Radio Tanzania Dar es salaam iliua vipaji vya music Tanzania; aina ya music waliokua wanapiga musicians wetu those times ilitakiwa washindane na wana music wa Zaire (sasa DRC) lakini kwakua wali monopolize soko la muziki Tanzania hawakua na ujuzi, uwezo wala tamaa ya kusambaza kazi zao nje ya mipaka yetu. Mawazo ya kijamaa yalikua ya kipuuzi sana. Wana muziki hawa wamefariki wakiwa masikini sana tofauti na wenzao wa Zaire.
reminds of RTD Club Raha Leo and the late uncle Julius Nyaisanga, the man behind this wonderful live radio program every Sunday, mostly after major bands recorded their music in RTD studios on Pugu road.
Enzi hiziooooo. Tancut Almas wana kinye kinye kisonso, fimbo logoda, Tisa kumi mangala. Ama kweli dunia tutaicha
Radio Tanzania Dar es salaam iliua vipaji vya music Tanzania; aina ya music waliokua wanapiga musicians wetu those times ilitakiwa washindane na wana music wa Zaire (sasa DRC) lakini kwakua wali monopolize soko la muziki Tanzania hawakua na ujuzi, uwezo wala tamaa ya kusambaza kazi zao nje ya mipaka yetu. Mawazo ya kijamaa yalikua ya kipuuzi sana. Wana muziki hawa wamefariki wakiwa masikini sana tofauti na wenzao wa Zaire.
Kashasha Baba,ua langu la moyo Baba,mzazi mwenzangu Baba,nisikilize mwenzio naumia,tumetoka mbali mimi na wewe Baba.
reminds of RTD Club Raha Leo and the late uncle Julius Nyaisanga, the man behind this wonderful live radio program every Sunday, mostly after major bands recorded their music in RTD studios on Pugu road.
Era of socialism....