Mashaallha !!!! nakuombea kila la kheri katika ukuwajii wako akukuze na kipaji chako akuepushe na kila mwenyee jicho la husda na kukuwazia mabaya 👏👏aminaaaa
mheshimiwa ndalichako, nadhani upo kumsaidia Magufuri watoto hawa tusiwaache wazazi wakitafuta wafadhili .mungu ameonyesha upendo kwa watanzania kutupatia kizazi cha aina hii
namuomba sana sana baba wa huyu mtt amtie na madrasa asome dini yake amjue mola wake na mtume wake ili apate kuinusuru nafsi yake pamoja na uislam km wao wt ni waislam allah atamjaalia ishallah awe mtt mwema mwenye kumcha mola wake akijua kua kuna adhabu kubwa siku ya kiama..
kuna vitu binadamu hatuwezi kuelezea ni mungu anajua .... serikali ni jukumu lao kuona ni namna gani kumsaidia maana naye anatakiwa kuwa ktk kundi la wenye mahitaji maalum...
yan anashusha ova kapitia hata chekechea kumbe hata ni uwezo wa mungu nimefurahi kusikia anapenda kua nan na kwa somo kma hili anavyofanya bila shaka hata hayo mengine atakua vzr na nimependa zaid kwa kua dini anaijua vizur mistar ya biblia anaijua na kukusome vyema mungu ni mwema azid kukujalia vyema afya dhabit
Huu ni mfano mzuri kudhihirisha kwa alichoikiumba Mungu hakifi, kinaacha mwili, huyu mtoto aliishasoma mpaka vyuo vikuu huko kwenye nchi zinazozungumza kingereza, akafa na kuzaliwa tena Afrika (incarnation)..
kuna maswali mengi ya kujiuliza. mother tongue yake ni swahili or english? wanao mzunguka wanaongea lugha gani? Nilimsikia akisema kuwa yeye alijifunza mwenyewe kiingereza sipati majibu!
serikali iwajibike kuwasomesha watoto wa aina hii. nchi kama China ilipeleka watoto wenye kipaji America enzi ya rais mao tse tung hivi sasa America wamezidiwa kimaendeleo katika antenna zote touching.
🤔🤔🤔huyu mtoto amejulia wapi hizi hesabu kama mm nilikwenda kuzipata form one na anafundisha kabisa ni kama ashamaliza university teachers college huyo mtoto aandikwe kazi mara that that
Kweli wa zazi walimlea vizuri sana ndo mana anakipaji kama hicho, pia kulingana na mazingira anapoishi mtoto huyo, mara nyingi vibaji vya watoto vinaharibika bale tu ambapo mazingira hayatoshi mtoto kukua kielimu zaidi.
MAINSHAALAH kama mjukuu wangu maskini Mungu wabariki
Mashaallha !!!! nakuombea kila la kheri katika ukuwajii wako akukuze na kipaji chako akuepushe na kila mwenyee jicho la husda na kukuwazia mabaya 👏👏aminaaaa
safi sana mtoto Mzuri Mungu akujarie ufike mbali zaidi
Jamani mimi nauliza uyu Mtoto kwa Sasa yupo wapi!!!
It can be a national debate
Maajabu kweli professor mtoto
mheshimiwa ndalichako, nadhani upo kumsaidia Magufuri watoto hawa tusiwaache wazazi wakitafuta wafadhili .mungu ameonyesha upendo kwa watanzania kutupatia kizazi cha aina hii
Masha Allah dunia yaelekea,Maana huyu amezaliwa na kipaji chake hata ukasomee wapi humuwezi.
kwel kabxa
this is a Qualifiied teacher according to my own Education System
GENIUS CHILD! GLORY TO GOD.
knoma sana
Anatakiwa apelekwe kweny shirika la watt marekani genius children
Good job, finding the gradient/slope of a line.Good introduction to the very basic aspect of calculus. U r great my boy.I celebrate u little man.
Mashallah mtt kasoma tumbon
GOD protect the boy with your blood blessed him halleluyia whatever he does.
mungu azid kumbariki mtoto huyu ninaiman hawa ndo akina newton wajao
Mashallah napenda anavyoshika chaki
Genius,praise God Amen.
Mashallah mungu amlinde na husda za walimwengu
namuomba sana sana baba wa huyu mtt amtie na madrasa asome dini yake amjue mola wake na mtume wake ili apate kuinusuru nafsi yake pamoja na uislam km wao wt ni waislam allah atamjaalia ishallah awe mtt mwema mwenye kumcha mola wake akijua kua kuna adhabu kubwa siku ya kiama..
