HOW TO CREATE AN INTERNATIONAL TIKTOK ACCOUNT IN TANZANIA/KENYA (IN AFRICA)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ส.ค. 2024
  • A video tutorial that explain and shows how to open an international TikTok account (UK TikTok) which pays a lot to it's creators through features like, Creator rewards program, video gift, live gift, Creator marketplace, work with artists etc.
    #tiktok #tiktokvideo #tiktokviral #creatorrewards #internationaltiktok

ความคิดเห็น • 392

  • @DijaCute
    @DijaCute หลายเดือนก่อน

    Asante sana kaka nimeweza😊🙏

  • @GermainCikwanine
    @GermainCikwanine 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana nime weza ku tengeneza Tiktok aconte kaka asante sana

  • @user-vm6kj2zx6p
    @user-vm6kj2zx6p หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe my brother 🎉🎉🎉

  • @mrsitcom74
    @mrsitcom74 26 วันที่ผ่านมา

    Barikiwa ndugu ..ningerijua kitambo ningekua sawa

    • @Itsviani
      @Itsviani 24 วันที่ผ่านมา

      Me nime shindwa nisaidie

  • @SarahMussah-td7pu
    @SarahMussah-td7pu 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hapo kwenye maneno madogo yapo ya by continue you agree terms and condition tu hivo nashishwa kuweka locatio

  • @user-ux8hm7sy3n
    @user-ux8hm7sy3n 2 วันที่ผ่านมา

    Naletewa Ujumbe wa verify kwenye email Lakini nikiweka code au nikiverify inajiandika hivi (Maximum number of attempts reached . try again later ) nisaidie hapo broo

  • @IbrahimAli-im8sg
    @IbrahimAli-im8sg 4 หลายเดือนก่อน +1

    Bro asante Sana nimefanikiwa ila bado kuvery fai najinsi ya kuja kuingiza Pisa usisahau somo linalofuata GOD BLESS YOU BROTHER 🙏

    • @Africadigitalcommunity
      @Africadigitalcommunity  4 หลายเดือนก่อน +1

      Video ipo tayari ingia kwenye channel ucheck

    • @user-bt5up4qb6w
      @user-bt5up4qb6w 4 หลายเดือนก่อน

      Bro account yangu haionyeahi tz

    • @toshfransican2502
      @toshfransican2502 4 หลายเดือนก่อน

      Nilijaribu maratatu hivi ikaniambia nimejaribu marakadha so nijaribu tena lakini process ilikuwa sawa

    • @DaudidizoniWatanga-wh1kz
      @DaudidizoniWatanga-wh1kz หลายเดือนก่อน

      Naomba kuuliza pia brother ivi kwenye kufungua iyo Email mpya ntatumia tu namba ya apa Tanzania

  • @jumahemed2532
    @jumahemed2532 4 หลายเดือนก่อน

    Asante ndugu acha tufanye tukiganda sehemu nitakuja Kwa swali zaidi Asante na ubarikiwe mpendwa wetu

  • @Mwaisa255
    @Mwaisa255 2 หลายเดือนก่อน

    Big up bro nimeweza👊

    • @Elvanwankyo
      @Elvanwankyo หลายเดือนก่อน

      Niaje mzee mm inambia niverify email inakuaje mzee

  • @user-xz1xg1mz1t
    @user-xz1xg1mz1t 4 หลายเดือนก่อน +1

    UNafundisha vizuri😂unyama sana

  • @sabryusuph1254
    @sabryusuph1254 4 หลายเดือนก่อน +11

    Broo naomba kuuliza ukimaliza kufungua account je ukimaliza kufungua utaendelea kutumia vpn au kazi yake ni unaitumia kufungulia tu

    • @Africadigitalcommunity
      @Africadigitalcommunity  4 หลายเดือนก่อน +7

      Tumia ndani ya siku 3-5

    • @sabryusuph1254
      @sabryusuph1254 4 หลายเดือนก่อน

      Oky mkuu kwahy naweza fanya prosses nyingine kama kuweka picha na bio

    • @frankkanuth6747
      @frankkanuth6747 4 หลายเดือนก่อน +1

      bro kibox cha hapa juu upande wa kushoto me kwangu hakipo nimekosea labda wap

    • @BaikokoTz
      @BaikokoTz 4 หลายเดือนก่อน

      Kaka mimi piah ki box upande wa juu hakipo hila creator Rewards program hipo

    • @MaxmilianAnthony-nm9hg
      @MaxmilianAnthony-nm9hg 4 หลายเดือนก่อน

      Samahani hii vipi mbona siion kaka

  • @user-ux8hm7sy3n
    @user-ux8hm7sy3n วันที่ผ่านมา

    Pia nimefungua Accounts tyari lkini inakuja iliotumiwa na mtu Mwengine nini shida halafu kile kibox hakiji naomba msaada hapo

