SHIGONGO AOMBA WATU WAMUOMBEE RAIS TRUMP ABADILI MAAMUZI “WATU WENGI WATAFARIKI KWA KUKOSA ARVs”

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 132

  • @dorambaga2667
    @dorambaga2667 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +12

    Naomba Mungu Trump azidishe zaidi vikwazo, ili mkome kusema mitano tena , tunatakiwa kuchagua viongozi wenye weledi tuache ushabiki mandazi taifa lisiangamie

    • @ChristineElias-bn4dw
      @ChristineElias-bn4dw 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Hata mim naomba hivyo hivyo tu kwakweli watz tuko wajinga xn unaanzaje kuomba mtu wakati Tz kuna kila kitu wanashindwa nin kujitengemea wao tatizo viongozi wanajali matumbo yao tu ndio shida utasikia ule msemo mama mitano tena 😂😂😂

    • @DeogratiusAndrew-zi7zv
      @DeogratiusAndrew-zi7zv 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      amekosa kazi shigongo

  • @blackyoungmaestro
    @blackyoungmaestro ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Nashauri tumuombe Mungu atuongezee uwezo ili tuache utegemezi. Tusikubali kudharauliwa na wazungu

  • @winergamer-b3f
    @winergamer-b3f 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Ni muda sahihi wa kumrudia Yesu anaweza. Amelaaniwa amtegemeaye mwadamu

    • @hanifa9153
      @hanifa9153 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ni mungu 1 sio yesu yesu ni nabii wa wana wa Israel acha upofu😂

    • @winergamer-b3f
      @winergamer-b3f 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @hanifa9153 fahamu kua wamepita mitume na manabii lakini jina Yesu ni yeye atakayewaokoa wanadam na dhambi zao

    • @hanifa9153
      @hanifa9153 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @winergamer-b3f kwenden zenu acheni kpotosha jamii ata hio kitabu yenu haijasema muabudu yesu msituchanganye bhana mungu ni 1 hizo kelele zenu tushazichokaga

    • @winergamer-b3f
      @winergamer-b3f 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @hanifa9153 kwakumkataa tu Yesu umehukumiwa. Yesu ni mwana wa Mungu.. mti wenye matunda huo uoni unavyopigwa mawe??

    • @winergamer-b3f
      @winergamer-b3f 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @hanifa9153 Tangu ulimwengu kuumbwa nani aliyekufa akafufuka? Nani alipaa mbinguni. Tunapona kwa jina la Yesu

  • @Gavi_255
    @Gavi_255 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Watu wadhaifu kama hawa hata sio wa kuwasikiliza

  • @dorambaga2667
    @dorambaga2667 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Ulijifanya kuleta wachina nchini kwa kisingizio cha uwekezaji, viongozi wasio na maono wamejaa Tamaa, ubinafsi waopenda kusifiwa kila mara wasiotaka kuambiwa ukweli, trump baba weka vikwazo vikali zaidi wafrica waamke

  • @terrence9477
    @terrence9477 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +9

    Hebu tufikirie zaidi, kwa hiyo hamwezi kuishi bila US? kwa sisi sio watu?

    • @FahadAbubakari-y3f
      @FahadAbubakari-y3f 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Hawa ndo watu ambao kutwa husema mama anaupiga mwingi mama kafanya yasiowezekana Leo bila aibu au haya anasema Trump aombewe ili abadili uamuzi watu wasife, viongozi wasio na maamuzi wala majibu ya maswali magumu yani Leo uhai wa watz uko kwenye fikra na maamuzi ya raisi wa usa hii inakufundisha mengi sana kwa Hawa watu .

    • @Oldskulgemini9991
      @Oldskulgemini9991 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mgonjwa wa ukimwi anaweza kuishi Bila ARV? Mjibu lake ndio hilo

    • @florangido202
      @florangido202 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@terrence9477 hapo kinachozungumxiwa ni Dawa za HIV. Kuwa muelewa usijitoe ufahamu.
      We mwenyewe muhathirika mtarajiwa.
      UWEZI KUSHINDANA NA AMERICA 🇺🇸 Wanaoweza kutengeneza ugonjwa ambao formula ya kutibu ugonjwa huo wanao wao.
      Tutakufa na Anafanya Makusudi ili Watu wajue Marekani ni Taifa kubwa linalotegemewa Duniani.
      Bila wao hatutobohi!!!

