Hawa ni Makamanda 10 wa ngazi ya Juu wa Hezbollah waliouawa na Israel hadi 2024

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ก.ย. 2024
  • Bonyeza link hii kujiunga kwenye channel ya Telegram ya SnS - t.me/+uYTdRVvi...

ความคิดเห็น • 51

  • @sylviasimiyu7517
    @sylviasimiyu7517 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Your channel keeps me updated. Keep up the good job. Much love from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪

  • @Njiwamichael-km1dm8et9x
    @Njiwamichael-km1dm8et9x 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    😂😂😂 simba wa yuda

  • @NikasiMbuya
    @NikasiMbuya ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Taifa teule

  • @emmanuelheshima4985
    @emmanuelheshima4985 42 นาทีที่ผ่านมา +1

    makamanda wanauwawa kama panya hawanaulinzi ?

  • @ryobanchagwa2499
    @ryobanchagwa2499 48 นาทีที่ผ่านมา +1

    Israel juuu sana

  • @AhmedMsomoka
    @AhmedMsomoka 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    UKWEL NA MWANGA UNAKUJA NA KILA KITU LITAKUWA BAYANA INSHAALLAH, ISRAEL ATAKUJA KUISHIK DUNIA NA KILA MTU NA NCHI ZITAFUATA ODA ZAO ILA WATADUMU KWA MDA MCHACHE THEB NDIO GHALIK LA ALLAH LINAKUJA NA HAPO NDIO TUSEME NI QIYAMA TU NA UKWEL KUWA WAZ NA WALIOONEKANA WAJINGA, AU DHALILI DUNIAN AU HAWANA MTU ZAID YA MUNGU SO NI MDA WAO KUENJOY MPK BC.....ILA TUJIPE MDA BUT JAMBO LIPO NJIAN

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Weweeee 😂

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Siyo kweli 😂

    • @PetroMpunga-rt7hv
      @PetroMpunga-rt7hv ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Allah ni SHETANI 😈😈😈😈, hakuna Mungu anaitwa Allah

    • @Awatee
      @Awatee 53 นาทีที่ผ่านมา +1

      ​@@PetroMpunga-rt7hvMwehu weye shetani ni weye Ajabu makafiri munaumia na lugha ya kiarabu tuu mbona neno la Mungu linatumika kwa lafudhi tofauti hakuna alie pinga sasa utampangiaje mtu aseme kwa lugha yako weye Heshimu lugha za watu izo zote ni alama za Mola wa viumbe wote ALLAH ni lugha ya kiarabu kiswahili ni Mungu kama ilivo kua kizungu God tumieni akili neno la Mungu philiphino lina maana nyengine kbs jee waje kashifu wa Tanzania

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 18 นาทีที่ผ่านมา

      ​@@AwateeAllah ni jini Tena wa mguu mmoja Endelea kudanganya na wafuga majini Waarabu 😅😅

  • @HusseinSaguti-sj9nh
    @HusseinSaguti-sj9nh 53 นาทีที่ผ่านมา

    Ss walipokufa ndio vta ilikwsha???
    Na je wangeish milele?
    Vtan lazma vfo vwepo
    Hata israel makamanda wanauliwa ckm wao hawafi
    Aron shalon yuwap?
    Alikua wazir mkuu wa israel na akauwa waparestna weng sn

  • @salumabdallah2990
    @salumabdallah2990 7 นาทีที่ผ่านมา

    Yaaani hapa team israil wajua kwamba israil ni wachokozi sema wanachokoza kimnya kimnya alafu nyie hamujui alafu ooooh magaidi hapo kati ya israil na hizbollah nani gaidi ?

  • @MstafaSkasembo-wz9ib
    @MstafaSkasembo-wz9ib 10 นาทีที่ผ่านมา

    Guys tupeni Habari za muda huu kuhusu vita vya hizbullah na Israel historia zinachoshaaaa

  • @dauddavid6837
    @dauddavid6837 34 นาทีที่ผ่านมา +1

    Kufa kawaida
    Nahata kama wamewauwa makamanda wengi ila hizbullah haijakufa bali inazid kuwa nanguvu zaid

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 20 นาทีที่ผ่านมา +2

      Hio inaitwa kujifariji .. je ingekuwa Benjamin NetaNyau au Daniel Hagary ungesema kufa ni kawaida 😅😅😅? Ua ungepiga vuvuzela Wacha habari zako wew kifo hakizoeleki

  • @dorambaga2667
    @dorambaga2667 39 นาทีที่ผ่านมา +1

    Ila dini ya kiislamu ni ya hovyo sana. Wanapenda vita kuliko maendeleo

    • @mohamedshaban745
      @mohamedshaban745 22 นาทีที่ผ่านมา

      Ww je unapenda nn kwan I?

