Asante sana frateli kwa maelezo yako mazuri mungu akulinde. pia natuma shukrani zangu kwa agnes aliye uliza swali hili... nilikua natafuta jibu toka utotoni sasa niko na 46yaers na leo nimepata jibu. Amen mungu amenisikia🙏🏾
Hii ni hadith mnayoongea kibinadam yesu azaliwe huko Israel afie Israel pasiwe patakatifu duh, Halafu utakatifu Paulo (mrumi) auhamishie utakatifu ulaya 😂 hebu achen maigizo jaman moto unawahusu kabisa
Kabla ya Wakristo kuitwa Wakristo hapo Antokia walikuwa wanaitwaje/wanatambulikaje(walikuwa dini gani) na dhehebu gani?! Maana kwa maelezo yako hata inamaana hata kuwatambuwa Wakristo (Waasisi wa Ukristo) kwa dini/dhehebu la Ukatoliki ni imaan/dini ya kupanga maana yaelekea Yesu hakuwacha dini ijulikanayo Ukristo/Katoliki! Paulo kapewa utume na nani?! Maana utume na unabii hutoka kwa Mungu Mola Muumba? Tunasoma kuwa Kanisa ni mkusanyiko wa watu haijalishi mkusanyiko huo ni wa ibada, mahubiri, sokoni nk, Yesu alikuwa anasali/anfanya ibada ktk Masinsagogi (Misikiti ya Wayahudi) iweje leo hii Wakrusto wasali/wafanye ibada ktk majengo waliyoyabuni/wanayaita Makanisa?! Makanisa/madhrhebu yamekuwa mengi na yote waumini wake wanasema/wanaamini wanamwamini Yesu, je, Yesu aliyawacha hayo madhehebu/makanisa tuyaonayo yakiota kwa kasi kila kukicha?! Wakristo.mnasema mnmfuata Yesu, wapi maandiko yanasema wakristo mmeruhusiwa kuoana maana Yesu hakuoa, je utaratibu/mafundisho ya kuoana mmeyatowa wapi?! Lengo la maswali yangu ni kutaka kueleweshwa.
Nashukuru sana kwa maswali yako ambayo yanaleta tafakari na maelezo mazuri. Kwanza Wakristo hapo Antokia walikuwa wanaitwaje/wanatambulikaje? ni kwamba antiokia kabla ya kuingia ukristu kulikua na upagani tu hivyo baada ya mitume kufika na kueneza ukristu ndipo kulipokua na ukristu. na Ukristu Ni imani ya kuamini kwamba Kristu(Yesu kristo) ni bwana na mwokozi wa maisha ya mwanadamu.Huo ndio ukristu wa kweli na maana ya katoliki neno lililotoholewa kutoka katika lugha ya kigeni kwa ki mombo ni (universal au whole) hivyo ninge weza kusema ni universal church na ndio maana kanisa katoliki misa na ibada zake zote hufanana duniani kote. katika swala la utume wa mtume paulo unapswa kutambua asili ya imani ya mtume paulo au sauli kwa wakati huo.Mtume paulo ni myahudi mrumi(Mroma) mwenye asili ya yerusalemu na roma. yeye alikua myahudi mwenye elimu ya juu sana ya kiyahudi chini ya chuo na mwalimu aliyeheshimika sana katika mahali pote na mchi yote ya uyahidi alieitwa Gamarieli. Mwalimu huyu ndiye aliye kuwa na jukumu la kuwafundisha waalimu wa sheria hivyo Paulo naye alikua mmoja ya wanafunzi wa mwalimu huyo. Alipokua kijana paulo alikua mmoja ya watu walioshuhudiwa kuuawa kwa shemasi wa kwanza mfia dini alieitwa Stefano, baada ya kumaliza kwake elimu ya kiyahudi na mafundisho ya torati, Mtume petro alikua na jukumu kubwa la kuitetea na kuilinda imani yake ya kiyahudi . Alizunguka katika masunagogi mbalimbali akiwatoa nje waamini wa kristo yaani wakristo na ukristo kisha kuwauwa na kuwatendea vibaya kwa kuwanyanyasa waache kuhubiri na kumuabudu mungu kwa jina takatifu lipitalo majina yote yaani Yesu kristo. Hivyo viongozi na wakuu wa dini ya kiyahudi na mwakuhani wa kuu walikua wakimtuma mtume paulo(saulo) katika kuhakikisha. Wakati huo Saulo alikuwa akizidisha vitisho vikali vya kuwaua wafuasi wa Bwana. Alikwenda kwa Kuhani Mkuu, akaomba apatiwe barua za utambulisho kwa masunagogi ya Kiyahudi kule Damasko, ili akikuta huko wanaume au wanawake wanaofuata Njia ya Bwana, awakamate na kuwaleta