hii ngoma isipo hiti ujue management imeshindwa kazi yake ya kuipa promo inayotakiwa.... waliofanya audio na video wameplay part yao vyema... nimeipenda....
Katika kazi iliyopasua mikoa kibao bila promo ya tv wala radio kwa mwaka huu.kwa mkoa wa mbeya hii n namba mojaa.tixha xana Shebby mic pamoja Na mxhiliki wake mtafya
nashukuru sana kaka mpo mbeya sehem gani? mm nipo boder tunduma huku pia na kwenye fb na mitandao mingine mnatumia jina gani? ili nianze mapema mazungumzo na nyie nimependa graphic yenu naona mbeya nyie ndiyo mpo juu sana
Shaaaabiii Gachi na Kikunizo ni habari nyingine tanzania duuuuuu!!!!!!
Nice song Nice video 👏👏👏👏👏👏🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌
nimeipenda Sana ipo vizuri sana Kaunyagoni
nimeipenda vizuri sana Kaunyagoni
asanteni mashabiki zangu wote mungu awabariki
watasubili sana kwa Shebby hi balaaa kazi yakimataifa hii
PAMOJA SANA SHEBBY MIC
sawa kaka sasa nimeelewa kaka kazi njema kwenu
mtafya kaimba haaaahaaa mziki kweli biashara kaka kawa mraini
mbona siku zote anaimba, sema hujaweza mfuatilia kwenye collabo nyingi. Ni commercial
hii ngoma isipo hiti ujue management imeshindwa kazi yake ya kuipa promo inayotakiwa.... waliofanya audio na video wameplay part yao vyema... nimeipenda....
mtafya kweli ezi za kina kikunizo mo p ulikua una imba sema miaa sana una fanya kweli chifu
Wametisha sana iko vzur
Sana yani
Joseph Donald asante mkuu
Nimeipenda Sana utunzi mzuri
Katika kazi iliyopasua mikoa kibao bila promo ya tv wala radio kwa mwaka huu.kwa mkoa wa mbeya hii n namba mojaa.tixha xana Shebby mic pamoja Na mxhiliki wake mtafya
Kazi nzuri sanaààaa, sasa Akuna aja yakwenda South Africa kufanya video
KABISA KIKUNI ANATOSHA
video imefanywa Mbeya hiyo? mziki mzuri sana nimeipenda Sana
Real Conscious mbeya hyo
Nzuri sana
Kale Sanaa kaka
poa ndung kanzana hipo siku hutafika hapo waripo wenzetu ni bega kwa benga na ww
Upovizur mwamba
uwezo mkubwa sana
dah bonge la dude brother video kali kichizi Nafikiri na mm nikipata mapene niongee na hiyo production nifanye kazi nzuri Mbeya imooooooooooooooo
Real Conscious karibu
nashukuru sana kaka mpo mbeya sehem gani? mm nipo boder tunduma huku pia na kwenye fb na mitandao mingine mnatumia jina gani? ili nianze mapema mazungumzo na nyie nimependa graphic yenu naona mbeya nyie ndiyo mpo juu sana
Real Conscious tunatumia mashada inc production tupo mbeya soweto
mic wamee kaaa
qariii video
nice
Poa sanaaa
Faida ya kujuana
Ingine lini? shebby we mkali
aise guch ndo amenyonga na ya shikwambi raymond
ndiyo
Huyu jamaa mbeya hatar pamoja wana kaz nzur sana
shebby sio mtu wa mchezo mchezo
plz msimfanishe na vitu vya kijinga izeeeeeeeeeeeeee!!!!!
AUDIO KALI VIDEO KALI
Nandi mnyamwezi haaaa haaa hataree aisee
Bonge la kaz
mic umegxha ramsng n kukaza
nimeipenda Sana ipo vizuri sana Kaunyagoni
nimeipenda vizuri sana Kaunyagoni
sana mkuye kongo
sana mkuye kongo