May da Lord make my kids like this kanifurahisha kweli...daa Mungu azidi kumuinua kwakweli
He is an immimickable boy. Excellent!
We should have our own version of Guinness world of records. ..mere TH-cam clip is not enough a place to celebrate this genius
huku mm najua tu magufuli Uhuru na mseveni! dah mashala
Very good boy you are a genius
subhana Allah
masha Allah mola akuzidishie elimu insha Allah.penda ww son
Ati listen YOU children kwani wewe ni mzee..aki mungu njoo
Haja😂😂😂😂 mzee
woow intelligent boy,,, keep it up
Akafanye
Mtihan
Udsm
asichelewe nakwendelea badae 2020 agombeee urais
ataongoza inch anaonekana mzarend
kuna vitu binadamu hatuwezi kuelezea ni mungu anajua .... serikali ni jukumu lao kuona ni namna gani kumsaidia maana naye anatakiwa kuwa ktk kundi la wenye mahitaji maalum...
Jesus is around the corner for those with spiritual eyesight, wake up guys
Ust Hamza Issa Tanzania sure
Idiot
Ust Hamza Issa Tanzania true Jesus is coming
Ust Hamza Issa Tanzania your right
mashallah mashallah mashallah wallah Allah ibariki fiki khabibi
special group need much care .....yawezekana nabii maana cikuwahi kusikia kabla
duh, mungu ambariki daima
Huyo ni malaika
Jamani wengine sijui tulipewa ubongo wa kuku ?
,😂🤣🤣🤣
Nice chidren
this is incredible...the next archimedes
Wah! Qiyama kweli tutaona mambo mapya kila uchao
Kabisa
MORE THAN GINIUS CUTE LITTLE BOY, GIFT FROM GOD.
Vipaji kweli ipo...... Asante maulana
daaah dogo hama bongo wanga wengi nenda mamtoni Daah Mungu ni mwema kwa watu wake
ah huyu mtoto balaaa hish nomaaa aisee amizng!
very nice teacher I like
mmm mwenyezmungu aendelee kukuongoza
Wah....nimetii
masha,Allah masha,Allah.he is a genius boy
Yuko vizur sana,akufundishe university
God's grace is sufficient,,, walalala
mtoto huyu anakipaji mashaallah
itham...hpnaa baby boy u ar clever aiseeee.....maintain ur cleverness.... congrats parents...
jaman jaman jaman huyu mtoto ameniacha hoi kabisa mungu ambariki nahic atakuja kuwa Rais was nchi hii
Mashalaa mungu mkubwa
Gifted kid, Mashaa Allah.
Dogo yuko vizuli ataliiiii hiiiiiiii apewee tengo ha kwaa wenzieee watoto
nimeshangaa sana Allah Akbar Maashallah.
Hawa ndio time traveller wenyewe
This kid is just amazing
He's a great man of God as well
he is intutor! ni wampeleke akasomee tarent yake kuwa mtaalam zaid
you forgot.. that is not y1.... thats very nice thanks God...
Mimi naona apelekwe apitie vyeti vya wakuu wa mikoa wote uwenda akatusaidia
genius 🙌 Kid
Thank you lord for giving upcoming professors,
huyu ni gifted mzee baba kama hamja elewa hawa wanatakiwa kupewa kipaumbele na serekali
yan anashusha ova kapitia hata chekechea kumbe hata ni uwezo wa mungu nimefurahi kusikia anapenda kua nan na kwa somo kma hili anavyofanya bila shaka hata hayo mengine atakua vzr na nimependa zaid kwa kua dini anaijua vizur mistar ya biblia anaijua na kukusome vyema mungu ni mwema azid kukujalia vyema afya dhabit
Ooh my god mamayake cjuw ni kias gan anaona raha had unaweza kulia dah mungu amkuze maskin
MTOTO HUYU NI AZI NA YA TAIFA INAWE ZA AKASAIDIA SERI KARI YETU YA TANZ ANIA TUMUTUMIE
ngojea wabongo tukafanye ye2 nyue mtangazeni2.....mamae
hi hi Kali huyumtoto katumwa namungu
amazing...
Understood children?yes teacher like it!!!
Duh jaman hivi ni kweli
Tanzania we should use this child for development !!!!!!
which kind of development?