Yerusalemu. Lakini alipokuwa njiani karibu kufika Damasko, ghafla mwanga kutoka angani ulimwangazia pande zote. Akaanguka chini na kusikia sauti ikimwambia: "Saulo, Saulo! Kwa nini unanitesa?" Naye Saulo akauliza, "Ni nani wewe Bwana?" Na ile sauti ikajibu, "Mimi ni Yesu ambaye wewe unamtesa. Lakini simama sasa, uingie mjini na huko utaambiwa unachopaswa kufanya." Wale watu waliokuwa wanasafiri pamoja na Saulo walisimama pale, wakiwa hawana la kusema; walisikia ile sauti lakini hawakumwona mtu. Saulo aliinuka, na alipofumbua macho yake hakuweza kuona chochote; hivyo wale watu wakamwongoza kwa kumshika mkono mpaka mjini Damasko.Saulo alikaa siku tatu bila kuona, na wakati huo hakula au kunywa chochote.Basi, huko Damasko kulikuwa na mfuasi mmoja aitwaye Anania. Bwana akamwambia katika maono, "Anania!" Anania akaitika, "Niko hapa, Bwana." Naye Bwana akamwambia, "Jitayarishe uende kwenye barabara inayoitwa Barabara ya Moja kwa Moja, na katika nyumba ya Yuda umtake mtu mmoja kutoka Tarso aitwaye Saulo. Sasa anasali; na katika maono ameona mtu aitwaye Anania akiingia ndani na kumwekea mikono ili apate kuona tena." Lakini Anania akajibu, "Bwana, nimesikia habari za mtu huyu kutoka kwa watu wengi; nimesikia juu ya mabaya aliyowatendea watu wako huko Yerusalemu. Na amekuja hapa akiwa na mamlaka kutoka kwa makuhani wakuu kuwatia nguvuni wote wanaoomba kwa jina lako." Lakini Bwana akamwambia, "Nenda tu, kwa maana nimemchagua awe chombo changu, alitangaze jina langu kwa mataifa na wafalme wao na kwa watu wa Israeli. Mimi mwenyewe nitamwonyesha mengi yatakayomlazimu kuteswa kwa ajili ya jina langu." Basi, Anania akaenda, akaingia katika hiyo nyumba. Kisha akaweka mikono yake juu ya Saulo, akasema, "Ndugu Saulo, Bwana ambaye ndiye Yesu mwenyewe aliyekutokea ulipokuwa njiani kuja hapa, amenituma ili upate kuona tena na kujazwa Roho Mtakatifu." Mara vitu kama magamba vikaanguka kutoka macho ya Saulo, akaweza kuona tena. Akasimama, akabatizwa. Na baada ya kula chakula, nguvu zake zikamrudia. Saulo alikaa siku chache pamoja na wafuasi huko Damasko. Mara alianza kuhubiri katika masunagogi kwamba Yesu ni Mwana wa Mungu. Watu wote waliomsikia walishangaa, wakasema, "Je, mtu huyu si yuleyule aliyewaua wale waliokuwa wanaomba kwa jina hili kule Yerusalemu? Tena alikuja hapa akiwa na madhumuni ya kuwatia nguvuni watu hao na kuwapeleka kwa makuhani!" Saulo alizidi kupata nguvu, na kwa jinsi alivyothibitisha wazi kwamba Yesu ndiye Kristo, Wayahudi wa huko Damasko walivurugika kabisa. baadae mtupe paulo alirrudi tena Yerusalemu na hapo ndipo alipokamatwa na wayahudi walewale ambao aliwatumikia katika kuitetea dini ya kiyahudi. Miaka 22 baadaye, huko Yerusalemu, Paulo alijitetea hivi: "Ndugu zangu na akina baba, nisikilizeni sasa nikijitetea mbele yenu!" Waliposikia akiongea nao kwa Kiebrania wakazidi kukaa kimya zaidi kuliko hapo awali. Naye Paulo akaendelea kusema, "Mimi ni Myahudi, mzaliwa wa Tarso katika Kilikia. Lakini nililelewa papa hapa mjini Yerusalemu chini ya mkufunzi Gamalieli. Nilifundishwa kufuata kwa uthabiti Sheria ya wazee wetu. Nilijitolea kwa moyo wote kwa Mungu kama ninyi wenyewe mlivyo hivi leo.Niliwatesa hata kuwaua wale watu waliofuata Njia hii. Niliwatia nguvuni wanaume kwa wanawake na kuwafunga gerezani. Kuhani Mkuu na baraza lote la wazee wanaweza kushuhudia jambo hilo. Kutoka kwao nilipokea barua walioandikiwa wale ndugu Wayahudi waliokuwa huko Damasko. Nilikwenda Damasko ili niwatie nguvuni watu hao na kuwaleta wamefungwa mpaka Yerusalemu ili waadhibiwe. "Basi, nilipokuwa njiani karibu kufika Damasko, yapata saa sita mchana, mwangu mkubwa kutoka mbinguni ulitokea ghafla ukaniangazia pande zote. Hapo nilianguka chini, nikasikia sauti ikiniambia: `Saulo, Saulo! Kwa nini unanitesa?