Am Philip from Kenya ,(mlolongo)congratulation Steve n your team u always make my ......this is pure talent bro hope to see u soon hapa kwetu Kenya ....big up brother
Jamani msiandike god andikeni GOD au God Anza na herufi kubwa pia usiandike mungu ila Andika MUNGU au Mungu kumbuka kuwa ukianza Kwa herufi ndogo maana yake ni miungu so tuweni makini sana
😂😂😂 ugali ngazi mbili kama keki? 😂😂 Respect Steve mweusi👏👏
Hatar sana th-cam.com/video/hPfGDMQuh3M/w-d-xo.html
Kazi nzuri sana
9:02 th-cam.com/video/ObkUUy3PWpw/w-d-xo.html
Am Philip from Kenya ,(mlolongo)congratulation Steve n your team u always make my ......this is pure talent bro hope to see u soon hapa kwetu Kenya ....big up brother
Steve unapenda Hilo koti🤣🤣🤣
Salute 🇰🇲 comoros
Wapi pesa ya karanga steve?🇰🇪🇰🇪
Sele uko sawa,, keep up bro
Mimi niko nchi ya Rwanda ninawashukulu sana video zenu zilinisaidia na zinanisaidia kujifunza kiswahili
Asante
Hongera kwa kujifunza kiswahili
Stive nakupenda sana bro big up
steve Dogo sele anakaa buza wapi
Nimempenda huyo Dada..anajua kuigza
Nakubali sana kundi zima,Niko Congo DRC 🇨🇩
Shukuran!!! Kazi nzuri @steve-mweusi & Dogo sele 🇹🇿 💚
😂😂😂😂Wawa utamaliza kaka🇰🇪🇰🇪🇰🇪
😂😂ila steve akili zako unazijuwa mwenyewe
Sibora mngechukua dagaa steve😂😂😂
Sele na Steve mweusi unatixha hogera xna na mungu awabariki mwedekee hivo
Nice comedy GUYS watching from malawi ❤❤
Cv
W
Makubwa steve😂😂😂💪
Eti kawambie nyumban wanataka kuniua😂😂😂
Waah ugali mlima😂😂😂 one love from Kenya✌✌
Tena umepasukapasuka kwa ugumu.
@@csato9415 😂😂😂
😂😂😂😂😂
Steve lipa karanga
Ninapenda sana kaka zangu
Mohamed natoka misri
Keep going 👏👏👏👏👏
Penda sana dadaaaa ❤❤❤❤❤
Duhhh baba ilo nguna.inafurahisha sanaa kazi nzuri soon 1million subscribers god bless you all. Uliahidi wiki tatu tumjue mshindi kaka
Safi sana yy
Ugali kubwa jamani daah🤣🤣🤣🤣steve hakuna vya bure🤣🤣 steve +sele🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤️❤️
Kwema hapo!!
Nilitaka upigwe vizuri 😁
Ili wezekana dje uombe kalanga Na hauna chochote ?✍🏾
Nabado uki zidi uta pigwa vikali😁😁😁🇨🇩
Steve amiin Sele ongeya hakki😂😂😂😂
Hahahhahhaaahaha Steve hatariiii na Dogo kazi nzur sana
Steve nice job 🇰🇪🇰🇪❤❤😅😅😅😅
Thus happy birthday part or infact vegetables no sijui itakuja isha kweli njaa kitu mbaya saana wapi like za steve bravo
Kazi nzuri kabisa Blaise banyene toka DRC
Steve lipa karanga wewe 😂😂😂 from kenya
Asa steav ndo nini unatoa wakati MANUTD anacheza tunacheki game bhn
Imekaa vyema sana!
