Hakika hili somo kubwa kwa waimbaji TANZANIA barikiwa sana kaka Ambwene Hongera kwako muandaaji wa kipindi hiki Hakika Wewe kaka Ambwene ni Hazina kubwa
Nabarikiwa sana na hii channel najifunza mambo mengi kupitia watumishi unaowaleta hapa, hakika kwangu na kwa wanaopenda kukua kiroho na kihuduma tunachota madini ya uhakika. Mungu azidi kuwabariki kwa utumishi ni sadaka kwake.
Kaka ubarikiwe sana mfinanga kwa kweli nabarikiwa Sana na interview zako Mungu akubariki Sana umeniandaa kwa ajili ya maisha yangu ya badae kupitia interview hiii
Mkuu historia yako nmeifuatilia nimejifunza vitu sana, lkn zaidi sikujua kabla kama uko na uwezo mkubwa hivo mwenyezi mungu akuzidishie sana
Hakika hili somo kubwa kwa waimbaji TANZANIA barikiwa sana kaka Ambwene
Hongera kwako muandaaji wa kipindi hiki
Hakika Wewe kaka Ambwene ni Hazina kubwa
Asante Sana kaka mfinanga tunaelimika Sana kupitia hiki kipindi MUNGU akubariki Sana Sana.
Nabarikiwa sana na hii channel najifunza mambo mengi kupitia watumishi unaowaleta hapa, hakika kwangu na kwa wanaopenda kukua kiroho na kihuduma tunachota madini ya uhakika. Mungu azidi kuwabariki kwa utumishi ni sadaka kwake.
Kiukweli mtangazaji upo vizuri na upo makini kwenye kumuoji mtu.akika ambwene ni zawadi kwetu nyimbo zake zinanijenga kiimani
Mungu akubariki kaka ambenwe naona Mungu amekupa maono utausaidie
Kaka ubarikiwe sana mfinanga kwa kweli nabarikiwa Sana na interview zako Mungu akubariki Sana umeniandaa kwa ajili ya maisha yangu ya badae kupitia interview hiii
Nimebarikiwa Sana,
Kaka uko vizur sana mungu azd kukuinua
Hapo safi
kwan wenyewe walianza juu
Duuuh aisee
Me natafta wimbo wako wa hakuna wa kufanana na Yesu siuon TH-cam unaweza nisaidia ata linc
ivi ambwene ni msukuma au mnyakyusa
Mnyakusa
wawoo
Tunakuombea
Bro huyu jamaa ni kichwa na Roho anamwongoza kukweli nimebarikiwa
😅😅😅😅