  • @Erricqquejay_ara
    @Erricqquejay_ara 4 หลายเดือนก่อน

    Firstly i wanna give you a big cheers for your clues and get more years for life and get blessed to your fourth generation.
    I think my time that i have been wasting you have saved it then!!!

    • @Africadigitalcommunity
      @Africadigitalcommunity  4 หลายเดือนก่อน +1

      Be blessed 😇

    • @Erricqquejay_ara
      @Erricqquejay_ara 4 หลายเดือนก่อน

      Nijinsi gani naweza ku draw pesa kutaka kwa tiktok bro

    • @Africadigitalcommunity
      @Africadigitalcommunity  4 หลายเดือนก่อน

      Angalia video yangu ya mwisho kupost inaelezea

    • @AbubakariTz
      @AbubakariTz 29 วันที่ผ่านมา

      Kwenye information account unaweza namba Gani ya Tz itakubali

  • @Erick-m1o
    @Erick-m1o 15 วันที่ผ่านมา

    Ahhh kweli ni shule kamili❤❤❤

  • @KimasoRhythms
    @KimasoRhythms 4 หลายเดือนก่อน +2

    Shukrani sana kaka

  • @user-bl5bk7jk2u
    @user-bl5bk7jk2u 3 หลายเดือนก่อน

    Naombaa msaada zaid

  • @Burudaniburudani127
    @Burudaniburudani127 4 หลายเดือนก่อน

    Bro kwenye ulinzi ndio nafeli maana mfano wewe kule tiktok unapo elekeza ulinzi inaonekana pale kwenye phone umeweka namba hapo sielewi

  • @Lay_shorts_videos
    @Lay_shorts_videos 4 หลายเดือนก่อน +2

    Nimekuelewa vzr sana kaka lkn Naomba utusaidie na jinsi ya kupata pesa facebook 🎉

  • @Meditation-q9h
    @Meditation-q9h 4 หลายเดือนก่อน

    asante sana bro mungu akubarik nimefanikiwa kufunguwa account ila kupata views na follow ni shida sana

  • @teddynicholaus361
    @teddynicholaus361 6 วันที่ผ่านมา

    Nmechokaaa mee ikifika kwenye code inasemaa maximum number of attempt siku nzimaa imegomaa😢😢😢

  • @NassorAhmad-p4v
    @NassorAhmad-p4v หลายเดือนก่อน

    Maximum number of attempts reached. Try again later. Nikiwek code Kaka inakuja hivi naomba nisaidie nimechoka Kaka kujaribu 😢

    • @Akimfootball
      @Akimfootball 19 วันที่ผ่านมา

      Kweli inazingua

  • @BrianKimaro-nh5uw
    @BrianKimaro-nh5uw 4 หลายเดือนก่อน +1

    Asanteee nmeipataaaa🙏

  • @Rev.IsaiahWanyonyiOffical
    @Rev.IsaiahWanyonyiOffical 24 วันที่ผ่านมา

    Mbona ni kifika hapo kwa send code ina ni ambia to much attempt try again later kwani shida inaweza kuwa gani

  • @brightramsonhb3517
    @brightramsonhb3517 22 วันที่ผ่านมา

    Broe so it means kama nina account yang ambayo sio international account haitawezekna kuihamishia kweny international account. Coz me ninafollowers wang kadhaa kidog na naona uchungu ku create new account. Ntafanyaj apo kak

  • @Aggie111
    @Aggie111 6 วันที่ผ่านมา

    Mambo vipi bro me inapofikia kwenye verification ya kwenye email wananitumia code naingiza lakini inanigome wakati imevery kwenye email hebu nisaidie