Mh chapa kazi dogo
Wenye F za hesabu tuko pamoja na wanaokimbia walimu
Ana pepo LA utambuzi akaombewe
Huu ni mfano mzuri kudhihirisha kwa alichoikiumba Mungu hakifi, kinaacha mwili, huyu mtoto aliishasoma mpaka vyuo vikuu huko kwenye nchi zinazozungumza kingereza, akafa na kuzaliwa tena Afrika (incarnation)..
Ni kipaji kikubwa sana kupata kutokea yafaa aendelezwe
HAMZA BAKARI aendelezwe wapi au shule ya kata
apelekwe akapitie mikataba yetu ya madin na gas huenda akatusaidia.
that is true
hahaha et apelekwe akapitie mikataba ya madin
hahahahahahahah wewe jamaa bana
Hahahahahahahaha
kijoli juma hahhaahahhahhaaahhahha
Angekuwa mwanangu ningemuogopa duu mtoto balaa huyu
ni mtoto wangu naomba namba ya wanao mtunza nimelia
anatisha Dogo jamani kiukweli
Jamani Baba yake yuko wapi aje anitilie mimba mke wangu
yussuf rashid hahahahaaaaa hahahahaaaaa hahahahaaaaa umetishaaaa
hahaaa labda ameridhi kutoka kwa mamake...
yussuf rashid mh ww noma umemchok mkeo nn
sio make wako tu had I mdada wako
baiyuu 4real hahahah
mashallah tabarakallah
yap actually he has tried his level best...congratulations to u my child....go on doing practices u will be more than ever
kuna maswali mengi ya kujiuliza. mother tongue yake ni swahili or english? wanao mzunguka wanaongea lugha gani? Nilimsikia akisema kuwa yeye alijifunza mwenyewe kiingereza sipati majibu!
mtoto katisha
he is very serious
Hii ya huyu mtoto imekua too much,inaashiria kwamba ni nyakati za mwisho,
Naam kwel KABISA maana ndipo n miujiza
safi sana
Grace Golden
kijoli juma ...hahahaaa ni shida
Isn't geometry? and what is his level? ,, talentive
daa huyu mtoto hatari sana
vpaj kama hv vsiishie mitandaon tu... wapelekwe mbele huko wakasome waje kutengeneza mikataba aliyoiacha hayat baba wa taifa
fantastic
SALHA KIDUNDA uko vzr
serikali iwajibike kuwasomesha watoto wa aina hii. nchi kama China ilipeleka watoto wenye kipaji America enzi ya rais mao tse tung hivi sasa America wamezidiwa kimaendeleo katika antenna zote touching.
Wapi hapo?
Huyo kakosa uongozi mzir rakini huyo mtoto Kama serikari unge mtumiea kufanya vitu katika elimu enge fanya kitu
Kingereza cha dogo kimenyooka zaidi ya waalimu
Wanema mtu akifa akili hayipoteyi inatembea hewani afu inaingia kwamutoto anapo zariwa huyo ariwayi hishi myaka 1856
Mimi naona bora sasa Ajiriwe jumla, kama ni kusoma kwake awe ana Upgrade tu!
Edson Kahwa tena ofis ya MKUU wa mkowa wa ......... kilaza
Glory to God
huyu mtoto Mungu alichoka wakati anaumbwa ubongo ikabid apewe ubongo wa mtu mzima aliye kuwa fufu kisha akapewa tena 😃 sio kwa y na english iyo
Nimecheka Hadi mbavu zinauma Kuna watu wazima wengine sisi Ni vilaza sijui tulipewa ubongo wa kuku
Acha kufuru ww mungu awezi kuchoka kuumba binadamu
🤔🤔🤔huyu mtoto amejulia wapi hizi hesabu kama mm nilikwenda kuzipata form one na anafundisha kabisa ni kama ashamaliza university teachers college huyo mtoto aandikwe kazi mara that that
Well done
MashaAllah
MUNGU ATUSAMEHE, NA NDIYO MAANA NYOKA ALIMDANGANYA EVA AKILA TUNDA ATAJUA MEMA NA MABAYA HAKIKA MUNGU NDIYO MAANA ALIFICHAMA
Kweli wa zazi walimlea vizuri sana ndo mana anakipaji kama hicho, pia kulingana na mazingira anapoishi mtoto huyo, mara nyingi vibaji vya watoto vinaharibika bale tu ambapo mazingira hayatoshi mtoto kukua kielimu zaidi.
Wewe usitufanye tuwaumize watoto wetu,,tukaisi awaelew kwa kuiga majini ya watu ayaa mi wakwangu ataelewa akikua jaman