I have great admiration for Lawrence Masha since the time you were my M.P Nyamagana (2005 -2010). You've fought a good fight. Those who support others today fight tomorrow. I am proud of you brother......
At the end of the day TLS needs LISSU.. . They need a Strong leader who can't be bought or be intimidated by Police.. . Common sense should prevail.. .
Lisu deserves the seat coz he can defend anyone without caring his own freedom, he is ready to be jailed several times just for justice and freedom of speech...... why NOT
congratulations. for.the lawyer's for being together. as one and elect mr iron tundu lisu to protect the environment and all groud of lawyers. in the country including the citizens of Republic of Tanzania. may years.lawyers were taken as in relevant people soo mr tundu lisu will manage the post well done mr lisu and congratulations
wangapi walikuwa wanamtukana lisu leo wako wapi ? mjiulize ni hao waliomchagua lisu ni watu wa aina gani ? mkilijua hili hamtawajibu tena wanaomtukana lisu na viongozi wanaotetea haki za wanyongee.
Asha Khamisi kiswahili chenyewe hujui, kwanza sio "FAIFA" ni Taifa, halafu unapotaja jina la Muumba Mbingu na Ardhi unatakiwa uanze na herufi kubwa, ni hivi Mungu na sio mungu
Nikweli kabisa makonda ni zaka ya TZ hata sasa Nimeanza kukubali kuwa vijana wa umri wa makondo na chini ya umri wa makamba wanauwezo wa kuongonza nchi hii. lilo zuri kabisa nipale makonda alivyo onyesha umahili wa kazi akiwa DC .RC. nakipindi akiwa kwenye Bunge la katiba alivyosema kuwa samia anatosha kuwa makamo wa Rais na ikawa hivyo. ni wachache wanaoweza kusema hivyo na ikawa hivyo kwa muonekano huo makonda ni Tunu ya TZ wale wenzangu waliopita umri wa makamba na hakuweza kufanya Haya makonda anayoyafanya wasimonee wivu ni muda wa makamba. hao wanapiga kerere wengine wameshika nyadhifa mbali mbali Lakini walishona midomo yao.mungu mbariki makonda Amen.
Kiingereza ni dhana ya kutendea kazi katika taaluma ya sheria. I mean is a hidden criteria for the presidential contestant. Katika sheria za Tanzania ni mbili tu ndiyo zimeandikwa kwa kiswahili yaani sheria ya mazingira na ardhi. zilizobaki zote ni kiingereza. In this way; no english, no law. Using swahili is a direct way of disqualifying yourself because you are sending a message to the community that you are not competent in legal aspects.
sijapenda lugha itumikayo man xi xio waingeleza!!!!!na ndomana at a xheria humkandamiza aliye xhini!!!!kutumia lugha ya watu in utumwa mtupu!!!!!!kiswahili kwa maendeleo ya jamiii ya zaxa na badae!!!!!!hapo n aruxha au London!!!!kumbukeni x ni watanzania!!!!!but lixxu kiti kinakufaaa
Oxcar Jumong tatizo la mfumo wako wa elimu, darasa la kwanza hadi la saba lugha ya kufundishia ni kiswahili kuanzia sekondari mpaka chuo lugha ya kufundishia ni kingereza unategemea nini? mwisho naomba untajie kiswahili kwa kingereza😂😂😂😂😂
sasa umeandika nini wewe? hizo x zina maana gani? mara zaxa? Hicho ni kiswahili? Rudia upya kuandika huenda ukawa na mawazo mazuri ila uwasilishaji haueleweki
Kwa mtazamo huu bado tunajidharau wenyewe , mpo Tanzania kingereza cha niñi? Mbona Nchi zenye lugha zao ndani ya nchi zao wanaongea lugha zao! Hata km kuna wageni kutoka Nchi nyingine kwa Tanzania haileti maana kutumia kingereza .
Masha has the best English.
I have great admiration for Lawrence Masha since the time you were my M.P Nyamagana (2005 -2010). You've fought a good fight. Those who support others today fight tomorrow. I am proud of you brother......
