Henock Inonga aenda kuwasalimia wachezaji wa Taifa Stars
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 ต.ค. 2024
- Tazama beki wa DR Congo, Hennock Inonga alivyokwenda kuwasilimia wachezaji wa Taifa Stars, walipokuwa kwenye mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Marty's jana Alhamisi ya Oktoba 9, 2024
Inonga kwa sasa anacheza soka nchini Morocco akitokea klabu ya Simba ya Tanzania.
Stars itashuka dimbani leo Oktoba 10, 2024 dhidi ya DR Congo mchezo wa kundi ‘H’ #KufuzuAFCON2025.
#KufuzuAFCON2025 #AFCONQ2025 #MtoCongo #TaifaStars #Tanzania #CongoDR #DRCongo #CongoDRTanzania #DRCTanzania
Makame ni shabiki wa mpira anaependa mpira 🙌
Fire play
MZEE ni fair play au FIRE PLAY
Mbona nashindwa kutoa maoni yangu 🎉
Mbona kama kakataa tano ya Karigo G. Karigo
duuuh namkumbuka sana kiboko ya mayele😢😭😭
Sijui kama tutatoboa hii gemu
😂😂😂😂😂tunatoboa rabda Asicheze fei toto
Usimkatie mtu tamaaaa 😂😂😂😂
DUKAAAA HILOOOOO
Mbon makasiriko
Game ni 50 kwa 50
Duka. La yanga ilo
Mteja wa utopolo huyo😂😂😂
Hyo fair play mjomba unafeli
game saa ngap jaman?
Saa 1 mwambaaa
Twenden na kauli ya ubaya ubwege tutashida tuuuuu!!!
Hiyo itatuponza 😂😂
Hamna jinsi
Kuna mchezaji hapo kavaa 16 ana roho ya kwanini😅
Lusajo ama Kuna mtu alikua anaongea nae nikama japo na mm kanishangaza😂😂
Nilikuwa natafuta hii comment
Nimeupenda huu mdundo naupataje 😂😂
@@WendeMposola tumia shazam
@@kenwatkinz9828 Shazam ndo nini 😂😂