  • @TeacherBoda
    @TeacherBoda 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Maposho ya wabunge pamoja na malupulupu yapunguzwe ili kuziba pengo ambalo limesababishwa na maamuz ya trump kuzuia misada. Ila hii nchi ngumu sana. Huku wazir mkuu kasema serikal inaweza, huku mbunge shigongo anasema tumwombee trumph abadili maamuz

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Kwa kweli mlinyamaza sana hayo mashilika yalipokuwa wanajichanganya na ushoga mwakyembe kathelini walipotoa takwimu ya mashilika yanayojichanganya na ushoga sasa hayo maombi vipi jamani

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Wanao nufaika na misaada wameanza kushikwa na matumbo ya kuhara eti aombwe msamaha huo ni ujinga na kujidhailisha

    • @simonzabron5487
      @simonzabron5487 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Huyu jamaa kumbe hamna kitu

  • @Jihelya
    @Jihelya 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Shigongo utasababisha nisisome vitabu vyako uatuminisha tujiamini Leo unakua ombaomba hapana bwana nyakati hizi ngumu nidio nadawa za ukimwi zitafumbuliwa na wa Africa acheni kujipendekeza kwa marekani

  • @DeogratiusAndrew-zi7zv
    @DeogratiusAndrew-zi7zv 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Erk shigongo usitanie Mungu kwa huo ujinga ,Mungu anawafundisha kuwa mmesha laaniwa mnahitaji ukombozi, kifikra ,kwani unafundishaga sana kuwapa ujasiri watu kwenye vitabu vyako nanilivipenda sasa nakusanya nivichome moto juma mosi nikitulia nyumbani, hujui kama Mungu anaifundisha tanzania iache kuwategemea watu kuisaidia tanzania Madini lasilima zote zinaenda wapi Magufuli alipo kuwepo zilikuwa zinajenga nchi sasa ivi zipo wapi kwanini wabunge hamuhoji haya, kweli laana imeanza kuwatafuna, mnafanya Marekani kama kinga yenu hamuoni kinga yenu mmeitegemea imeungua kwa moto, na tena inatakakuacha kutoa misaada mrudieni Mwenyezi Mungu ,YEREMIA,17:5.

  • @Jihelya
    @Jihelya 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Najua wengi wabunnge huwa zikiletwa hela za mikopo munagawana nyinyi Leo hakuna hata fisadi aliyenyongwa mawazili wakulugenzi ndio wanaiba mabilion shelia mmeitunga kwa wafanyabiashala tu akiacha kulipa ushulu wa gunia moja miaka 30 iPod siku watanzania wataamua mtajuta kuona

  • @KEFRINEENOS
    @KEFRINEENOS 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Hawa ndiyo nawategemea kuwapa huongozi watu wanaishi kwa kutegemea misaada tu 😂😂😂😂Trump lisiwe zoezi la siku 90 liwe kuanzia hiyo siku uliyo toa hilo tamko mpa mwisho wa uongozi wako misaada tu mpaka lini nchi ina kila kitu kazi wizi tu😂😂

  • @bakarikayugwa3295
    @bakarikayugwa3295 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Huyu nae wakuchomwa mote tu hivi lini tutakua na vyetu tujivunie huo ndio upumbavu wa wasomi wenye akili za kupakatwa na mabeberu

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mnapoiba vyenu na kutegemea vya jila i hapo mungu mwenye haki atajibu maombi kweli vyenu mnakwiba ufisadi kama wote jamani mungu ana kazi na wanadamu wanafki

  • @mwitajoseph8315
    @mwitajoseph8315 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    We should change our living style as africans and not to beg for everything they are taking our raw materials use that oportunity to get those ARV dont beg

  • @felixjuma812
    @felixjuma812 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Tujifunze kujitegemea Na matumizi sahihi ya Pesa za walipa codi Na kujifunza afya zetu Iyo ndio dawa 1:07

  • @theinsideout4354
    @theinsideout4354 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hayo mashirika yanadhamini na ushoga... trump tkatumwa na mungu

  • @MarietherDionizMaendeleo
    @MarietherDionizMaendeleo 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Tanzania bana.. kulikua na haja gani ya kutapakaza pesa zote zile kwenye kile kinachoitwa birthday ya ccm... kama chama tawala,,, kinafanya nini kujidhatiti na jambo hili.. ubinafsi unatutafuna.... hiyo yote sijui ni kumuogopa lissu... hivi ipi arrangement of scale of preference kati ya sherehe na uhai wa watu.. 😂😂

  • @francislawrence2896
    @francislawrence2896 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Africa ni kuomba omba tu .....nchi za Africa zipambane kila nchi ifungue viwanda vya madawa ya binadamu ikiwemo na hio dawa ya ARV . Africa tunateswa na ukoloni bado.