Abeid makarabo Asante kwa kunikosoa ila nishida tu sasa tuliyeogopa umande hapo tunatoka kapa basi wangetuwekea mkalimani
ngeli ndo zinamwagika hapo tusiyojaaliwa kwenda skuli imekula kwetu hakuna nilichojua hapo nasikia tu Yes na No bila kusahau the the the
Abuu sufian hahhaaaaaaa umenifrahisha wallah ila kweli
huhuhuhu Mimi sijaambulia kitu hapo Zaudat muangalie Masha kisha Mke wa Lissu kizunguzungu kimenitawala kichwani
ha ha ha ha umesahau kuambulia vigelegele
Abuu sufian
ndiyo hivyo Neema Daud maana hadi kizunguzungu kimenitawala kichwani hata sikumbuki na kama vigeregere vilikuwepo dah!!!!
congratulation mr Lissu i appreciate you.👍
Shukran san #Ayo tv
At the end of the day TLS needs LISSU.. . They need a Strong leader who can't be bought or be intimidated by Police.. . Common sense should prevail.. .
Lisu deserves the seat coz he can defend anyone without caring his own freedom, he is ready to be jailed several times just for justice and freedom of speech...... why NOT
lixxu your among important perxon in tz expecially for this ixxure
Wengne wanapiga makof apo kwaajil yaiko kingereza ila awajui kimeongelewa nn ama kwel msafara wakenge navijus wamo
lissu 🙌🙌
it has been a victory ,for those of us
congratulations. for.the lawyer's for being together. as one and elect mr iron tundu lisu to protect the environment and all groud of lawyers. in the country including the citizens of Republic of Tanzania. may years.lawyers were taken as in relevant people soo mr tundu lisu will manage the post well done mr lisu and congratulations
Big up our lawyers for electing the best defender and destroyer as a president of TLS Mr Tundu Lissu
we expect the tough personal who will revive the respect of human dignity in Tz
hii kwa ajili ya watz wote au!!
this is great
umeweka historia
UKISTAAJABU YA LEMA UTAYAONA YA MREMA!!
wangapi walikuwa wanamtukana lisu leo wako wapi ? mjiulize ni hao waliomchagua lisu ni watu wa aina gani ? mkilijua hili hamtawajibu tena wanaomtukana lisu na viongozi wanaotetea haki za wanyongee.
frankly speaking ths iz an open minded person!
kiswahili ruga ya faifa hata mimi sijapenda hiyo mh mungu tusaidie
Asha Khamisi ni taifa siyo faifa huhuhuhuuu
Asha Khamisi kiswahili chenyewe hujui, kwanza sio "FAIFA" ni Taifa, halafu unapotaja jina la Muumba Mbingu na Ardhi unatakiwa uanze na herufi kubwa, ni hivi Mungu na sio mungu
+Fazeel Shomary Asante Mw/Fazeel kwa kusahihisha tofauti ya kuandika nene Mungu maana watu wengi hupenda kutumia herufi ndogo wanapomtaja Mungu
Fazeel Shomary hahahaha
ha ha ha kwa mchapio huu sidhani kama tutafika mbali
pole
Yohana Shija ni kweli kabisa tz tuna tatizo LA elimu ata Mimi sijajua wanajadili nini naona kizungu zungu tu.
le sio matus hum haaaaaaa
hahahahaaaa hamnishindi mimi nahisi kizunguzunguuuu
sasa hapa huwezi kukuta comment nyingi tatizo ni lugha
Almat Rashid hahaaaaaa lugha gongana
sasa mbona ww umendika swanglish wakati wanalonga kingelesa
Hey guyz what is going on there????
hahahaha Millard Ayo uwe unapost vitu kama hivi tu comments ziwe za watu wenye akili timamu tu, hamna mitusi leo 😂😂😂
Fazeel Shomary 😂😂😂😂😂kuna jmaa analia hapo juu ety kwnn wmtmia kthungu...
