Kariakoo ni eneo la biashara sasa ukisema Magari yasiingie Kwahiyo mizigo itabebwa na nini? Kaeni chini check namna ya kurekebisha miundo mbinu ipatikane packing hapo hapo kariakoo
kwahiyo wafanya biashara wadogo waende wapi sasa unatakiwa useme unawapeleka wapi sio kwamba unawaondoa kila mtuu anatafuta riziki na huyo mfanya biashara mkubwa ameanzia kwenye mfanya biashara mdogo
Hao wanakata sauti yako mhe mhe,mkuu wa mkoa hatujui unachozungumza,hawa wandishi wa habari hawataki tujue unacho zungumza TBR24 mwe Wakweli anachoongeqa mkuu wa mkoa
Huyu mkuu wa mkoa wa dar angekuja huku kwetu tungemnyamazishaa anaendesha huo mkoa kama wakee
Mitano tena😀😀
Hiii wenye pesa ndo wenye maamuzi
Kariakoo ni eneo la biashara sasa ukisema Magari yasiingie Kwahiyo mizigo itabebwa na nini? Kaeni chini check namna ya kurekebisha miundo mbinu ipatikane packing hapo hapo kariakoo
Huyu naye anajiita kiongozi, anajua kudhibiti badala ya kuwezesha!
Kumekucha aya ssa 😂😂😂😂😂 wananchi
Hakuna anaekujali....pigania mkate wako na muombe mungu....mtwala yupo kwaajili ya maslahi ya utawala na ww ni namna gn unakua mafuta ya utawala wake.
La kwanza kuna jengo mkabala na soko la kariakoo, halijamalizwa,lina let picha mbaya,mkuu njoo uangslie ina miaka 10 like uchiiii
kwahiyo wafanya biashara wadogo waende wapi sasa unatakiwa useme unawapeleka wapi sio kwamba unawaondoa kila mtuu anatafuta riziki na huyo mfanya biashara mkubwa ameanzia kwenye mfanya biashara mdogo
Mshapewa miako 5 kam Huna kitu kalime
Hao wanakata sauti yako mhe mhe,mkuu wa mkoa hatujui unachozungumza,hawa wandishi wa habari hawataki tujue unacho zungumza TBR24 mwe Wakweli anachoongeqa mkuu wa mkoa
kaliakoo wafanya biashara wadogo ndowengi ukisema hawatakiwi huoni mtawakosesha ajira watuwengi sana
Sasa hivi uweymesoma hujasoma ajira hamna Sasa watu wamejiajiri mnawavuruga achamihemko wewe