am just wondering number of viewers on this song, because i just listened it more than million times but it always brand new, and this guys produce quality contents. more love from TZ
WEUSI - GERE lyrics [ Intro - Joh] Yeah! You know whats happening when Weuse meets Nahreel, right? Oyayoo...ooohoo A city in the house! Oyayoo...ooohoo Lets go!! [ Gnako] Kama unachukia vaa miwani usione gere...gere! Kama unachukia vaa miwani usione gere...gere! Weusi hatuna...kwere! You just go...gere! Weusi hatuna...kwere! You just go...gere! [Joh Makini] Kubadili hizi mboga mbili tu tabu kwa mswahili Mganga hana mashairi jomba ni bure kupiga ramli Flow Weusi ni mbele, kanzu tobo ka Pele Mboyoyo mingi kelele, kamata tupa kule Wajukuu wa Nyerere, chuki zako ni bure Kiunoni ni sime njele, juu sipendi kelele Mavumba ni baba Fere, Temeke huita michele Karibu gheto ni sherehe, Weusi hatuna kwere Nina kibali juu ya mdundo huu so sina sorry Sinyasori wapi Shaa sina story Wivu ni kidonda umeshiriki ugua pole Chakati juu kiki...woo woo!...pole pole [Gnako] Kama unachukia vaa miwani usione gere...gere! Kama unachukia vaa miwani usione gere...gere! Weusi hatuna...kwere! You just go...gere! Weusi hatuna...kwere! You just go...gere! Kama unachukia vaa miwani usione gere...gere! Kama unachukia vaa miwani usione gere...gere! Weusi hatuna...kwere! You just go...gere! Weusi hatuna...kwere! You just go...gere! [Nikki Wa Pili] Sio gweraa hii jombaa Nikki yule yule Nilivyovaa, nilivyong'aa ni kimulimuli Viburi flow Idd Amin like nduli nduli Brain kubwa, ndoto kubwa za manguli nguli Watoto nao ni kibao siku hizi sipigi puli Usijikombe chonde chonde na makonde bure Punguza njaa lia ubao jomba kaza msuli Kwenye hela ndo watoto wanatulia tuli Benchi mnasugulia ha..hamna carrier Ah! mziki kama mbege kwangu suna kulia Ah! Yesu na Maria! Ah! Ndo tunatulia Ndo nguna inaliwa, imebarikiwa Get it? [Gnako] Kimbiza kimbiza...Usain Bolt Tupo center ya mchezo...centre bolt Hatuna penda love, Weusi mtu tano Center half no beef..no..no..no! Tulifanya ndafu, mchezo unatupa bread Mda wa chai ujuzi unasambaza umbea Mkuda hakai, hatuongei ongei Tunafanya hatufanyi fanyi, tunafanya kazi Mungu hakupi roho mbaya Sshh! Umeipandikiza Kichwa chako passport, uwezo wako ndo Visa Aaah! Tuna viburi eeh? Tuna flow vizuriii [Gnako] Kama unachukia vaa miwani usione gere...gere! Kama unachukia vaa miwani usione gere...gere! Weusi hatuna...kwere! You just go...gere! Weusi hatuna...kwere! You just go...gere! Kama unachukia vaa miwani usione gere...gere! Kama unachukia vaa miwani usione gere...gere! ...kwere! ...gere! ...kwere! ...gere! [Outro]
Tujuane tulio sikiliza Tena 2024
Wakati hii ngoma inatoka sikuwa na smart 4ni EMBU leteni like zenu apa wakuu 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 like hapa like wakuu nipo apa Daraja mbili chugga🇹🇿🇹🇿🇹🇿
nabka iyo kpind niliuziwa sabun
2024... Heshima kwa weusi sitaki mtu akifa ndio mseme pengo halizibiku weka Heshima tafadhali
Tujuane tulio ona tena 2020
Hatal
2021 hatare sana
2021 apa
Happy new year 1/1/2025 kama Mungu amekubless Umeuona mwaka salam gonga like
0:40 Joh makini
1:50 Nikki wa pili
2:58 G nakko
mamake wasenge waliunda track ya kudumu miaka
Amiiiin bro😊
Bado mpk leo hii 2019 june 🔥🔥🔥🔥
nahreeel mabiti yako hawa wajamaa wanayatendea haki
Haichuji hii ngoma🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
hatareeee big up weus tafuten promo kubwa nyimbo zenu kal
Nahreel on the beat💣
I swear Nahreel beats are always lit🔥🔥🔥
Noma xam machalii wa kaskazini🔥🔥🔥🔥🔥
2024 still my jams ❤❤❤❤
2024.... My best song from WEUSI
weusi hatuna kwereeee💪
viburi frooo idi amin
Naona King Kaka apo +254 ...Weusi kampuni +255 collaboration noma
22/11/2024 ... weusi na beat za nahreal mliendana sana
Tujuanee leoo.. kama upo unaisikiliza leò.. 13-12-2019
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Who is also watching this timeless Hit on 2018. Click like
Kama unatazama hii ngoma 2018 gonga like hapa twende sawa
2020 we here
Nostalgic beats
weuse hatuna gere wala chuke joh makini, nikk wa pill, g nako l love you
You are always Top WEUSI. Never Give Up.