  • @YungeBunzali-lm1hm
    @YungeBunzali-lm1hm 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Upumbavu mtupu badala wakae chini waulizane ni kipi kifanyike yeye anasema tumuombee trump ujinga na upumbavu kabisa huu poor buchosa. Kwa hiyo bila marekani ninyi sii chochote wala lolote!!!?? THIS IS TANZANIA kama hamuwezi kuumiza vichwa waambieni marekani tuwe koloni lao watutawale tu Trump awe raisi, Tanzania liwe jimbo S.S awe seneta wa Tanzania 😂😂😂

  • @stevenjm1314
    @stevenjm1314 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    TUJITAMBUE WAAFRIKA VIVA MARAIS WAZARENDO KWENYE NCHI ZAO.
    TUSIMAME SASA TUTOE UKOLONI MAMBO LEO KAKUTEGEMEA MISAADA ALAANIWE AMTEGEMEAAYE MWANADAMU.

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hilo ni funzo ni lazima tuote miguu tutembee wenyewe wazungu wamechoka kutubeba wametubwaga mchana kweupeee tusiwalaumu tujilaumu nafsi zetu

  • @HakimuRamadhani
    @HakimuRamadhani 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Sisi kweli hatuna akili tunashindwaje kubuni mbinu mbadala za kutatufa hela za kuendesha idara zetu za afya

  • @abdulhafidh7749
    @abdulhafidh7749 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    😂😂😂 ss kodi za watanzania zinafanya nn si wanunuwe mtataka msaidiwe mpaka lini mbn viongoz wanapanda magari ya kifahari wapunguze matumizi ya kujifaharisha pesa wakanunuwe madawa

  • @onesmomelkiol813
    @onesmomelkiol813 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Acheni ujinga shigongo najua umesoma kumbe bado mbumbu
    Na we ni mbunge achakujichoresha ww

  • @ProsperUlungi-p3t
    @ProsperUlungi-p3t 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Huku wataalimu waliosomea kutengeneza hayo madawa wapo lakini serikali inashindwa kuwafadhili wao wanategemea misaada2

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kuomba msamaha hayo ni mawazo yakijinga na kipumbavu sisi sio kama wao wazungu wanakufa hata kwa mafua acheni ujinga

  • @PendoMarco-x3u
    @PendoMarco-x3u 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Nilikuamini pamoja na kuwa na uandishi mzuri wa vitabu kumbe ni walewale vibaraka wa wazungu

  • @paschaljoh5729
    @paschaljoh5729 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hivi bado kumbe unaupumbavu namna hii unaomba baba jirani amuonee huruma mama ako hiv ni akil kwel ..

  • @JOHHMike
    @JOHHMike 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    We mbunge gan mpuuz ivo badala kuhamasisha watu kufanya kaz ili kuepuka kuomba omba misaada

  • @lentclassic4669
    @lentclassic4669 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Miaka 60 Tanzania haijajua jinsi ya kuzitengeneza hzo daw kwl

  • @ElivassLukumyai
    @ElivassLukumyai 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wewe kwani unamuambudu American kwani nimungu yako huwesi niampia nimuombee U,S simungu yabinadamu kaaukijua ifo myaifurente

  • @AlliMohamed-q2y
    @AlliMohamed-q2y 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ufala mwingi sana 😂😂😂

  • @technicalgearboxenginebysc1360
    @technicalgearboxenginebysc1360 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Yaani nimeamini watu weusi akili kisoda

  • @Ushauri235
    @Ushauri235 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wewe shigongo stop it shauri nchi ijitegemea siyo viongozi waliojaa matumbo tu ambayo haya connection na ubongo

  • @williammwamalanga1065
    @williammwamalanga1065 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    RAIS MAREHEMU MAgufuli aliapata jibu la hayo yote leo mbunge unataka Trump alegeze msimamo hapana Trump shikilia hapo hapo ...Bw shingongo peleka hoja yako bungeni ili bunge liiiombe Marekani

