🔴

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • 🔴#Live: SIMBA KUTAMBULISHA MCHEZAJI MCHANA/MO DEWJI AWATOA HOFU SIMBA/YANGA WAJA na BALAA ZITO.....| KROSS DONGO...
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9z...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

ความคิดเห็น • 36

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  3 หลายเดือนก่อน +4

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @OmaryFanga
    @OmaryFanga 3 หลายเดือนก่อน

    Uyo mwambie ana2chosha dunia dunia,mwambie aende kufundisha shule,sio mchambuzi uyo

  • @DAUDMiHAYO
    @DAUDMiHAYO 3 หลายเดือนก่อน

    Sisi Simba tusijefanya kule kwa gadafi ,tuwe Malini kwa chama

  • @mirajikawimba8648
    @mirajikawimba8648 3 หลายเดือนก่อน

    Sister umetulia.mitamboni unaweza kua Salama ngale.wapli

  • @MaliliKisamu
    @MaliliKisamu 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tuko pamoja mtuhabarishe michezo

  • @hajisalum8028
    @hajisalum8028 3 หลายเดือนก่อน +1

    Jaman wazima wote hapo studio namsapoti aliyewambia mmeamshwa sababu hamna uwwzo wa kuamka wenyewe zaidi ya mungu kuwawezesha ndio maana kawambia mmeamshwa

  • @OmaryFanga
    @OmaryFanga 3 หลายเดือนก่อน

    Ata ww ujui unacho kilaumu,bora ya uyo anajaribu kujibu kuliko ww,ili uwe muelewa na ww ungeenda moja kwa moja kujibu swali

  • @DAUDMiHAYO
    @DAUDMiHAYO 3 หลายเดือนก่อน

    Enzi za ukoloni wazungu walikuta wasukuma wakichezea almasi bao,wakawapa gololi wao wakachukua almasi

  • @herodchifunda
    @herodchifunda 3 หลายเดือนก่อน

    Huyo jamaa anaendeshwa na hisia zake hajakomaa kiuchambuzi, maana swali lipo wazi linajieleza yeye anaenda nje ya swali. Kiukweli mo kafanya vizuri maana Kuna mashabiki wasio wanachama nao Kwa swali Hilo wamepata pa kusema na kutoa ushauri wao kupitia mtandao wa kijamii

  • @andreamwangu2647
    @andreamwangu2647 3 หลายเดือนก่อน +1

    Naona dalili za jobe kuwepo simba msimu huu tena! Dr unasemaje?

  • @RHOIDAKALUKWA-bw4jo
    @RHOIDAKALUKWA-bw4jo 3 หลายเดือนก่อน

    Mangungu aondoke nae anatutia presha mamluki

  • @jamalmanishi7282
    @jamalmanishi7282 3 หลายเดือนก่อน

    Kwani wewe ndie ulie mleta chama kama hautaki abaki sio lazima uendelea kuwa shabiki .

  • @HamzaMahundu-l2v
    @HamzaMahundu-l2v 3 หลายเดือนก่อน

    naitwa hamza mahundu naitazama global tv nikiwa ruangwa town

  • @yilodhasunga3967
    @yilodhasunga3967 3 หลายเดือนก่อน +1

    Yanga wanatuingiza simba mkenge tunarudisha migogoro na Chama tunahangaika nae kisa yanga

  • @JumaMissungwiMpekaliwa
    @JumaMissungwiMpekaliwa 3 หลายเดือนก่อน

    Nije Hapo studio CHAMA aende tu

  • @ZachariaFrancis-o8p
    @ZachariaFrancis-o8p 3 หลายเดือนก่อน

    Nawapata Bara Bara simba nguvu moja❤❤❤

  • @WolframDuwe-zn7kv
    @WolframDuwe-zn7kv 3 หลายเดือนก่อน +1

    Simba nguvu moja

  • @DAUDMiHAYO
    @DAUDMiHAYO 3 หลายเดือนก่อน

    Binafsi yngu chama ningemuacha simba

  • @revakmedia4895
    @revakmedia4895 3 หลายเดือนก่อน

    naupata sana ibrahimu rajabu ball dancer

  • @AliyyAli-ii1uz
    @AliyyAli-ii1uz 3 หลายเดือนก่อน

    Mbona hamueleki kua anatangazwa nani

  • @mirajikawimba8648
    @mirajikawimba8648 3 หลายเดือนก่อน

    Mpo vzl.namikubalii

  • @salimdaraie2196
    @salimdaraie2196 3 หลายเดือนก่อน

    Cheka yako Leila inanifurahisha

  • @WolframDuwe-zn7kv
    @WolframDuwe-zn7kv 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mo Simba nguvu moja

  • @AliyyAli-ii1uz
    @AliyyAli-ii1uz 3 หลายเดือนก่อน

    Huyo ligwangala haelewekagi

  • @kelvin2013
    @kelvin2013 3 หลายเดือนก่อน

    Mbona mnambembeleza huyo

  • @DAUDMiHAYO
    @DAUDMiHAYO 3 หลายเดือนก่อน

    Chama nikama almasi simba

  • @SaumuSaidi-z2v
    @SaumuSaidi-z2v 3 หลายเดือนก่อน

    Acheni uongo

  • @anthonysegereti9795
    @anthonysegereti9795 3 หลายเดือนก่อน

    Huyo dogo hazimtoshi mchambuzi gani huyo

  • @AliyyAli-ii1uz
    @AliyyAli-ii1uz 3 หลายเดือนก่อน

    Hivi vombo va habari vimekua va mchongo sana

  • @alexsikab6433
    @alexsikab6433 3 หลายเดือนก่อน

    Doctor mo ndo mchambuzi ninayempenda

  • @AntoniSalum
    @AntoniSalum 3 หลายเดือนก่อน

    Kwanza chama kiwango kimeshuka wamuache aende

  • @alexsikab6433
    @alexsikab6433 3 หลายเดือนก่อน

    Tunataka chama ahende Yanga wamuhache

  • @joshuamtagwa347
    @joshuamtagwa347 3 หลายเดือนก่อน

    Dr ongeza sauti husikiki kabisa

  • @andreamwangu2647
    @andreamwangu2647 3 หลายเดือนก่อน

    Vipi lawi ma simba wamefikia wapi?

  • @AliyyAli-ii1uz
    @AliyyAli-ii1uz 3 หลายเดือนก่อน

    Yanga hatumuhitaji tena