` Nami nikauliza: `Nani wewe, Bwana?` Naye akaniambia: `Mimi ni Yesu wa Nazareti ambaye wewe unamtesa.` Basi, mimi nikauliza: `Nifanye nini Bwana?` Naye Bwana akaniambia: `Simama, nenda Damasko na huko utaambiwa yote ambayo umepangiwa kufanya.` Kutokana na ule mwanga mkali sikuweza kuona na hivyo iliwabidi wale wenzangu kuniongoza kwa kunishika mkono mpaka nikafika Damasko. "Huko kulikuwa na mtu mmoja aitwaye Anania, mtu mcha Mungu, mwenye kuitii Sheria yetu na aliyeheshimika sana mbele ya Wayahudi waliokuwa wanaishi Damasko. Yeye alikuja kuniona, akasimama karibu nami, akasema: `Ndugu Saulo! Ona tena.` Papo hapo nikaona tena, nikamwangalia. Halafu Anania akasema: `Mungu wa babu zetu amekuchagua upate kujua matakwa yake na kumwona yule mtumishi wake mwadilifu na kumsikia yeye mwenyewe akiongea. Kwa maana utamshuhudia kwa watu wote ukiwaambia yale uliyoyaona na kuyasikia. Sasa basi, ya nini kukawia zaidi? Simama ubatizwe na uondolewe dhambi zako kwa kuliungama jina lake.` "Basi, nilirudi Yerusalemu, na nilipokuwa nikisali Hekaluni, niliona maono. Nilimwona Bwana akiniambia: `Haraka! Ondoka Yerusalemu upesi kwa maana watu wa hapa binadamu hawataukubali ushuhuda wako juu yangu.` Nami nikamjibu: `Bwana, wao wanajua wazi kwamba mimi ni yule aliyekuwa anapitapita katika masunagogi na kuwatia nguvuni na kuwapiga wale waliokuwa wanakuamini. Na kwamba wakati shahidi wako Stefano alipouawa, mimi binafsi nilikuwako pale nikakubaliana na kitendo hicho na kuyalinda makoti ya wale waliokuwa wanamuua.` Naye Bwana akaniambia: `Nenda; ninakutuma mbali kwa mataifa mengine.". Kwa kua unahitaji kujifunza na kujua sio vibaya ukachukua Biblia na ukasoma kitabu cha Matendo ya Mitume. na barua za Mtume paulo kwa watu mbali mbali ambazo hizo kwa ujumla wake zinaitwa agano jipya. KUHUSU MAKANISA NA MASUNAGOGI. Kumbuka mungu hakuwahi kutoa agizo lolote la namna ya kujenga nyumba ya kuabudia hivyo neno kanisa ni jumuiya ya waamini na sio jengo bali inaitwa kanisa kwasababu jumuiya ya waamini ambao hukutana Tangu miaka 2000 Wakristo wamepata kusikia tena na tena habari hizo wakapata mawazo mazuri jinsi gani ya kujenga jumuiya ya kindugu na ya kusaidiana katika mazingira yao hapa duniani. Mpaka leo tabia kadhaa zilizotajwa katika Biblia zinakubalika kuwa alama za Kanisa: a. kujifunza toka kwa mitume wa Yesu b. kuishi pamoja kindugu na kuwasaidia wanyonge c. kumega mkate, yaani kushiriki sakramenti(Mwili na damu yake bwana yesu kristo) d. kusali pamoja. MWISHO:napenda nikuambie kwamba Yesu mwenyewe ambae alisema "mimi ndimi njia ya ukweli na uzima yeyote ajae kwangu hatapotea bali atakua na uzima wa milele" hayo ni maneno ya Yesu mwenyewe ambae ndio yule aliye mtokea mtume paulo katika safari yake kwenda kuwauwa na kuwadhurumu wakristu( watu ambao wanamfuata yesu kristo.na ambaye ndiye mwandishi alieandika nyaraka mbalimbali za agano jipya kuelekea katika maeneo mbalimbali na kwa watu mbalimbali) ndio huyo ambae tuna mwabudu na kulitukuza jina lake. kama unaswali jingine au maelezo zaidi unaweza kunitumia message ukijitambulisha jina lako na swali lako na pia kwa mada nyingine yoyote nakukaribisha.: Naitwa Eliud Elia kutoka parokia ya Mtakatifu Andrea mtume Bahari beach Dar es salaam namba yangu ya simu ni 0764789875.
