Amen Amen... Ningependa pia kuchangia kulingana na mtazamo wangu. Wanawake wa kiisalamu huwa wanajivaa vizuri sana kutuliko sisi wa Kristu. Hapa kwenye mavazi pia ibilisi huwa anatupiga vita. Kuna mawazo mbali mbali utakuwa nazo hapo mwanzoni wa kuvaa mavazi ya kujisitiri. Kama vile kuhisi wewe ni mzee ukifunga vitambaa na mavazi marefu. Kuna wakati pia marafiki zako utakutana nao,kama hujasimama vizuri watakushawishi uyavue yale mavazi ya kujisitiri. Kuna wakati nilimvalisha binti yangu mavazi marefu nikampiga picha nikatumia mama mzazi,mamangu akateta akasema niwache kuwavalisha wajukuu wake kama wazee. I felt so bad. Tena akapiga simu kama vile ananipa onyo nisiwavalishe wajukuu mavazi za kizee.....
AMEN AMEN mjakazi wa Bwana ubarikiwe sana kwa mashauri mazuri yakutia moyo, kiukweli watu wa karibu ndo uwa wanatuvunja moyo sana katika safari ya wokovu ila cha maana nikumshikilia Mungu wetu Yesu Kristo
Na vile uko smart na kitambaa na hio dress.mimi kitu kinanitia nguvu ya kufunga kitambaa na kuvaa nguo ndefu na yenye kufunika shingo na mikono ni kwamba hakuna mwanaume anakuwa na haja na Mimi hata nikitembea barabarani isipokuwa mmume wangu na hili linafanya nimtukuze Mungu Sana.
Amen Amen...
Ningependa pia kuchangia kulingana na mtazamo wangu.
Wanawake wa kiisalamu huwa wanajivaa vizuri sana kutuliko sisi wa Kristu.
Hapa kwenye mavazi pia ibilisi huwa anatupiga vita.
Kuna mawazo mbali mbali utakuwa nazo hapo mwanzoni wa kuvaa mavazi ya kujisitiri.
Kama vile kuhisi wewe ni mzee ukifunga vitambaa na mavazi marefu. Kuna wakati pia marafiki zako utakutana nao,kama hujasimama vizuri watakushawishi uyavue yale mavazi ya kujisitiri.
Kuna wakati nilimvalisha binti yangu mavazi marefu nikampiga picha nikatumia mama mzazi,mamangu akateta akasema niwache kuwavalisha wajukuu wake kama wazee.
I felt so bad. Tena akapiga simu kama vile ananipa onyo nisiwavalishe wajukuu mavazi za kizee.....
AMEN AMEN mjakazi wa Bwana ubarikiwe sana kwa mashauri mazuri yakutia moyo, kiukweli watu wa karibu ndo uwa wanatuvunja moyo sana katika safari ya wokovu ila cha maana nikumshikilia Mungu wetu Yesu Kristo
Nakupenda sana Dada wewe ni roll model wangu. Namtukuza baba kunikutanisha na wewe
AMEN AMEN hakika nafurahi sana my dada Bwana akubariki sana
Amen mjakazi wa BWANA.
Amen Amen Amen,sifa Kwa Bwana
Namtukuza MUNGU kwajinsi ya ajabu alivoniumba vizuri napendeza sana HALLLELUYAAA
@@RehemaMtono hakika Bwana apewe sifa kwa yote
@@NYIMBOZAROHOMTAKATIFU AMEN
Kweli kapisa keren
❤Ameeen Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu
Haleluya tubarikiwe sote na Bwana Yesu mjakazi wa Bwana
Hallelujah hallelujah
Ubarikiwe mjakazi wa Mungu
AMEN AMEN tubarikiwe sote na Bwana
Amen Amen mm bwana yangu naniambia nianze kusuka nakukirimu niatari Mungu atusaidie
Eeh usikubali kabisa mwangalie MUNGU na sio mwanadamu
Umependeza sana dada Mungu nimwema kweli
AMEN AMEN mjakazi wa Bwana atukuzwe Yesu Kristo anae tuwezesha
Amen neno hili ni Amina na kweli mjakazi wa Bwana.
Dada keren habari...samahan naomba ile dodorant ya makwapa naomba unitajie jina nikaitafute.
Jina ni speed stick
Amen 🙏🏼 🙏🏼 sifa kwa Bwana, MUNGU atusaidie sana 🙏🏼
Ameeeeen Hallelujah
Amen amen
Na vile uko smart na kitambaa na hio dress.mimi kitu kinanitia nguvu ya kufunga kitambaa na kuvaa nguo ndefu na yenye kufunika shingo na mikono ni kwamba hakuna mwanaume anakuwa na haja na Mimi hata nikitembea barabarani isipokuwa mmume wangu na hili linafanya nimtukuze Mungu Sana.
AMEN AMEN hakika nafurahi sana kusikia hivyo sifa kwa Bwana haleluya yatupasa wanawake kujitambua
@@NYIMBOZAROHOMTAKATIFUbwana asifiwe et dada kusuka nywele zako tu nizambi kusuka nywele nachlo
Amen ubarikiwe kwa mafudisho mazuri
AMEN AMEN mjakazi wa Bwana
Amen
Hallelujah Amen
amen
Mungu atupe ufahamu
AMEN AMEN hiyo kweli
Barikiwa sana mpendwa
AMEN sifa kwa Bwana haleluya
ni kweli kabisa
Amen 🎉❤
Amena
Amina kwa mafundisho haya
@@Patience763 AMEN mjakazi wa Bwana
Ubarikiwe ❤
AMEN Amen ubarikiwe pia
Amina
Mariam musa AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN
Ameeen
Naona kucha zako kama Zina rangi nyeupe?
@@veronicambilinyi3854 eeeh niangalie Vizuri dadangu, rangi ya kucha ni kosa mbele za Bwana
@@NYIMBOZAROHOMTAKATIFU ubarikiwe sana
𝘔𝘶𝘯𝘨𝘶 𝘯𝘪 𝘮𝘬𝘶𝘣𝘸𝘢 𝘢𝘱𝘦𝘸𝘦 𝘴𝘪𝘧𝘢.
Milele na milele Bwana akutukuzwe
Amen and Amen
Amen Amen
Amen Hallelujah
Amen Amen
Amen amen
Amen amen amen