MBARIKIWE Na Dr.Himery Msigwa ~ Kwaya Ya Mt.Cesilia Mpanda.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 33

  • @filbertbugelaha8334
    @filbertbugelaha8334 3 วันที่ผ่านมา +3

    Mungu ni mwema, hakika kazi inapendeza ni nzuri.
    Hakika Wito wa Ndoa umehamasishwa kwa wanakwaya wetu! 🎉🎉🎉

  • @fabianmalima6820
    @fabianmalima6820 4 วันที่ผ่านมา +4

    Big up sana kwenu ,Mr kasonso gud job

  • @Samson-y1j
    @Samson-y1j 4 วันที่ผ่านมา +3

    Mungu azidi kutia nguvu zaidi na kuwapa afya njema ya Roho na mwili kazi ni nzuri mnoo hamna shughuli mbovu wapendwa

  • @geraldgandye1581
    @geraldgandye1581 2 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu aendelee kuwaimarisha kwa karama hii ya kumtukuza Mungu kwa nyimbo

  • @eunicemligo5290
    @eunicemligo5290 3 วันที่ผ่านมา +3

    Hongereni sana kwa Utume wa kumsifu na kumtangaza Mungu zaidi kwa watu wake kwa njia ya Uimbaji!! Nakuona Pianist Mr.Kasonso . Much congratulations 🙏

    • @mt.cesiliampanda7062
      @mt.cesiliampanda7062  3 วันที่ผ่านมา

      Asante na pongezi hizo nyingi tutazifikisha kwake

  • @vairethmhoza
    @vairethmhoza 3 วันที่ผ่านมา +2

    Kazi nzuri sana mumewezaa❤

  • @paschalmsilombo1457
    @paschalmsilombo1457 วันที่ผ่านมา +1

    Mambo ni moto hongereni sana wapendwa mzidi kumtuza Mungu kwa njia ya kuimba nawapenda karibuni Mwanza

  • @himerymsigwa9665
    @himerymsigwa9665 3 วันที่ผ่านมา +3

    🔥🔥🔥🔥 hamjawahi kuniangusha Wana KMCM family.....kazi nzuri mmechangamka kweli ...pongezi nyingi kwa maharusi wetu Mungu awaongoze katika wito wa ndoa Takatifu .. Mbarikiwe ❤

  • @user-bt1vl8nu5n
    @user-bt1vl8nu5n วันที่ผ่านมา +1

    Woho kazi nzuri na mlioendeza mnoo

  • @user-tq4fh4sz8x
    @user-tq4fh4sz8x วันที่ผ่านมา +1

    Kazi nzur yapendeza sana hongera sana kwa waimbaji na maharusi wote ❤❤

  • @MussaLwegasila-fv7eu
    @MussaLwegasila-fv7eu 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mungu awaongoze sana

  • @CharlesPeter-ws1qw
    @CharlesPeter-ws1qw 2 วันที่ผ่านมา +1

    Hongeren caaana kwauimbaji mzr, Mungu awabariki

  • @user-bt1vl8nu5n
    @user-bt1vl8nu5n วันที่ผ่านมา +1

    Mungu awabariki

  • @halisingalama9962
    @halisingalama9962 วันที่ผ่านมา +1

    Hongereni sana jamani hakika mmenibariki
    Hongereni walimu wote Mliojitahidi kutengeneza kazi hiyo nzuri
    Mwalimu Msigwa Mungu akuzidishie kipaji

  • @GodfreyMshanga
    @GodfreyMshanga 2 วันที่ผ่านมา +1

    Hongereni

  • @MaikoMbutu
    @MaikoMbutu 2 วันที่ผ่านมา +1

    Mblikiwe Mungu azidi kuw nuru kwenu

  • @alexiamatewa6274
    @alexiamatewa6274 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    hongera sana wanakwaya wa Mt Cesilia Jimbo la Mpanda parokia ya kanisa kuu

  • @tempochoir
    @tempochoir 4 วันที่ผ่านมา +3

    Hongereni sana wow ❤

  • @Danielkashatila2024
    @Danielkashatila2024 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Safi

  • @ivanakipanda8313
    @ivanakipanda8313 วันที่ผ่านมา +1

  • @Arati3
    @Arati3 3 วันที่ผ่านมา +1

    🎉🎉🎉

  • @philipodamian3703
    @philipodamian3703 4 วันที่ผ่านมา +3

    Kwaya yangu mko vzr nawakubali mno, nikija Mpanda mwezi wa 11 mwanzoni tutakunywa soda ya pamoja jmn, mnikamate kwa hilo msije mkasahau

  • @renatusmakolo9023
    @renatusmakolo9023 3 วันที่ผ่านมา +2

    kashusha na huko upo! hongera🤣

  • @GracejosephAndrew
    @GracejosephAndrew 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    MUNGU awatie nguvu katika utendaj wakaz zake

  • @JosephLeonard-l8e
    @JosephLeonard-l8e 2 วันที่ผ่านมา +1

    Jaman hakuna mengine anayeoa au kuolewa tumtakie baraka Kwa wimbo maana hyo Haina mfano Cecilia tuko juu

    • @himerymsigwa9665
      @himerymsigwa9665 วันที่ผ่านมา

      Watakuja kutoa taarifa tuu soon 🎉