  • @Ivanmichael-dp6jy
    @Ivanmichael-dp6jy 3 หลายเดือนก่อน

    Ahsante sana kaka

  • @user-nt6bv4od5n
    @user-nt6bv4od5n 28 วันที่ผ่านมา

    Boss nauliza wakati nawasha vpn ili niweze kufungua interational tik tok ninawasha data labda ya airtel,Voda au tigo au natumia wifi ndo niwashe vpn

  • @Happyness-Mmassi
    @Happyness-Mmassi 4 หลายเดือนก่อน +2

    Sorry kaka angu, sijaelewa vzuri maana kuna sehemu umesema inabidi ni uninstall my TikTok app alafu kuna sehemu tena ukasema naingiza my TikTok account, sasa hapo inabidi niwe nimefungua account nyingine?

    • @Africadigitalcommunity
      @Africadigitalcommunity  4 หลายเดือนก่อน

      ukisha uninstall ingiza VPN kisha install TikTok upya

  • @Fey-stephen
    @Fey-stephen 3 หลายเดือนก่อน

    Unamaanisha the current tiktok siwezi ibadili yenyewe instead of uninstalling

  • @kilimaentertainment1687
    @kilimaentertainment1687 2 หลายเดือนก่อน

    Naomba unisaidie baada ya kupakua nimeenda vizuri mwanzo kabisa hainipi Hilo neno inataka sign up/ sign in yaaini nikipanda pale juu kwenye mistari mitatau hainiletei Ile list ya chini ya kushoto

  • @EstherPatrick-xi2jj
    @EstherPatrick-xi2jj 3 หลายเดือนก่อน

    Jaman nimeweza ahsante

    • @sayunisayuni3993
      @sayunisayuni3993 2 หลายเดือนก่อน

      Naomba unieleweshe hapo kwenye passwed inaikataa

  • @MsafiNuru
    @MsafiNuru หลายเดือนก่อน

    Sasa bro, hiyo VPN ,ukiwa na account ya youtube haitobadilisha location?

  • @SAIde-yt1mu
    @SAIde-yt1mu 3 หลายเดือนก่อน

    Thank you so much🎉🎉🎉 maua yako💐💐💐

  • @frame10stz
    @frame10stz 21 วันที่ผ่านมา

    Nimefungua international tiktok account lakin Kila nikimfollow mtu Ina unfollow automatic

  • @Director_Kitindi_Complete
    @Director_Kitindi_Complete 3 หลายเดือนก่อน

    Naomba Namba Yako Kaka Nashida

  • @riverlolence
    @riverlolence 23 วันที่ผ่านมา

    Samahani lakini naomba kuuliza swali nimeona Kama mara mbili lakini kwenye balance azionekani bro naomba kujua kwanini bro

  • @MUSSAWACHARAMBE-si6ci
    @MUSSAWACHARAMBE-si6ci 3 หลายเดือนก่อน

    Kaka mimi tayari nimefungua lakini niki follow wanafutika na video zangu hazina vws

  • @JuniorKabVictor-jp2cb
    @JuniorKabVictor-jp2cb หลายเดือนก่อน

    Asante kabisa,ila Mimi niko na swali nilitaka nijue wakati wakutengenezea account TikTok huko marikani nahiyo account itaomba uitumikishe na vpn ao uk?

  • @tetri-numz96
    @tetri-numz96 4 หลายเดือนก่อน +1

    But kama ulivyosema kaka kwamba ukishafungua utaona video ambazo zipo nje je kama ukipost kontent zitaonekana nchi uliyopo mfano mimi nipo Tanzania nikifungua international account watanzania wataweza kuziona content zang ?!..

  • @BrownCloud-f2j
    @BrownCloud-f2j 3 วันที่ผ่านมา

    Kama imel imefunguliwa na namba ya TZ ina kuanje

  • @HajiDibwa
    @HajiDibwa 2 หลายเดือนก่อน

    Je ikiwa ipo hiyo reward program alama yake hipo lkn kile kibox ulichosea hakun kwaiyo hiv itakuwa international tiktok au itakuwa bado

  • @frenkpaskal4742
    @frenkpaskal4742 4 หลายเดือนก่อน

    Atary San brother 🔥🔥

  • @Scofield_drc-oc8oh
    @Scofield_drc-oc8oh 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nimesha Pima ku post ila bado sijuwi kama ni tatizo ya nini ?

