🚨Mapya Yaibuka Sakata la Awesu Awesu Kutua Simba,Awesu Afunguka,Kmc watoa neno.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ส.ค. 2024
  • #football #ahmedally #alikamwe #yangafc #yangasc #yangatv #youtube #simba #simbaislive #simbatanzania

ความคิดเห็น • 9

  • @kassimkingu5512
    @kassimkingu5512 หลายเดือนก่อน

    Nyie wehuu hakuna la kuongea wakati hamjaona mkataba. Machambuzi ya tz yahovyo sana

  • @hassanabdala7383
    @hassanabdala7383 หลายเดือนก่อน +1

    Wachambuzi wa Uto habari zao zinaegemea upande mmoja

  • @lonesomekabora5547
    @lonesomekabora5547 หลายเดือนก่อน

    Hiyo kuheshimu mkataba unathibitisha vipi kisheria km kipengele hicho umekiuka?

  • @user-gp3pm4qp5y
    @user-gp3pm4qp5y หลายเดือนก่อน

    Mimi timu nazitetea kwa sababu mchezaji unapomnunua unampa mkataba na haijalishi atapafomu kwa kiwango kizuri au la na akiuumia mwaka mzima kama kramo utalazimika kumlipa sitahiki zake zote kwa hiyo suala la kuweka kross kubwa

  • @hamisikapute598
    @hamisikapute598 หลายเดือนก่อน

    😊mbona Simba vurugu nyingi mwaka huu, ila waandishi mnawatetea; Lawi, Kagoma , Valentino na sasa Awesu wote na malalamiko

  • @kassimkingu5512
    @kassimkingu5512 หลายเดือนก่อน

    Wachambuzi nyie bwana yaan hamjielewi kosa aweso kwenda simba basi.

  • @drallan6879
    @drallan6879 หลายเดือนก่อน

    kwani lawyer wa ssc hakuona mkataba wa awesu?

  • @bbclondonulimwenguwasoka6126
    @bbclondonulimwenguwasoka6126 หลายเดือนก่อน

    Heshimu inafuatana na upande gani

  • @drallan6879
    @drallan6879 หลายเดือนก่อน

    magori upo wapi ktk hili? didnt consult before?