Tunakupata vizuri sana ndugu mwanahari kwa kuenndelea kutujuza habari za ulimwengu maoni yangu nikwamba sasa hawa wanao shambulia watu ambao hawana hatia kama doctor ambaye ikitokea amesurika vitani karibu na hospital hiyo anaweza tibiwa hapo jamani ni kwanini asipambane na jeshi
Kuweni waandishi wasomi na sio ukibaraka. Urusi ndiye alie vamia Ukrein,Sasa ni miaka mi 3 Urusi anahangaika anashindwa kumpiga Ukraine. Ukraine anajitetea dhidi ya mvamiziwake Urusi
Naelewa shida ni Elimu zenu . Ndo maana hata hapa waandishi wanna habari moja tu ya mpira. Jiulize zingine vipi? Utapata jibu ni ainagani ya Waandishi mnatia huruma.😅😅 Someni mu elimike,msiwe vibaraka maana hamjielewi
Tunakupata vizuri sana ndugu mwanahari kwa kuenndelea kutujuza habari za ulimwengu maoni yangu nikwamba sasa hawa wanao shambulia watu ambao hawana hatia kama doctor ambaye ikitokea amesurika vitani karibu na hospital hiyo anaweza tibiwa hapo jamani ni kwanini asipambane na jeshi
Kuweni waandishi wasomi na sio ukibaraka.
Urusi ndiye alie vamia Ukrein,Sasa ni miaka mi 3 Urusi anahangaika anashindwa kumpiga Ukraine.
Ukraine anajitetea dhidi ya mvamiziwake Urusi
Naelewa shida ni Elimu zenu .
Ndo maana hata hapa waandishi wanna habari moja tu ya mpira.
Jiulize zingine vipi? Utapata jibu ni ainagani ya Waandishi mnatia huruma.😅😅
Someni mu elimike,msiwe vibaraka maana hamjielewi