Ugali kama keki dash 😂😂😂😂😂 Steve mweusi ni hatari sana
Hahaha,,mwapendeza kwa kazi yenu🔥
Kazi nzuri sanaa Steve & sele
Steve kasema nyumbani wanataka kuniua🤣🤣🤣
Hongela sana dogo sele ulikariwa na kipaji kikubwa ukiwa bado kijana chipukizi big up sn all grp
Wajifanya kuchukua vtu bila kutumwa utajuwa hujui KONKI🇰🇪
Jamani msiandike god andikeni GOD au God Anza na herufi kubwa pia usiandike mungu ila Andika MUNGU au Mungu kumbuka kuwa ukianza Kwa herufi ndogo maana yake ni miungu so tuweni makini sana
😂😂😂😂😂😂stive mshenzi kweli😂😂😂😂
Hahahaha mnanifurahisha sana jaman hata kama nina stress zinaisha
Watching from +254
Mulifanya vizuri kuingiza mtukufu
Vichekesho vyake na Dogo sele ni mno
Safi kabisa. Uncle ni mbambe
Steve, we noma af lipa hela ya karanga syo kuanza kufagia dukan kwa watu
Hahaha jmni Steve na sele mnanipa furahaa sanaa
Kazi nzuri nawapenda
Yobra mpenda stuff steve n pee aziza
From kenya.steve na sele comedians of all time
COURAGE
Kawaidha Kali hio
Dogo unajua 🤟🏾kizazi sana
Wacha nianze kicheka kwanza 🤣🤣😂🤣😂🤣🤣 sijaangalia bado
Very talented
Hongela kwa kazi
kazi yako nzuri sitivu mweusi
Nouma sana th-cam.com/video/hPfGDMQuh3M/w-d-xo.html
Nzuri sana😂😂
Nipeni like basi za dogo Sele 🔥🔥🔥🔥
Heheheeee th-cam.com/video/hPfGDMQuh3M/w-d-xo.html
Safiii from kisumu steve never dissapoints
Munakopaj kwel
Sele kamuuza Steve. 🤣🤣🤣🤣🤣
Duh mmetisha kinoma ilove dogo sele and steve
Jina lake malebo🤣🤣🤣kalanga!!
waooo nice job 😍😍😍😍
Amazing
👌👌👌👌
👐👐👐👐 $teve Mweusi ume zidi Sasa vituko😂😂
Nime furahi sana
Mko vzr dogo sele na kubwa jinga
Hili Steve ni jinga sana linapelekeshwa Na mtoto mdogo ety
NC kaka nakupenda napenda na group yako
Dah mlichelewa kidogo safari hiii
KAZI nzuri sana bro
KAZI nzuri sana bro
Aiseeeee hiii Kali sana nawakubar sana wana
Sele mara mingi unaacha uncle steve hatarini, kazi nzuri lakini, BJ kutoka kenya, ila nawatazama nikiwa saudia
I am fun bro, I like your comedy 😄
🔥🔥🔥
Sf sanaa dogo sele na Steve lakn ugar n mwing mungeumaliza kwer
Ila Steve endelea tu na part ako unaitendea kazi vzr na Kaka unafnya Kaz nzur 🙏 🤣🤣🤣
Kabisa hii hbr ya uzuzu anaiweza sana
Safi sana
Nice one today
Heheheee th-cam.com/video/hPfGDMQuh3M/w-d-xo.html
Huyo mdada namb steve npatie asee rangi adim hzo
Kali iyo bro
Heheheee th-cam.com/video/hPfGDMQuh3M/w-d-xo.html
No 1 nimewah
Heheheee
🤣🤣🤣🤣🤣Hakuna vya Bure kweli kabisa
lipa kalanga steve alf fagia vzr.
Nzuri xan
Kazi zuli nawapenda Sana yaan Sasa sele unamtesa uncle
Moto sana 🔥🔥🔥
nimepend iy
😂😂😂 duuuh ugali wote
Mwanangu nlidhani matani kumbe kweli wewe mkali mm shabiki wako 254
Steve unatisha Sana kamanda Wangu
Uyu kaka na sele wanajua kuigiza
Nawapenda tuuuuu
Mmetisha sana aisee kitu kizuri
Nakupoge. Natamani namm
Huo mlima mtamaliza aki,, anyway keep up.
Hongera dog sele Nazi nzuli
Kkkk dogo sele na stiven noma kabisa
Jamni huu ugali kibokoooooo 😂😂😂😂😂
Ugali nganzi mbili kama keki mmetisha .