SAFARI YA JUBILEI | AUDIO
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2025
- TUCHANGIE KUFANIKISHA JUBILEI 2025
CRDB A/C: 015C877000400 - KIPALAPALA SEMINARI JUBILEE
M-PESA LIPA NAMBA: 8298532 - ASUMPTA
TEGETE-KIPALAPALA CENTENARY JUBILEE
#Jubilei miaka 100
@KANISAKATOLIKITANZANIATEC
@radiomariatanzania
@taaborafm
@JugoMedia
@thegalaxypro6219
@radiombiu372
@tumainitelevision
🔥🔥🔥🔥🔥Hongereni wana Kipu
Ahsante sana 🙏
Nice
Thanks🙏
Utunzi mzuri sana, Mungu aendelee kutubariki na awazidishie neema zake katika maandalizi ya shangwera za kifikia kilele cha Jubilie hii mwakani 2025
Amina kwa matashi mema, na karibu kuwa sehemu ya Jubilei yetu 2025
Amina, Mungu awajalie kuifikia heri ya utumishi shambani mwa Bwana
Amina🙏
Hongereni sana mmeimba vzr sana Mungu awabariki sana mfikie lengo la wito wenu
Amina 🙏
Mungu azidi kuwabariki na kuwatia mioyo Ili muendelee kueneza neno lake kwa mahubiri kama haya 🎉🎉🎉❤❤❤❤
Amina🙏
Nawatakia Baraka za Mungu muweze kufanikisha Jubilei yenu mwaka kesho !!!
Amina, Tunakukaribisha, sana!
Well done brothers, Angelic voices, Mungu awabariki katika safari ya kumtumikia Mungu
Ahsante sana. Tumshukuru Mungu 🙏
Well composed 🎉🎉🎉
Hongera Sana kwa Jubilei Miaka 100
Asante, sana ubarikiwe pia
Kuimba vizuri ni kusali mara mbili; kazi nzuri
Ahsante sana 🙏
Hongereni Sana kwa utume
Ahsante sana 🙏
Keep it up
God bless 🙏
Mungu afanikishe Jubilee hii
Amina🙏
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Thanks 🙏
Kwakweli nimewapenda Bure vijanapo vizuri mungu awabariki
Amina, ubarikiwe pia..
Very nice
Thanks🙏
Tumshukuru Mungu.
Amina 🙏
Very nice song
Thank you 🙏
Hii imeenda
Tumshukuru Mungu 🙏
👍
🙏