  • @JumanneAbdallah-b3u
    @JumanneAbdallah-b3u หลายเดือนก่อน

    Nimejaribu sana inakataa Yani

  • @donationtv8277
    @donationtv8277 4 หลายเดือนก่อน

    Upo vzur aiseee..tunasubir kipengere kinachofuata

  • @wizzdai1146
    @wizzdai1146 3 หลายเดือนก่อน

    Gud sanaaa

  • @HigmoTv
    @HigmoTv 3 หลายเดือนก่อน

    Good job brother 👍❤💪

  • @Aggie111
    @Aggie111 5 วันที่ผ่านมา

    Bro nimefungua ila hicho kibox hakuna

  • @misscellmtm2806
    @misscellmtm2806 4 หลายเดือนก่อน

    Kwa mfon mimi sitaki kufungua mpya nataka hiii account je ninaweza kubadilisha to location na uthibitosha ikakubali au ni lazim mpka fungufie mpy

  • @Financialclass-cm2ou
    @Financialclass-cm2ou 3 หลายเดือนก่อน

    Mimi nimeweza kutengeneza International tiktok account lakini vpn ya thunder uwa siizimi lakini nikiamka asubuhi nakuta imejizima yenyewe iyo haina shida? Kwenye monetization au kila nikitaka kuingia tiktok natakiwa niwashe kwanza vpn?

  • @NassorAhmad-p4v
    @NassorAhmad-p4v หลายเดือนก่อน

    Dokta nimefany lkn nimefika kwenye code nimetumia code kwenye email yangu lkn nikiziwek hazikubali naomba nisaidie tafadhali 😢

  • @DogoJastin-xu4yy
    @DogoJastin-xu4yy 3 หลายเดือนก่อน

    Baba nakuku bari sana❤❤

  • @edwardiskomele3276
    @edwardiskomele3276 หลายเดือนก่อน

    iv kwa mfano baatimbay ukafta file ya TikTok video nazo huw zinaftika

  • @malkiaoisso1325
    @malkiaoisso1325 27 วันที่ผ่านมา

    Izo tiktok live gift wakikuzawadia je unalipwa pesa ama inakuwaje

  • @neemaalexmdumbwa9359
    @neemaalexmdumbwa9359 4 หลายเดือนก่อน

    Kaka nmefanikiwa bt nmechagua location france shida kwenye kile kiboks cha kushoto cha zawad wanaandika kifaransa vipi siwez badil location au

  • @riverlolence
    @riverlolence 23 วันที่ผ่านมา

    Bro Mimi nimeona nimetumiwa Kama mara mbili lakini kwenye balance azionekani bro

  • @NassorAhmad-p4v
    @NassorAhmad-p4v หลายเดือนก่อน

    bro, if you join the UK 🇬🇧 account, you need to turn on mobile data or wifi

  • @Director_Kitindi_Complete
    @Director_Kitindi_Complete 3 หลายเดือนก่อน

    Naomba Namba Yako

  • @mukebelyget6198
    @mukebelyget6198 4 หลายเดือนก่อน

    Ahsante, nimefanikiwa kuunga International tiktok account

    • @Africadigitalcommunity
      @Africadigitalcommunity  4 หลายเดือนก่อน

      👍

    • @E_mwafrica-dc2zm
      @E_mwafrica-dc2zm 4 หลายเดือนก่อน

      Kwenye imel kwngu inaznguka tu

    • @FrankKalamba
      @FrankKalamba 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@Africadigitalcommunity samahani mbona kwangu inakataaa

  • @francinemiburo6162
    @francinemiburo6162 4 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana

  • @Gesunte-mn3qn
    @Gesunte-mn3qn 29 วันที่ผ่านมา

    Kwaiyo Maokoto Wakitaka kukulipa Watakuwekea Wapi Sasa?

  • @JoshuaSilayo
    @JoshuaSilayo 9 วันที่ผ่านมา

    Nikifika kwenye nickname inakataa naomba msaada

  • @Ongeteammusic
    @Ongeteammusic 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nimefunguwa kweli kaka ila nilipost video Jana mpaka sasa aina hata mtazamaji nifanye kaka yangu?

  • @AbdallahYahya-rc2uv
    @AbdallahYahya-rc2uv 3 หลายเดือนก่อน

    Iv ukishatumia vpn mda wa kujisajiri je mda wa kupost na kuingia live utaitumia vpn?

