MAFANIKIO KIMAISHA MIKONONI MWAKO LIFANYE HILI UTAPATA MABADILIKO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 31

  • @HusnaNgunde
    @HusnaNgunde 4 หลายเดือนก่อน

    Shukran sheikh tangu nimekufahamu na kukufatiliza kiukweli maisha yangu yanamabadiliko makubwa mno Alhamdullilah Allah akujahalie zaidi hayo ulionayo Kwajili yetu na akupe umri mrefu na Afya bora 🙏🏾

  • @MahraMansoor5969
    @MahraMansoor5969 5 หลายเดือนก่อน +3

    Usinisahau ustadh kwa duwa from uk 🇬🇧 tunakupenda kwa ajili ya Allah

  • @mwaminianasi
    @mwaminianasi 5 หลายเดือนก่อน +2

    ManshaAllah sheikh wetu ALLAH akuhifadh🤲😍😍😍. Tulikumiss.

  • @Shariffshariff-q7j
    @Shariffshariff-q7j 5 หลายเดือนก่อน +1

    masha Allah sheikh unasaidia umah kwa kiwango kikubwa sana.Allah akupe umri mrefu..na afya njema

  • @rehemarashid9829
    @rehemarashid9829 5 หลายเดือนก่อน +2

    Àsalam alaikum sheikh...sheikh mm nipo nchi ya dubai sasahivi mwaka wa Tatu huu sijarudi nyumbani ..nimefanya kazi Ila sina lolote hadi sasa ..Kila nifanyalo halina mwangaza .. nafanyakazi wiki moja boss ananichukia Bila sababu ..wametaka kunirudisha nyumbani lazima nikakimbia ...sheikh mm nimeswali tahajud mpaka nikachoka kilasiku Bila mapumziko ..naskia nafsiyangu imechoka subra nnayo Ila mwanga siuoni sheikh ...Thafadhali naomba usaidizi wako ..InshaaAllah

  • @جزيرةعبدالله
    @جزيرةعبدالله 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah shukuran nakupend kukusikiliz sn nakupend kwaajl yaallah ❤❤❤❤

  • @JonathanKebaso-yk8le
    @JonathanKebaso-yk8le 5 หลายเดือนก่อน +1

    Sheikh MWEZI MUNGU Akubaliki Azidii kukulinda na kukupa afiya nzuli unatusaidiya Sana'a 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @Aziza-z4f
    @Aziza-z4f 5 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah tabarika allah sheikh uku saudi ni balaa allah atusaide wallah

  • @SarahIrakoze-m3w
    @SarahIrakoze-m3w 5 หลายเดือนก่อน

    Asalamualeykum warahmatullah wabarakatuh shukran Allah akulipe kila lililokuwa lakheri shukran tumesikiya

  • @jumawaziri8501
    @jumawaziri8501 5 หลายเดือนก่อน +2

    nakushairi sheikh andika kitabu maalum kuhusiana na hilo la uchumi na fedha

  • @softymoha5484
    @softymoha5484 5 หลายเดือนก่อน +1

    assalam aleikuym sheikh...nakupata nikiwa saudia,,,mawaidha mazuri...mafunzo mazuri,,Mahsha Allah....naomba nami dua mimi mkenya,,nakufuatilia kila wakati

  • @ramadhaninyangasa7275
    @ramadhaninyangasa7275 5 หลายเดือนก่อน

    My roll model ❤❤❤❤

  • @abdulhakimhussein6039
    @abdulhakimhussein6039 5 หลายเดือนก่อน +2

    Assalamu alaikum warahmatullah wabarakaatuh maashaa Allah nakupenda lillahi sheikh wangu ❤

  • @fatmambano6875
    @fatmambano6875 5 หลายเดือนก่อน

    Mashallah shekhe nimelipata somo vizur

  • @jumawaziri8501
    @jumawaziri8501 5 หลายเดือนก่อน

    somo zuri saana la kimaisha shkran sna sheikh

  • @FatumaMwaduga
    @FatumaMwaduga 5 หลายเดือนก่อน +4

    Aslam alykum warhmatu Allha wabarkatuh! Shekh nifanyeje ili niweze kuhifadh kila ninachokisoma na kukisikia? Na pia shekh ukifika mida ya swali ninajisikia.mchovu sana niombee dua shekh tafadhl niswali kwa waikati bila uchovu yaa Rabi

    • @MgeniRamadhani
      @MgeniRamadhani 5 หลายเดือนก่อน

      Kuhusu kuwa mchovu muda wa swala jilazimishe ukifanikiwa Tu kuanza nguvu zinakuja gafla Ila ukiusikilizia uchovu unampa ushindi shetani, Pili kuhusu kuhifadhi yanayosemwa binafsi nina daftari maalumu ambalo huwa nanakili maelekezo yote unaweza fanya hivyo pia InshaAllah 🙏

  • @faizunmohd9839
    @faizunmohd9839 5 หลายเดือนก่อน

    Shukran jazakallah kheri

  • @saeedsaeed7381
    @saeedsaeed7381 5 หลายเดือนก่อน +1

    Masha Allah 🙏🙏🙏

  • @AishaHamis-r7x
    @AishaHamis-r7x 5 หลายเดือนก่อน

    Sheikh mm napenda sana kusoma quruan ila kila nikisoma hazikai nasahau shida nin naomba msaada wako kwa ajili ya Allah 😢😢

  • @zaliafakilavire5689
    @zaliafakilavire5689 5 หลายเดือนก่อน

    Subuhannallah mashaallah mashaallah🥰 shukrn kwa ushauri SHEIKH OTHUMANI nipo nje ya nchi kidogo dua zako kipenz chetu tunakutegemea sana ALLAH akuhifazi na akupe sikha nje 🤲🤲swali langu kwako je unaruhusu mtu kuchukua no yako huku ili nikuchek WhatsApp

    • @Naw89
      @Naw89 5 หลายเดือนก่อน

      Anaruhusu mtafute tu hata kumpigia Anaruhusu kua na amani

    • @othmanmichaelonline2866
      @othmanmichaelonline2866  5 หลายเดือนก่อน

      Ndio karibu

    • @zaliafakilavire5689
      @zaliafakilavire5689 5 หลายเดือนก่อน

      Okey shukrn sana🤲 nitamcheki kesho inshaallah

  • @HimnaMohamed
    @HimnaMohamed 5 หลายเดือนก่อน

    Allahumma barik

  • @rashdabdulazizi4193
    @rashdabdulazizi4193 5 หลายเดือนก่อน

    Maashaa Allah shekh nakupenda we roll modell wangu umeniinua kiimani na mafanikio Allah atuongezee sote,nisalimie shekh haidar nampenda pia

  • @narutonaruto4303
    @narutonaruto4303 5 หลายเดือนก่อน

    mashallah mwalim wang nakupend kwa ajil ya allha

  • @maryammdoe5801
    @maryammdoe5801 5 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @echikyabu6154
    @echikyabu6154 5 หลายเดือนก่อน

    Nini shida ya kulia wakat wa ibada

  • @qeenmarry9941
    @qeenmarry9941 5 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏

  • @جزيرةعبدالله
    @جزيرةعبدالله 5 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