  • @sylvestercharles3585
    @sylvestercharles3585 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Miongoni mwa watu niliokuwa nawaelewa huyu naye alikuwa miongoni mwao ila kwa sasa nimemtoa. Afrika ina watu wa ajabu sana😭😭😭

  • @dopesttz5055
    @dopesttz5055 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Uyu mbna hafai kuskilizwa kwan USA n mungu wako ??? Ndo kakuumba uyo?? N bola kivuli kuliko wew na watu wanakupgia makofi yan mtu mweusi anajdharau mwenyewe ila yatapta

  • @LupakisyoKandonga
    @LupakisyoKandonga 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Achani kununu magari yabei wakati tunategemea misada ufisadi kipombere acheni

  • @williammwamalanga1065
    @williammwamalanga1065 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hiyo ni aibu kweli miaka na miaka hutuwezi kutengeneza Dawa hizo

  • @GervasVenom
    @GervasVenom 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Watu wamuludie Mungu nakutubu machafu yao Mungu atawasikia nakuwaponya magonjwa yote sio ukimwi tu yote

    • @IDDYABDU
      @IDDYABDU 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mfano mugua figo au kisukari

  • @JonaiceMosha
    @JonaiceMosha 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Miezi mitatu Mungu atawaponya Hakuna kufa.watu wamrudie Mungu.

  • @zainabzanzibar1518
    @zainabzanzibar1518 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Acheni upuuzi anaefisha ni mwenyezi Mungu na kama ingekuwa ni mtu auwe anavyotaka basi wazungu wangeshatumaliza zamani sana mambo mengi wanayotufanyia lakini bado tupo kwaiyo hakuna kumnyenyekea kiumbe

  • @FranckDaniel-cc5rg
    @FranckDaniel-cc5rg 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Acha upumbavu muache umetumwa na nani kwenda kujibembereza tutatafuta mbadala na tutapata akili ya kutengeneza dawa

  • @LushidulaJidamawi
    @LushidulaJidamawi 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Maombi yanini nikujidunisha kabisa

  • @NDIMUELIAS
    @NDIMUELIAS 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Jifunzeni kwa Ibrahim traole acheni anasa Trump yuko sawa na nchi yake huwezi kuwa na mji halafu ukategemea majirani

  • @kibwetere1418
    @kibwetere1418 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Imeandikwa ole wake amtegemeaye mwanadamu mwenzie amelaaniwa

  • @KeiFerouz-fn9oc
    @KeiFerouz-fn9oc 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Inasikitisha sana kuona baba yako unaemtegemea naye anaomba msaada kwa baba mwenzake yule mwenzake pia ana watoto wake pia hamuombi mtu hy imekaaje jamani

    • @vumbaboyjr
      @vumbaboyjr 47 นาทีที่ผ่านมา

      @Keiferouz-fn9oc ......Wale tunawapa resource wanapata utajiri sisi tunawaomba mkuu.

  • @AlbinMsechu
    @AlbinMsechu 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    So bila Trump hatuna maisha?

  • @NdilanhaBoniphace
    @NdilanhaBoniphace 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Long live Trump

  • @vumbaboyjr
    @vumbaboyjr 29 นาทีที่ผ่านมา

    Badala ya kuishauri serikali hata itumie gharama nyingi ipeleke vijana India uko kuchukua ujuzi wa kutemgeneza ARVs. Wanaenda kupiga magoti kwa wanyonyaji.

  • @florangido202
    @florangido202 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Ni kweli kabisa Aombwe tu hakuna jinsi
    😢😢😢😢.

  • @meshasjaguar6136
    @meshasjaguar6136 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kuomba omba Nyerere na magufuli walikataa. Miaka yote. Viongozi wa Afrika mnategemea misaada. Mungu.Naomba trump Asibadili msimamo wake. Viongozi wa Afrika wabadikike. Wanamalinyingi. Penye miti apana wajenzi.