  • @AusonHero
    @AusonHero 4 หลายเดือนก่อน

    Duh bro naomba majibu ninapofika kwenye upande upande wa kuweka email inakatiliwa na wananiandikia kubwa "maximum sijui nn nn reached" apo unanisaidiaje?

  • @mutumwaondefo-ps6sy
    @mutumwaondefo-ps6sy 3 หลายเดือนก่อน

    Brother mimi nikijalibu gu search everything hawanip matokeo na nikijalibu ku like au gu comment habiwezekani brother nambie nin shida ni kwa account mpya niliifungua nikijalibu hangalia video yako ko help me brother

  • @Minksportszone
    @Minksportszone 3 หลายเดือนก่อน

    Bro naomba kuuliza kuwa, naweza ku be banned na tiktok kama nikichukua video TH-cam nikai edit vizuri na then kui apload tiktok?????

  • @kimyamasha9626
    @kimyamasha9626 4 หลายเดือนก่อน

    Niaje mkuu nimejaribu kufungua lakini inaishia kwenye birthdy himalizii
    shida ipo wapi apo?

  • @iyanfella7350
    @iyanfella7350 3 หลายเดือนก่อน

    Kaka wakati nmechagua inchi mfano nmeeka United State alaf nikieka email ikataa et Maximum number of attempt is reached. Shda ineza kua n nn

  • @lucinafrancis255
    @lucinafrancis255 13 วันที่ผ่านมา

    nimejaribu tena lakini nikifika kwenye email ina niandikia (maximum number of attempts reached. try again later.)
    please help me.

  • @Ushashi26
    @Ushashi26 2 หลายเดือนก่อน

    Mwali nimejitahidi lakin hainiletei Kama inavyo leta kwako, inaniambia niingize namb zangu Kisha kunakode zinatakiwa kuingizwa ndo wananipa sekunde tu sioni kbisa nifanyeje

  • @ALBERTHAROBERT
    @ALBERTHAROBERT 2 หลายเดือนก่อน

    Kwan lazma kuunistall account yang ya tiktok??????

  • @lilianauma8976
    @lilianauma8976 2 หลายเดือนก่อน

    Kaka mbona mm niki fika pale kwa ku saini up , hapo chini haileti nchi yangu, bali ni terms of service na pia privacy?

  • @hamic01491
    @hamic01491 หลายเดือนก่อน

    VPN imegoma shida itakuwa nini?au ni sim inazingua

  • @user-wr2nv3hg9r
    @user-wr2nv3hg9r 4 หลายเดือนก่อน

    Kaka unisaidie mimi inaleta symbol kila nikizipanga sivo nifanyaje ini niweze kuzipanga ivo symbol ili niweze kufunguwa acaunt

  • @FabianceOdhiambo
    @FabianceOdhiambo 4 หลายเดือนก่อน

    Swali langu Sasa...hivi baada ya kuidanlod VPN ukiifuta itakuaje? jibu tafadhali

  • @FURAHA-BESTt
    @FURAHA-BESTt 3 หลายเดือนก่อน

    Broo nimefungua intentional TikTok account lakin sipati viewers nifanyeje 🙏🙏

  • @tresonwalya
    @tresonwalya 4 หลายเดือนก่อน +2

    Nime ona Dr TikTok
    Nauliza pale ulipo sema that tuna futa TikTok . Tunafuta tu au tuna log out na account
    tulio kuwa tuna tumia kabla ya kuifuta TikTok

    • @Africadigitalcommunity
      @Africadigitalcommunity  4 หลายเดือนก่อน

      Hapo ukisha uninstall TikTok ingiza VPN kisha install upya TikTok

    • @tresonwalya
      @tresonwalya 4 หลายเดือนก่อน

      @@Africadigitalcommunity okay Ina mana hamna haja ya ku log out

    • @Africadigitalcommunity
      @Africadigitalcommunity  4 หลายเดือนก่อน

      Offcoz lakini Kwa usalama tu zaidi unalogout

    • @tresonwalya
      @tresonwalya 4 หลายเดือนก่อน

      @@Africadigitalcommunity great thanks brother

    • @edwinediomedes5176
      @edwinediomedes5176 4 หลายเดือนก่อน

      On love bro
      😎

  • @MwanzaJunior-nf2nd
    @MwanzaJunior-nf2nd 2 หลายเดือนก่อน

    Kaka mimi sijakuelewa ju tumeunstall iyo tiktok so imetokana na wapy tena bro.....ama mm ndo sielewi plz

