Naomba niulize maana kuuliza si ujinga, sanda anazikiwa muislam na sisi hatuwekwi kwenye jeneza Bali juu ya maiti akiwekwa kwenye mwana ndani mbao mbili kwa juu then majani halafu udongo na ndugu zetu wao wanazikwa na nguo nzuri ndani ya jeneza je zile nguo nzuri nazo zinaitwa sanda? Naomba kuelimishwa tu
Hapana warda sisi wakristo wengi wetu tunazikwa na nguo Ila inategemea na uwezo wa familia ya mkristo huyo ...pia hata kama anavalishwa nguo Ila ndani anakuwa amevingirishawa sanda ..kasoro usoni.....Ila zile nguo alizovalishwa haziwi sanda. ..
@@mtzhalisi2232 kumbe huwa tunavishwa nguo mbili? Niliona msiba wa mjombo kavishwa suti na tai kumbe ndani kuna sanda? Na wanawake huwa wanavishwa shela
Nimekuwa wakwanza nipeni likes zangu za kutosha kama unakipenda kipindi hiki🤣😂🤣🤣🔥🔥🔥
I like the story this man is talking very very good I'm listening from Kenya
Napenda sana kipindi..nitakutafuta wiki ijayo nitakua tz
Amina
Mungu tusaidie
Uko vzr bro
Mtumishi anajua kusimulia
Pamoja davistar.
Mr davistar mwambie bas hio chudani inapatikana wapi afu twende aisee tuone liveeee oyaaaaa tuzamini bas wanazengo😅😅😅
Ya motooo sana hii lete ya3
iyo story ya kambo ya kunyongea kuna mtu alikuwa anaitafuta kwa bei mbaya sanaaa
😂😂😂bongo bhna yani hata ufe hauna amani wanga nao wanakuja kuchukua mpka santa 😮😢daaa
Nuru daud co bongo tu wachawi wapo kila sehemu
Stori iko bomba😂
Lete ya4
Kumbe, KO sio kila mtu ambae anakwenda kuzika, wengine wanakwenda kama ma spy
Kweli usidharau mtu usie mjua majini ni wengi ila atuwajuhi tu
Sasa bona mchungaji au mkristo ashiriki kuita Jini?
Mimi nitatoa
Naomba niulize maana kuuliza si ujinga, sanda anazikiwa muislam na sisi hatuwekwi kwenye jeneza Bali juu ya maiti akiwekwa kwenye mwana ndani mbao mbili kwa juu then majani halafu udongo na ndugu zetu wao wanazikwa na nguo nzuri ndani ya jeneza je zile nguo nzuri nazo zinaitwa sanda? Naomba kuelimishwa tu
Hapana warda sisi wakristo wengi wetu tunazikwa na nguo Ila inategemea na uwezo wa familia ya mkristo huyo ...pia hata kama anavalishwa nguo Ila ndani anakuwa amevingirishawa sanda ..kasoro usoni.....Ila zile nguo alizovalishwa haziwi sanda. ..
@@mtzhalisi2232 kumbe huwa tunavishwa nguo mbili? Niliona msiba wa mjombo kavishwa suti na tai kumbe ndani kuna sanda? Na wanawake huwa wanavishwa shela
@@dorcaskidoti249 sawa