  • @emmanuelugosmligo1016
    @emmanuelugosmligo1016 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    amekua mjinga nayeye sasa

  • @hanifa9153
    @hanifa9153 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ndo vizr ata umalaya utaisha acha kiumane uomba omba mwisho 2024😂😂😂

  • @yordanyona1234
    @yordanyona1234 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Alaaaniwe amtegemeaye Mwanadamu ...Africa tunatafura laaana,, shigongo hata wewe mwandishi wa vitabu ..kwi Tz tuna viongozi dhaifu

  • @vumbaboyjr
    @vumbaboyjr 42 นาทีที่ผ่านมา

    Siku ukisikia Afrika imeungana na hakuna Mzungu anaiba tena Mali Afrika. Basi hutosikia mchezaji wa Timu za Ulaya kulipwa BILLIONS za mahela kwa wiki.

  • @AkhamedMbetsa
    @AkhamedMbetsa 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kwani walipopata ukwimwi walikuwa wameuomba huko America?
    Tuwache kujidunisha.ili tuonyeshe twaweza inastahili tujenge kiwanda cha kutengeneza arvs na sio kulalamikia watu huo ni ujinga!!!

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Putin anazo

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Zile Hela mlizotumia kufanya upumbavu kule Dodoma mngezifanyia jambo la maana

  • @williammwamalanga1065
    @williammwamalanga1065 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Is not Trump is to you Mbunge wa Buchosa bw shigongo ninyi mnakaa bungeni hata hamjui wajibu wenu bungeni leo una mpigia magoti trump mtakao uwa wananchi ninyi wabunge

  • @WadySaidi
    @WadySaidi 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Lishigongo litakuwa linaumwa ukimwi

  • @hyasinthantuyeko1440
    @hyasinthantuyeko1440 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Daaaah!!! Eti am begging!!!!! Hivi jamani nilini tutaacha huu udwanzi wa kuomba hadi uhai wetu kwa wahisani?
    Nimeangalia hivi video kwa majonzi makubwa sana, sioni dalili wala nia ya kutaka kujifunza kujitegemea.
    Daaah!!! Eti tuombe Mungu Trump abadilishe mawazo, Kwa nini tusijiombee sisi Watanzani tubadilike? Embu usimpotezee Mungu muda wewe Shigongo!!!

  • @DICKSONTimoth-xk7rj
    @DICKSONTimoth-xk7rj 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kwani Trump ni Rais wenu??

  • @matesosamwel6685
    @matesosamwel6685 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Msomi unaomba wamwombe Trump kufanya dhambi?? Amelaniwa mtu yeyote Mtegemeae mwanadamu na moyoni mwake Amemwacha Bwana! Tujitegemee miaka zaidi ya 60 ya uhuru bado tunalialia

  • @vumbaboyjr
    @vumbaboyjr 38 นาทีที่ผ่านมา

    Hao ndio watetezi tunao wategemea na wasomi . Uwezo wake wa fikra ndio umeishia hapo yani.
    Yani tumuombe Mungu eti TRUMP abadili mawazo. Daaah kwa karne hizi bado umfosi mtu akusaidie ili aendelee kukutawala na kukuibia. #NI UJINGA

  • @AbtwalibuChepa
    @AbtwalibuChepa 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nilikuwa namkubali lakini sasahiv namtoa

  • @ERENEUSKAIJAGE
    @ERENEUSKAIJAGE 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kwani si tunawasomi kibao especially kwenye sekta ya afya si waangalie ingredients zilizoko kwenye arv watengeneze

    • @fahdihasnuu9034
      @fahdihasnuu9034 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hhhhhhh just like that? Sio kila unalolihisi basi linakua kirahisi kama unavohisi

    • @ERENEUSKAIJAGE
      @ERENEUSKAIJAGE 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @fahdihasnuu9034 Ni kwasababu tumezoea kuwa tegemezi inawezekana tu tena sana kwani Muhimbili wamesomea umeme au, let say usingekuepo huo msaada tangu mwanzo kingekuwa hakijafanyika kitu mpaka leo? Mbona mloganzila wanapandikiza makalio iweje leo tushindwe kukaa chini kuja na dawa za kuongeza kinga mwilini?

    • @fahdihasnuu9034
      @fahdihasnuu9034 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @ERENEUSKAIJAGE sijasema haiwezekani lakini inahitaji mda pamoja na tafiti sasa wakati tunasubiri kumaliza hizo tafiti za kisayansi na kitabibu tayari maelfu wameshakufa. Hii yote ni kwasababu taifa kama taifa halikujiandaa kisaikolojia kwamba one day wazungu watatukataa.
      Kiufupi nanga mkono kujitegemea but lazim tukubali kujitegemea kama unavosema ni swala la mchakato mrefu.

