassing
What an idle society in Kenya at large 😮😮
Even in US people lineup on road to see this big transportation almost everyday
And you're idle to comment too 😂😂😂 kumbe hauna kazi?
😂😂😂
Sasa mashua ya kifahari imekuwa mnyama? Viongozi haswa walio katika wizara ya uchukuzi au ile ya taarifa za habari ingetoa tangazo maalum kwa minajili ya usalama barabarani kuhusu usafirishaji wa mashua hadi nchi jirani kupitia barabara kuu ya kaskazini. Hakuna haja kuwatweza wakaazi wa jiji la Bungoma, naamini kila mwanadamu huwa na udukuduku kutazama kitu asichokielewa.
Did the state offer any notice on the movement of this yacht ,abnormal load movement.
The news were all over in newspapers,local broadcasts etc
Yes .. very gazetted
Yatch inaenda wapi sasa mku? 😂😂😂
@@Kanjo22 most likely lake Victoria.
Kongole kwa dereva
Huyu ikifika destination na alipwe aende retirement...😮
Ni Mary au?
No..ni Joseph 😅😅
@@oxalismediake216😂😂😂😂
Clear the streets accidents don't knock🤣🤣🤣🤣enyewe bado tuko enzi zile za mawe nimekubali
😂😂😂😂😂😂
But its good to see people curious and appreciating
😂😂😂😂😂😂😂
Ushamba ni kitu mbaya Haki 😂
Yo tulitoka Garden of Eden sote hadi wewe ni mshamba k😅😅
🚢⚓ shipping
African mind is so little.,... Surely... Others are in Mars... What a society?? 🤔
Haka ni kamnyama.Mnyama angejaa barabara zote mbili.
sasa hii ni news 😏🤔🤔
My thoughts exactly
ata mi nashagaa😂
Na hii Nini kweli
Yacht- boat ya kifahari.
Really guys is this news or just a waste of time
Regina thomas president uganda omoro kpitlcity yellow moment's ❤😂🎉😢😅😅😊
I love kenyans😅😅😅😅
Kwani watu wa Bungima hamna kazi😂😂😂
Wewe kazi yako ni online ama
Eey people are idle
Hamna kazi ya kufanya? Too many idlers.
These are spotters, like plane spotters, birds spotters etc. That's why also many of us are watching mnyama on youtube.
Haki watu wa pungoo........sitaki kutusiwa lakini ushamba 😂😂😂
Mwendo wa kope ama kobe😂😂😂😂😂
Hahaha
Kwa hamu na kamu