Tujuane 2024
Hamuzi sample hii ngoma mkaitoa recently 😢😢😢 kali knomaa⚡️⚡️ #2023
shout out for weusi coz black is our colour in africa
Kwenye hela ndio watoto wanatulia 2li
geree
ningoma icyochuja kilack nataman niickie(bench mnasugulia)
Hatuna penta alaafu
kama una chuki vaa miwani usione Gere... bado tupo huku hadi leo 11:36 30 October 2024 .... hatuongei ongei tunafanyaa .. kazi. tuna flow vizuli
big up brothers
good sana weusi
ingekua hawa jamaa wapo marekani🙌🙌 dadeq chuga one
Mungu hakupi roho mbaya umeipandikiza tuu2020
Wimbo wangu Bora kabisa
Nakubali makini😮
2020 still hooooot daaaaaamn.
Hili goma halichuji.. Swadakta weusi.. Big up ruptute
Oyoooooo, ngoma kaliiiiii aseeee.
huwez kuwa nyerere weusi hatuna kwere.nawakubali sana washkaj toka A town
Sunday Guy U.SA (United Streets of Arusha) #A-Towm4life
am just wondering number of viewers on this song, because i just listened it more than million times but it always brand new, and this guys produce quality contents. more love from TZ
@Nahreal on the beat 🔥 @2024
King kanga from +254
Mungu hakupi roho mbayaaa
Ni December 09/12 bado nasikiliza hili dundo . It's Masterpiece 🔥🔥
WEUSI kampunii nko +254 but uwaga nawakubali sanaa mnafanya good job
“A”town Weusi , Gang gang🤟🏿🔥🌅
Weusi hatuna kwele🎉
Weuxi nawafurahia kazi yenu
Tuna viburrieeeh tuna floor vizuri sarut kwako gnako na weusi wote mtu 5
Nimekuja Tena 2024
Mpaka leo naidekeree
Geoffhmmankgfhfsvnzm
+himanshu pandey ☁😊☁☁😊☁😁☁
☁😊☁☁😊☁☁☁
☁😊😊😊😊☁😊☁
☁😊☁☁😊☁😊☁
☁😊☁☁😊☁😊☁
Weusi ur game is on top. Mko juu tu sanaa
Lord eyes mna mtenga bwana
Tunafanya kazi Mungu hakupi roho mbaya umeipandikiza.akili yako ndo passport uwezo wako ndo visa.hardest verse eva kwa rap za kiswaili no cap.
kwenye pesa watoto ndio wanatulia tuliiiiiih
Chuga boys
Sanaaah
🔥🔥🔥🔥🤝🇰🇪🇰🇪
Duuuuh... hii ni kwere, naona bado gere 2020
Daaaah
Weusi mavumba ni baba Pele, Weusi ndo international apo +255
u rock alwayz.......gere
grandfather
Dahhh ilikuwa hot sana🔥🔥🔥
big up Sana'a broh
Awa jamaa hawana upinzani kwenye gemu ya Hip hop
Tulio rudia kui zoom 2023 tudondoshe llke🔥
Eti views laki 1 not fair kabisa
in 2019 with Much love from Rwanda!