  • @paulmathias810
    @paulmathias810 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mimi naomba kama kuna misaada mingine aifunge na yenyewe ili tuwajue na kuwaondoa viongozi wabovu

  • @haggthankjah
    @haggthankjah 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mitano tena kwa Mama

    • @AnjelicaBayyone
      @AnjelicaBayyone 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kazi kuiba kura tu mitano ya haki nawashangaa

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nacheka mazuri. Kwanini musiwambia wachina na warabu wa dubai ambao muwapa bandari mboni ya nchi . Hamukuchelewa tena waarabu hao hao samia amewapa hekta laki tisa uchehe Bado nasikia Hata reli very soon watapewa waraabu kwanini hao mliowapa vyote hivo wasiwape RV.

  • @yohanaswalo4716
    @yohanaswalo4716 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sisi tuna Mama etu 5 tena watanzania wanamwamini

  • @AnjelicaBayyone
    @AnjelicaBayyone 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Je kwa comments hizi hapo juu utarudia kusema tena shigongo na ccm yako isiyo na maono?
    Nakumbuka moja kapewa tenda ya kutengeneza hizi dawa matokeo yake anazalisha feki alishitakiwa kesi ikaishia chini kwa chini yaani nyinyi siyo watu wakuisaidia inchi kabisa ni umimi tu
    Ccm bibilia imepita kushoto.
    Mungu awarehemu

  • @piterasifa3757
    @piterasifa3757 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Na ye akiwemo

  • @Patrick-w1j
    @Patrick-w1j 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Chizi huyu shigongo...Bajeti ya chai ipo na posho za vikao ..Mnashindwaje kuzikata pesa ya afya iongezeke...
    Amelaaniwa mtu amtegemeae mwanadamu ..Siwezi kuombea upumbavu wakati tuna rasilimali za kutosha.
    Watu kama hawa JPM alikua anawaita wapumbavu.

  • @meshasjaguar6136
    @meshasjaguar6136 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Trump chukua omba omba Wote Tunza kwenye go down miaka yote wanaomba misaada

  • @AnjelicaBayyone
    @AnjelicaBayyone 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Eti badala ya ninyi ninyi ccm mjibadilishe mkajiombee ili rushwa uonevu na ulinzi wa mali tuliyonayo hatunufaiki hata kidogo ubinafsi wenu umimi umefikisha inchi hapa leo tusingekuwa tunawategemea wamarekani kwa utajiri tulionao tungekuwa na viwanda vingi mnapigania chama badala ya utaifa nawashangaa sana mnajifanya mnahuruma na wanainchi maskini kumbe unafiki mtupu

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Harafu mtu unaongezewa siku na wanadamu wenzio nguvu.za.kuwazini wanadamu wenzio na kutengeneza midhambi hovyohovyo unazipata.wapi muache Mungu ahubiri dunia yake kupitia trumpo ukiwahubiri watu kuwa hatujui litakalozaliwa maishan mwetu.hawaamini ni muda wa kuinuliwa Yesu duniani Yesu alisema Baba mtukuze mwanao Mungu akasema nimekutukuza atatukuzwa Yesu duniani ma'ana hakuna mtu mwingine atakae.simama Mungu ameliondoa tegemeo la wanadamu imeandikwa nitaondoa tegemeo na maegemeo ya wanadamu Isaya 3. Kaondoa tegemeo RV.anaesoma Guaran na Biblia atajua kinachoendelea duniani leo na anaesikia mahubiri na mafundisho ya watumishi wa Mungu mbalimbali atafahamu

  • @ayshasaid1547
    @ayshasaid1547 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwani yy mungu huyo trampo tuache kupuyanga miti tunayo madaktar tunao wewe na kufa kumeumbwa huyo ulimuomba tutaletewa sumu na vile wanatuchukia watu weusi kwanza ni mbaguzi

  • @Catty-e7o
    @Catty-e7o 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mara hii sherehe ya kufurahi imeisha ? Tatizo matumizi ya pesa mnazopewa hamzitumii vizuri athari inakuja kwa watu wanaihitaji msaada sasa cha kwanza kabla ya kuomba tubuni kwanza na mmadilishe tabia lakini pia tafuteni pia njia ya ku graduate kutegemea misaada

  • @inocentlema5574
    @inocentlema5574 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    This is not spiritual matter bro, we have to think after praying

  • @EzekielTv49
    @EzekielTv49 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwanini hela za walipa kodi wa Marekani zije zihudumie huku??

