Sawa je kama IKIWA mtu alichukua ahad njito kwa MKEWE wa NDOA ya kwamba sitakusaliti kwa maana ya kutokuutumia utupu wangu kwa MWANAMKE asiekua wewe na akaahid endapo kama ATAFANYA HIVYO basi Allah ABATILISHE A'amal zake kesha akaliendea Hilo kosa imma kwa kusud au udhaifu na akahtaj kufanya towba. Je? Kufanya hivyo KWAKE ATASAMEHEWA???@@jtvznz4507
shukran sheikh wetu bado wanafuz tuko wengi huku Arusha kwa darsa zako kila kheri
Allah akulinde na maadui sheikh wetu mselem
Utujalie tawber nasuha na Dua zenu twazitaraji
Allah atujaalie toba ya kweli kabla mauti😂
Assalamualaikum. Jaman Tukiwa na maswal kuhusu mada tunaulza wap?
@@JEURI.Mwinyimkuu UNAWEZA KUULIZA TUKAKUULIZIA KWWNYE DARAA KWA NIABA