  • @YustoMlay-cv4zb
    @YustoMlay-cv4zb ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Unajua inchi hizi za kiarabu kuna jewish wengi ni waarabu so intelligence kwao ni rahisi sana

  • @NdovuDentalClinic_
    @NdovuDentalClinic_ 9 นาทีที่ผ่านมา

    Bado 100 sasa wataisha kweli au ndo vita mpaka mapanki aamue

  • @sirleemally5314
    @sirleemally5314 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nikomakini nafatilia simulizi nasauti❤

  • @raydanfrenk
    @raydanfrenk ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    😂😂😂 piga mpka yajampe 😅😅

    • @nickalreadyknows
      @nickalreadyknows ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Unapenda vita na watu wakiuana..?

  • @BillySmart-tk1wu
    @BillySmart-tk1wu ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Baadae nasubiri makamanda 20 wa israël walio uwawa na Hamas pia na iran

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 19 นาทีที่ผ่านมา +1

      Ya wapi hio😅😅

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 14 นาทีที่ผ่านมา +1

      😂😂😂😂 utasubiri sana tatizo mnataka Kila kitu kilingane hiyo haiwezekani Kuna mwenye nguvu na mnyonge hapo

  • @isaacelijah6516
    @isaacelijah6516 36 นาทีที่ผ่านมา

    Karma. God bless Israel 🇮🇱🙏

  • @emanuelgavile3503
    @emanuelgavile3503 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Top12 not top ten!

  • @MichaelKavavila
    @MichaelKavavila ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Israeli Hana mango wa kulazimisha mtu kufata dini Yao ya kiyahudi Wala ukristo...hofu ya uislamu ni kuona wao ni Bora na kulazimisha watu waabudu Imani ya kiislamu

    • @DevZone1089
      @DevZone1089 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      unao uhakika ktk unachokisema... au ndo mapenzi yamekuzidia??

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 13 นาทีที่ผ่านมา +1

      ​@@DevZone1089tunao uhakika ndugu hio ipo wazi na ndo maana Ugaidi unatokana na dini ya kiislamu kuuwa watu wasio waislamu kwa lazima et wakidai kumtetea Mungu 😅😅😅 sijui upuuzi Gani et Mungu nae anahitaji watetezi jamani?? Mungu haitaji uchawa kama viongozi wa Dunia hasa hapa Tanzania .. Mungu amejitosheleza Kila idara😅😅

  • @benardmakori4012
    @benardmakori4012 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Hatari!hawa wayahudi wana akili nyingi😂

  • @HajiKabacalaf-kv7fd
    @HajiKabacalaf-kv7fd ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Na makamanda wa Israel mbona hamsemi

    • @raydanfrenk
      @raydanfrenk ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Yupi sasa labd utupe mfano 😂😂😂

    • @Niika870
      @Niika870 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Huyu nae sjui ni wapi😂😂 sasa watajwe wakati hawajafa😂😂 bas Namtangaza Haniye Ismail

    • @modestwenceslaus9
      @modestwenceslaus9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@Niika870😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉

    • @HajiKabacalaf-kv7fd
      @HajiKabacalaf-kv7fd ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@Niika870 sisi twashangaaa kaka mukipraise Israel tu

    • @HusseinSaguti-sj9nh
      @HusseinSaguti-sj9nh 52 นาทีที่ผ่านมา

      ​@@raydanfrenkww wamjua yup nayup

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Piga hao Hezbollah 😂

  • @sylvestermhojaaron9659
    @sylvestermhojaaron9659 42 นาทีที่ผ่านมา +1

    MUNGU IBARIKI ISRAEL MILELE DAIMA

  • @NikasiMbuya
    @NikasiMbuya ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Israel taifa takatifu la mungu

    • @SaidSombi
      @SaidSombi 27 นาทีที่ผ่านมา

      Taifa Gani wanaliwa mikunduu

    • @mohamedshaban745
      @mohamedshaban745 21 นาทีที่ผ่านมา

      Pole