    • @vumbaboyjr
      @vumbaboyjr 46 นาทีที่ผ่านมา

      Sio hela za walipa Kodi aiseee ni Madini yetu ayo

    • @vumbaboyjr
      @vumbaboyjr 45 นาทีที่ผ่านมา

      Kodi ya Jay Z ije ikulishe wewee aaaaah wapi. Hamnaga iko kitu

    • @vumbaboyjr
      @vumbaboyjr 44 นาทีที่ผ่านมา

      Jeuri ya magharibi na ulaya ni Rasilimali za AFRIKA tuuu. Vinginevyo ni njaa tu kwao

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tusikemeane.dhambi.ila tumuombe Mungu amkataze trumpo wakati ss.wenyewe wanadamu tunaona hindi.Mungu anavyozaraulika na mashoga malawiti mafreemason ivi wa Mungu wako wawili tuombe toba wamelawitiwa watoto nyie watu wameambukizwa ukimwi wajane yatima na watoto nyie watu watakaokufa kwA trumpo wanaojua waliumbwa na trumpo muache Mungu ajipiganie kupitia.trumpo mbona Magi aligusia kukataza RV alipingwa.sana alijua huu.ni mlango wa ibilisi.sasa tunataka tuione.vita ya kuzimu laivu

  • @hamisimkoma7380
    @hamisimkoma7380 15 นาทีที่ผ่านมา

    Hili jamaa kumbe jinga kabisa

  • @bcozhenry2698
    @bcozhenry2698 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wajinga hawa wamekalia kula posho bungeni halafu majipu tu hawana mawazo ya kudhibiti matumizi ya hovyo kwenye kodi zetu. Trump ashike pale pale tujue kama viongozi wa kiafrika wana akili au la

  • @jasminmdimi6059
    @jasminmdimi6059 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mi nauliza hivi izi zinatengenewa na kitu gani

  • @Baharanimasoud-w5n
    @Baharanimasoud-w5n 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Machawaa

  • @msabatozeson9023
    @msabatozeson9023 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tatizo ni Moja marekani inasaidia nchi za afrika kwa Kodi za wamarekani, lkn waafrika wanampenda Putin, xo trump kaona okey kachukueni dawa kwa Putin si ngoja tuishi maisha yetu!

    • @Werema3760
      @Werema3760 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ■UMEWAZA MBALI NA SAHIHI SANA!

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    KWENYE KUJIKOMBOA LAZIMA KUNA KUPITIA KIPINDI KIGUMU ..., WAGANGA WETU MLIWAPUUZIA NA DAWA ZAO MKIONA DAWA ZA MZUNGU NI BORA.., Turudi kwetu tujitegemeee!!!

  • @emanuelmkama1325
    @emanuelmkama1325 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sas mlkuw mnasherekea mafankio ya ccm for wht? Kam bado mnamtegemea bnadam

  • @hollymore4904
    @hollymore4904 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    shog we

  • @ayshasaid1547
    @ayshasaid1547 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Uko ni kumsujudua mtu

  • @shijandobehe4953
    @shijandobehe4953 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Si mnasema mama hatumudai ngoja tuone jiwe la joto Africa tumekuwa wajinga sana mda wote mnasifu sifu kumbe hamfanyi chochote

  • @AllyHoza-y8t
    @AllyHoza-y8t 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ujinga huu

  • @elishamollel9146
    @elishamollel9146 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nonsense

  • @rikekikonyo2265
    @rikekikonyo2265 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nonsense! Utumbo kabisa

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Watu wataacha zinaa wewe acha upumbavu

  • @PendoMarco-x3u
    @PendoMarco-x3u 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Nilikuamini pamoja na kuwa na uandishi mzuri wa vitabu kumbe ni walewale vibaraka wa wazungu

  • @vumbaboyjr
    @vumbaboyjr 37 นาทีที่ผ่านมา

    Hao ndio watetezi tunao wategemea na wasomi . Uwezo wake wa fikra ndio umeishia hapo yani.
    Yani tumuombe Mungu eti TRUMP abadili mawazo. Daaah kwa karne hizi bado umfosi mtu akusaidie ili aendelee kukutawala na kukuibia. #NI UJINGA