Akie watu ni wabaya hawawezi appreciate mazuri amefanya juzi amevisit children's home hawakuappreciate alafu mimi sioni mahali bebii amekosea for sure wanadamu pthoooo😢😢😢😊
Huyu dem kuongea sana ndo kunamponza, ajaribu kucontrol mdomo wake 2025 mungu amuinie zaidi......alafu pia ajue tumbili si rafiki mzuri juu yeye ndo alipost hiyo vedio wa kwanza
Akie watu ni wabaya hawawezi appreciate mazuri amefanya juzi amevisit children's home hawakuappreciate alafu mimi sioni mahali bebii amekosea for sure wanadamu pthoooo😢😢😢😊
Bebi always looks very smart hata avae aje anakuanga naturally beautiful mwenye kusema sijui ooh sijui nyenye
Muñgu kila wakati
Acheni wivu bebi ako na Mungu
She will not go down for their information hawajui alianza kupeana akiwa mtoto mdogo its in her blood😊
What’s going on jameni….just saw bebii apologies what did she do???
Hao manongwe wivu itawaua nkt😏
Wah watu wako na mambo kweli, hiyo ni issue kidogo lakini vile wana comment fb utadhani dem wa fb ameua mtu....wanasinyaaaaaaaaaa
Imagine kitu kidogo wanaleta issues
Binadamu tupunguze makasiliko jamani sijuwi kwa nini inakuwa hivyo kikosa kidogo tu watu wanakuja juuu daaa hii ni hatali
Huyu dem kuongea sana ndo kunamponza, ajaribu kucontrol mdomo wake 2025 mungu amuinie zaidi......alafu pia ajue tumbili si rafiki mzuri juu yeye ndo alipost hiyo vedio wa kwanza
Hwa Mahaters wamekua kama wolves na Manchester
What's their problem with bebi wajishughulishe na ma business zao alaaaa
Ni wivu inawazumbua watu roho chafu
Social media akii
Uko fb watu ni wajingaa
Kwani angebeba vipi?