02 06 2020 am listening this song cz this song can inspired me more ..gonga like tuko ote 2020
2023 still banging with this shit
21/09/2022 Let's keep Good Music 🎶 Alive ✅🆗
WEUSI hawajawahi kukutana na hizi biti
Good song
Nakubal weus
Nikki wa Pili 💯
Ambaye amemwona Jacline wolper tujuane hapa kwa like
I support
Ninani yupo anaitazama hii 2020? Acha like hapa
still watching in 2020...this song is LIT,don play in club it will kill mauno of these pretty ladies
Hawa sio wa2 wa kawaida
weusi-waving entatainer under street institute
ni shidaaa
Oyo Oyo Mweusi gereeeeeeeeeee hahahahahahaah arusha
good music joh
Nakubali
King Kaka, Joh Makin WEUSI namba moko +254
WEUSI - GERE lyrics [
Intro - Joh]
Yeah!
You know whats happening
when Weuse meets Nahreel,
right? Oyayoo...ooohoo
A city in the house!
Oyayoo...ooohoo
Lets go!! [
Gnako]
Kama unachukia vaa miwani
usione gere...gere!
Kama unachukia vaa miwani
usione gere...gere!
Weusi hatuna...kwere! You just go...gere!
Weusi hatuna...kwere!
You just go...gere!
[Joh Makini]
Kubadili hizi mboga mbili tu
tabu kwa mswahili
Mganga hana mashairi jomba
ni bure kupiga ramli
Flow Weusi ni mbele, kanzu tobo ka Pele
Mboyoyo mingi kelele, kamata
tupa kule
Wajukuu wa Nyerere, chuki
zako ni bure
Kiunoni ni sime njele, juu sipendi kelele
Mavumba ni baba Fere,
Temeke huita michele
Karibu gheto ni sherehe, Weusi
hatuna kwere
Nina kibali juu ya mdundo huu so sina sorry
Sinyasori wapi Shaa sina story
Wivu ni kidonda umeshiriki
ugua pole
Chakati juu kiki...woo
woo!...pole pole
[Gnako]
Kama unachukia vaa miwani
usione gere...gere!
Kama unachukia vaa miwani
usione gere...gere!
Weusi hatuna...kwere! You just go...gere!
Weusi hatuna...kwere!
You just go...gere! Kama unachukia vaa miwani
usione gere...gere!
Kama unachukia vaa miwani
usione gere...gere!
Weusi hatuna...kwere!
You just go...gere! Weusi hatuna...kwere!
You just go...gere!
[Nikki Wa Pili]
Sio gweraa hii jombaa Nikki
yule yule
Nilivyovaa, nilivyong'aa ni
kimulimuli
Viburi flow Idd Amin like nduli nduli
Brain kubwa, ndoto kubwa za
manguli nguli
Watoto nao ni kibao siku hizi
sipigi puli
Usijikombe chonde chonde na makonde bure
Punguza njaa lia ubao jomba
kaza msuli
Kwenye hela ndo watoto
wanatulia tuli
Benchi mnasugulia ha..hamna carrier
Ah! mziki kama mbege
kwangu suna kulia
Ah! Yesu na Maria! Ah! Ndo
tunatulia
Ndo nguna inaliwa, imebarikiwa
Get it?
[Gnako]
Kimbiza kimbiza...Usain Bolt
Tupo center ya mchezo...centre
bolt
Hatuna penda love, Weusi mtu
tano Center half no beef..no..no..no!
Tulifanya ndafu, mchezo
unatupa bread
Mda wa chai ujuzi unasambaza
umbea
Mkuda hakai, hatuongei ongei Tunafanya hatufanyi fanyi,
tunafanya kazi
Mungu hakupi roho mbaya
Sshh! Umeipandikiza
Kichwa chako passport, uwezo
wako ndo Visa Aaah! Tuna viburi eeh? Tuna
flow vizuriii
[Gnako]
Kama unachukia vaa miwani
usione gere...gere!
Kama unachukia vaa miwani
usione gere...gere!
Weusi hatuna...kwere! You just go...gere!
Weusi hatuna...kwere!
You just go...gere! Kama unachukia vaa miwani
usione gere...gere!
Kama unachukia vaa miwani
usione gere...gere!
...kwere!
...gere! ...kwere!
...gere!
[Outro]
Mbona kama naonea Gere hivi hadi leo hii?
2024....show some ❤❤
Pamoja
Mkononi ni sime nchele
2024 tujuane
kimbiza to 2020 🏴
Thank you ,i get it , don't worry , yunas bless you all .
Hapa rick ross anafiti hapa
mtabaki kileleni 2019
08/10/2018
Mungu hakupi loho mbay umeipAndkkiza
Nan yupo nayo leo 31/07/ 2024
Fid q the-best
Miaka 100 aichuji