Mnachanganyikiwa bule ikiwa bule kwr yesu au issa mwana wa mriam ni mwislam ushahidi kuruan sula ya maliam au ali imlani babu yake maliam hata bibilia inafundisha ivo yesu alitawaza kama waislam namuswali msikitini soma luka 4 16
Asante sana frateli kwa maelezo yako mazuri mungu akulinde. pia natuma shukrani zangu kwa agnes aliye uliza swali hili... nilikua natafuta jibu toka utotoni sasa niko na 46yaers na leo nimepata jibu. Amen mungu amenisikia🙏🏾
ahsant baba ujumbe mzuri sana 🔥🔥🔥
Ahsante sana Frateri Crispin kwa maelezo ya kina
Tunashukulu kwauchambuzi mzuri Sana Mimi ni mekuelewa Sana mungu akubariki na maandiko umetoa kabisa Basi anaebisha atakua katumwa na shetani.
Amina freteri nimeelewa vizur sana
Ukisikia umbumbu ndio huo mtu anaongea Kiswahili lkn humuelewi hebu changanya akili kama nyeusi sema nyeusi na nyeupe ni nyeupe tu
Thanks Brother. God bless you.
Asante Radio Maria Tanzania
Nasikiliza kwa umakini, nimefurahi!
Kanisa katoriki sio kanisa la kikristo bali ni mfumo wa kueneza utamaduni wa Rumi ushahidi upo
Acha ujinga jifunze.
Kwanza wewe frater Mimi cjakuelewa na Wala hujajibu swal la huyo Dada,, nami nakuuliza km Petro na Paulo walikufa Roma,, Nani walimuua na kwann
Kifo cha Petro na Paulo pamoja na wanafunzi wengine wa Yesu ni mada nyingine
Msikilize vizuri frate utamuelewa
Hii ni hadith mnayoongea kibinadam yesu azaliwe huko Israel afie Israel pasiwe patakatifu duh,
Halafu utakatifu Paulo (mrumi) auhamishie utakatifu ulaya 😂 hebu achen maigizo jaman moto unawahusu kabisa
Kabla ya Wakristo kuitwa Wakristo hapo Antokia walikuwa wanaitwaje/wanatambulikaje(walikuwa dini gani) na dhehebu gani?! Maana kwa maelezo yako hata inamaana hata kuwatambuwa Wakristo (Waasisi wa Ukristo) kwa dini/dhehebu la Ukatoliki ni imaan/dini ya kupanga maana yaelekea Yesu hakuwacha dini ijulikanayo Ukristo/Katoliki!
Paulo kapewa utume na nani?! Maana utume na unabii hutoka kwa Mungu Mola Muumba?
Tunasoma kuwa Kanisa ni mkusanyiko wa watu haijalishi mkusanyiko huo ni wa ibada, mahubiri, sokoni nk, Yesu alikuwa anasali/anfanya ibada ktk Masinsagogi (Misikiti ya Wayahudi) iweje leo hii Wakrusto wasali/wafanye ibada ktk majengo waliyoyabuni/wanayaita Makanisa?!
Makanisa/madhrhebu yamekuwa mengi na yote waumini wake wanasema/wanaamini wanamwamini Yesu, je, Yesu aliyawacha hayo madhehebu/makanisa tuyaonayo yakiota kwa kasi kila kukicha?!
Wakristo.mnasema mnmfuata Yesu, wapi maandiko yanasema wakristo mmeruhusiwa kuoana maana Yesu hakuoa, je utaratibu/mafundisho ya kuoana mmeyatowa wapi?!
Lengo la maswali yangu ni kutaka kueleweshwa.
