🔴

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024
  • JISAJILI NA KUSHIRIKI PROMOSHENI ZA ROYAL SPORTS NA ROYAL WIN KUPITIA LINK HII 👉 pmbet.co.tz/en...
    NA USHINDE ZAWADI MBALIMBALI IKIWEMO GARI AINA YA TOYOTA HARRIER NA NISSAN X-TRAIL
    TAFADHALI USISAHAU KU SUBSCRIBE TH-cam CHANNEL YETU NA KUBONYEZA ALAMA YA KENGELE ILI UWE WAKWANZA KUPATA HABARI ZOTE AMBAZO TUTAKUWA TUKIKUSOGEZEA KARIBU
    INSTAGRAM @pmtvtz
    TWITTER @Pmtvtz
    TIKTOK @officialpmtv

ความคิดเห็น • 8

  • @ABELISichalwe
    @ABELISichalwe 3 หลายเดือนก่อน

    Wewe ndo mungu mbwawewe😅😅😅😅😅 et yanga haifiki. Tuta fika kwataarifa yako😅😅

  • @alexbaraka4640
    @alexbaraka4640 3 หลายเดือนก่อน

    huyo jamaa hajitambuwi hata kidogo. unawachezaji wanaocheza team za taifa alafu anasema yanga haitafika mbali kweliii. pumbafuuuu

  • @DoreenMlay-e8g
    @DoreenMlay-e8g 3 หลายเดือนก่อน

    uyu mchambuzi ni kichwa tenge hana jipya kwanza anaongea pumba mpuuzi mmoja wewe yanga haifiki wew ndo mungu ,? labda uka2roge kwanza wew ni shabiki wa umngolini uko achana na yanga ye2 haikuhusu boya wee

  • @suleimanmwenyemvua995
    @suleimanmwenyemvua995 3 หลายเดือนก่อน

    Wewe mchambuzi kolo huiamini kwA ubora Yanga... project yake ni usajili Tu kama hutaki basi kichwa chako bomu wewe mchambuzi wa kati . mpira ni quality.je Young African na Simba IPI bora.acha ubishi...😅😅😅😅😅

  • @suleimanmwenyemvua995
    @suleimanmwenyemvua995 3 หลายเดือนก่อน

    Huyo jamaa hana hoja zenye afya ya mpira ni ushabiki wa mpira wa simba na Yanga

  • @alexbaraka4640
    @alexbaraka4640 3 หลายเดือนก่อน

    huyu jamaa mbona mbishi lakini???

    • @suleimanmwenyemvua995
      @suleimanmwenyemvua995 3 หลายเดือนก่อน

      Ukolo inamsumbua huyu,na cyo principles za mpira.ubora ni quality