ความคิดเห็น •

  • @user-wi5wj2yh5m
    @user-wi5wj2yh5m 5 หลายเดือนก่อน +4

    Muro mungu akulinde kwa uchambuzi uko vizuri nakuelewa sana

    • @ramadhanjackson8712
      @ramadhanjackson8712 5 หลายเดือนก่อน +1

      Huyu ni zaidi ya mchambuzi,apewe nafasi atafanya makubwa kwenye mpira wetu

  • @user-ky4os6ph5t
    @user-ky4os6ph5t 5 หลายเดือนก่อน +1

    Yanga lete sufiani Lipia,tosha

  • @rahimuhassani9869
    @rahimuhassani9869 5 หลายเดือนก่อน +3

    Wakwanza

  • @zachafilms603
    @zachafilms603 5 หลายเดือนก่อน +1

    Muro unachambua kwa akili sana hata ambae hashabikii mpira anaelewa na kupenda mpira

  • @AffectionateDahliaFlower-kq8ws
    @AffectionateDahliaFlower-kq8ws 5 หลายเดือนก่อน

    Acheni uongo

  • @mbatilombatilo5526
    @mbatilombatilo5526 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mnasifia sana sajili za yanga na simba ila wachezaji hao wakija waala hawana utofauti na wa ndani, kwanini hamchambui sajili za timu zingine kama mtibwa,Geita,Kagera,Namungo,Jkt n.k....au ndo ule ulimbukeni wa mashabiki wengi kutekwa na siasa za yanga na simba,....Azam ,Ihefu pia Namungo wana viwania vyao maajabu vitimu hivi viwili vibovu havina kutwa kuvisifia tu, na zaidi aibu vinakutana na timu zina wachezaji mnaoita ninyi wa kawaida ila ili kushinda au kutoa draw hadi marefa waineshe upendeleo.....niseme tu mchambuzi kutwa yanga na simba ni sawa na utapeli tu hakuna lolote zaidi ya kujipendekza kune hivi vibonde viwili vitumikavyo kisiasa mkiamini ati ciku moja mpewe ulaji ili kuendelewa kupumbaza wengi wanaoishi kama mateka wa vilabu hivi vya kisiasa.shame.

    • @user-yi1qp6qu4n
      @user-yi1qp6qu4n 5 หลายเดือนก่อน +4

      Shida sio vipendeleo iv hapo wazungumzie namungo kamsajili mtu utaangalia kweli au uangalie lusajo kaenda kitayose utaangalia kweli tuache masiala hapa bongo ni simba na yanga tu basi

    • @user-nm5ge6dt8i
      @user-nm5ge6dt8i 5 หลายเดือนก่อน +1

      Kila timu inajiproti kivyake Sasa mmiliki tv kalipwa na yanga Sasa unataka akaisemee geita gold we vipi

    • @mbatilombatilo5526
      @mbatilombatilo5526 5 หลายเดือนก่อน

      @@user-nm5ge6dt8i kumbe wanalipwa na hizi tu ili kukuza wachezaji kwa maneno maneno?....hapo ndo nimeelewa, mie nikajua wanachambua uhalisia kukuza mpira wetu na kutengeneza mashabiki harisi wa timu husika, ndiposa utaona watu wanapoambiwa wajisajiri uanachama wa hizi timu wanaojitokeza n wachache maana mashabiki si harisi

    • @mbatilombatilo5526
      @mbatilombatilo5526 5 หลายเดือนก่อน

      @@user-yi1qp6qu4n ndg ngv ya vyombo vya habari ni kubwa sana kwa sasa wameelemea hizi timu za kisiasa na walaji wa taarifa hawana namna maana kila wakifungua ni uongo na sifa za uongo uongo juu ya vitimu hivi vya kisiasa....ukweli n kwamba laiti wangezingatia timu zote nina uhakika hata wafuasi na wafuatiliaji wangekuwa wengi zaidi, chukulia mfano mkoa flani timu yake ipande daraja na taarifa ya sajili zao ziwe zinazungumzwa walau nusu ya zizungumzwavyo timu hizi za kisiasa maana yake watu wa mkoa ule watafuatilia vyanzo hv vya habar

    • @StevenMagazi-it3fd
      @StevenMagazi-it3fd 5 หลายเดือนก่อน +1

      Au anataka ajibu kile ambacho hajaulizwa

  • @AffectionateDahliaFlower-kq8ws
    @AffectionateDahliaFlower-kq8ws 5 หลายเดือนก่อน

    Tushawachoka na habari zenu