  • @ZakayoLukac
    @ZakayoLukac 4 หลายเดือนก่อน

    Sasa broo mbona nilifanikiwa kufungua ila ni kipost inaelekea sehemu ya friend nifanyaje hapo

  • @PatrickAmissi-zm1jx
    @PatrickAmissi-zm1jx 2 หลายเดือนก่อน

    Samaani Kaka mimi Nina changamuto nilifunguwa lakini nili badilisha simu ika poteya sijuwi nifanye Nini ili nirudishe akahuti yangu

  • @user-pb9td9ki1s
    @user-pb9td9ki1s 3 หลายเดือนก่อน

    Ulisema niifute tiktok yangu nikishaifuta nikidownload vpn nitakuta fail la tktok au nitadownload nyengine!?

  • @successpatience7641
    @successpatience7641 3 หลายเดือนก่อน

    Sasa unaingia kwenye app ya TikTok na umesema ui install, ?

  • @HajiDibwa
    @HajiDibwa 2 หลายเดือนก่อน

    Kama kibox hakuna cretor reward program hipo je itakuwa ni international tik tok au bado

  • @SalmaAhmed-fh1uc
    @SalmaAhmed-fh1uc 2 หลายเดือนก่อน

    Bro mm kila nikieka code nilotumiwa inagoma shida ni nn maana ata kufungua tiktok bado inataka niverify msaada

  • @ashamamushi6397
    @ashamamushi6397 4 หลายเดือนก่อน

    Nimetengeneza ila kibox cha zawadi hakipo ila creator reward program ipo

  • @revocatusbahatibussiah
    @revocatusbahatibussiah 2 หลายเดือนก่อน

    Bro vipi hata Japan inahusika??? Maana kwa upande wangu imekubali japan

  • @NasraSuleiman-vy9jc
    @NasraSuleiman-vy9jc 2 หลายเดือนก่อน

    Mbona mm haina iyo credit tool

  • @BenardNkuga
    @BenardNkuga 4 หลายเดือนก่อน

    Lkn naona video za mambele ila shda n kiboks tyuu ndo hakijii

  • @msaysha5886
    @msaysha5886 4 หลายเดือนก่อน

    Sms zinavyo ingia utadhani tuko live 😂

  • @Mnyamwezimirambo-ij4ku
    @Mnyamwezimirambo-ij4ku 2 หลายเดือนก่อน

    nime shindwa kuna sehemu nikifika panataka code ili ni verify e mail

  • @magnuslukoma5795
    @magnuslukoma5795 หลายเดือนก่อน

    Nimekupata vyema

  • @SuleimanOmar-py7vt
    @SuleimanOmar-py7vt 3 หลายเดือนก่อน

    Na followers mpaka ngapi ndo ulipwe ukifungua hiyo account mpya

  • @emanuelsilumbe6152
    @emanuelsilumbe6152 3 หลายเดือนก่อน

    mimi nashindwa kuingiza inaandika verified 2 obeject

  • @olivaoscar4712
    @olivaoscar4712 3 หลายเดือนก่อน

    Kaka mimi inanidai code nakosea wap??

  • @bahameking4878
    @bahameking4878 4 หลายเดือนก่อน

    Nimefungua account but hakuna vile vimstari vitatu but ukiingia ndani zaidi unapata hizo feature zote kuonesha ni international account

  • @TynahChitamu
    @TynahChitamu หลายเดือนก่อน

    Dah yaani mm bado sijaelewa niifute then ni danlod au

  • @jumaahmedy2789
    @jumaahmedy2789 3 หลายเดือนก่อน

    Bradha niki verify hainiletei cod broo
    Samaan nielekez nimekosea wap

  • @TynahChitamu
    @TynahChitamu หลายเดือนก่อน

    Mm nimeshaingiza imal lakini kwenye pasuedi inazingua

  • @IbraahAstonish
    @IbraahAstonish 2 หลายเดือนก่อน

    Naomba uni saidie mimi signup ipo ila apo kweny kuchagua county haipa