mwache aendelee kulia tu 😂😂😂
kingfture TV mwache aendelee kulia tu 😂😂😂😂
Fazeel Shomary hahahah watu wanatafutana hawajui chakuandika
siangli Sasa😁😁
Nikweli kabisa makonda ni zaka ya TZ hata sasa Nimeanza kukubali kuwa vijana wa umri wa makondo na chini ya umri wa makamba wanauwezo wa kuongonza nchi hii. lilo zuri kabisa nipale makonda alivyo onyesha umahili wa kazi akiwa DC .RC. nakipindi akiwa kwenye Bunge la katiba alivyosema kuwa samia anatosha kuwa makamo wa Rais na ikawa hivyo. ni wachache wanaoweza kusema hivyo na ikawa hivyo kwa muonekano huo makonda ni Tunu ya TZ wale wenzangu waliopita umri wa makamba na hakuweza kufanya Haya makonda anayoyafanya wasimonee wivu ni muda wa makamba. hao wanapiga kerere wengine wameshika nyadhifa mbali mbali Lakini walishona midomo yao.mungu
mbariki makonda Amen.
Joseph Mangure makonda kaingiaje hapa au na ww bashite?
Hivi leo wapo nchi gani?na kama wapo Tz kwanini wanatumia english kwenye mkutano muhimu kama huu?
Kiingereza ni dhana ya kutendea kazi katika taaluma ya sheria. I mean is a hidden criteria for the presidential contestant. Katika sheria za Tanzania ni mbili tu ndiyo zimeandikwa kwa kiswahili yaani sheria ya mazingira na ardhi. zilizobaki zote ni kiingereza. In this way; no english, no law. Using swahili is a direct way of disqualifying yourself because you are sending a message to the community that you are not competent in legal aspects.
Neema Daudi hii lugha huwezi kutukana, bashite wamekubamba
Neema Daudi bashite??
+buko said nasubiri wakipost vya uswazi nita comment
sijapenda lugha itumikayo man xi xio waingeleza!!!!!na ndomana at a xheria humkandamiza aliye xhini!!!!kutumia lugha ya watu in utumwa mtupu!!!!!!kiswahili kwa maendeleo ya jamiii ya zaxa na badae!!!!!!hapo n aruxha au London!!!!kumbukeni x ni watanzania!!!!!but lixxu kiti kinakufaaa
Oxcar Jumong tatizo la mfumo wako wa elimu, darasa la kwanza hadi la saba lugha ya kufundishia ni kiswahili kuanzia sekondari mpaka chuo lugha ya kufundishia ni kingereza unategemea nini? mwisho naomba untajie kiswahili kwa kingereza😂😂😂😂😂
sasa umeandika nini wewe? hizo x zina maana gani? mara zaxa? Hicho ni kiswahili? Rudia upya kuandika huenda ukawa na mawazo mazuri ila uwasilishaji haueleweki
nimekubali tatitzo n mfumo wa elimu!!!!ila taifa huru hutumia lugha yake!!!
Hii inawalenga mawakili tu sio wananchi wote na nukuhusu ushaguzi wa President wa TLS ndo maana mawakili huitwa wasomi so wanaielewa lugha
lIsu you rock
You deserve the post
hapo ndipo nitakapoamini kuwa wajinga ndio wanaocoment ujinga na ni vijana wa ccm hebu ona leo kimyaaaaaaaa!!!!!!!!
hahahahahaha leo sion matus millard umenkomeshea wapenda matus leo hahahahaha bola hata mnipe like tu
Kwa mtazamo huu bado tunajidharau wenyewe , mpo Tanzania kingereza cha niñi? Mbona Nchi zenye lugha zao ndani ya nchi zao wanaongea lugha zao! Hata km kuna wageni kutoka Nchi nyingine kwa Tanzania haileti maana kutumia kingereza .
Sharifs Mussa well said,. hakuna haja za kutumia kiingereza kwenye swala la kitaifa..
haujui kama kiingereza ni lugha ya kikazi???
ila kama hujawahi kwenda nchi za nje , nakuelewa kwanini huoni umuhimu wake.
Wanasema hivi;Mafuriko mwisho Dar.Muandamane kuyapinga!