Nashukuru sana kwa maswali yako ambayo yanaleta tafakari na maelezo mazuri. Kwanza
Wakristo hapo Antokia walikuwa wanaitwaje/wanatambulikaje? ni kwamba antiokia kabla ya kuingia ukristu kulikua na upagani tu hivyo baada ya mitume kufika na kueneza ukristu ndipo kulipokua na ukristu. na Ukristu Ni imani ya kuamini kwamba Kristu(Yesu kristo) ni bwana na mwokozi wa maisha ya mwanadamu.Huo ndio ukristu wa kweli na maana ya katoliki neno lililotoholewa kutoka katika lugha ya kigeni kwa ki mombo ni (universal au whole) hivyo ninge weza kusema ni universal church na ndio maana kanisa katoliki misa na ibada zake zote hufanana duniani kote.
katika swala la utume wa mtume paulo unapswa kutambua asili ya imani ya mtume paulo au sauli kwa wakati huo.Mtume paulo ni myahudi mrumi(Mroma) mwenye asili ya yerusalemu na roma. yeye alikua myahudi mwenye elimu ya juu sana ya kiyahudi chini ya chuo na mwalimu aliyeheshimika sana katika mahali pote na mchi yote ya uyahidi alieitwa Gamarieli. Mwalimu huyu ndiye aliye kuwa na jukumu la kuwafundisha waalimu wa sheria hivyo Paulo naye alikua mmoja ya wanafunzi wa mwalimu huyo.
Alipokua kijana paulo alikua mmoja ya watu walioshuhudiwa kuuawa kwa shemasi wa kwanza mfia dini alieitwa Stefano, baada ya kumaliza kwake elimu ya kiyahudi na mafundisho ya torati, Mtume petro alikua na jukumu kubwa la kuitetea na kuilinda imani yake ya kiyahudi . Alizunguka katika masunagogi mbalimbali akiwatoa nje waamini wa kristo yaani wakristo na ukristo kisha kuwauwa na kuwatendea vibaya kwa kuwanyanyasa waache kuhubiri na kumuabudu mungu kwa jina takatifu lipitalo majina yote yaani Yesu kristo. Hivyo viongozi na wakuu wa dini ya kiyahudi na mwakuhani wa kuu walikua wakimtuma mtume paulo(saulo) katika kuhakikisha.
Wakati huo Saulo alikuwa akizidisha vitisho vikali vya kuwaua wafuasi wa Bwana. Alikwenda kwa Kuhani Mkuu,
akaomba apatiwe barua za utambulisho kwa masunagogi ya Kiyahudi kule Damasko, ili akikuta huko wanaume au wanawake wanaofuata Njia ya Bwana, awakamate na kuwaleta Yerusalemu. Lakini alipokuwa njiani karibu kufika Damasko, ghafla mwanga kutoka angani ulimwangazia pande zote. Akaanguka chini na kusikia sauti ikimwambia: "Saulo, Saulo! Kwa nini unanitesa?"
Naye Saulo akauliza, "Ni nani wewe Bwana?" Na ile sauti ikajibu, "Mimi ni Yesu ambaye wewe unamtesa. Lakini simama sasa, uingie mjini na huko utaambiwa unachopaswa kufanya."
Wale watu waliokuwa wanasafiri pamoja na Saulo walisimama pale, wakiwa hawana la kusema; walisikia ile sauti lakini hawakumwona mtu.
Saulo aliinuka, na alipofumbua macho yake hakuweza kuona chochote; hivyo wale watu wakamwongoza kwa kumshika mkono mpaka mjini Damasko.Saulo alikaa siku tatu bila kuona, na wakati huo hakula au kunywa chochote.Basi, huko Damasko kulikuwa na mfuasi mmoja aitwaye Anania. Bwana akamwambia katika maono, "Anania!" Anania akaitika, "Niko hapa, Bwana."
Naye Bwana akamwambia, "Jitayarishe uende kwenye barabara inayoitwa Barabara ya Moja kwa Moja, na katika nyumba ya Yuda umtake mtu mmoja kutoka Tarso aitwaye Saulo. Sasa anasali;
na katika maono ameona mtu aitwaye Anania akiingia ndani na kumwekea mikono ili apate kuona tena."
Lakini Anania akajibu, "Bwana, nimesikia habari za mtu huyu kutoka kwa watu wengi; nimesikia juu ya mabaya aliyowatendea watu wako huko Yerusalemu.
Na amekuja hapa akiwa na mamlaka kutoka kwa makuhani wakuu kuwatia nguvuni wote wanaoomba kwa jina lako."
Lakini Bwana akamwambia, "Nenda tu, kwa maana nimemchagua awe chombo changu, alitangaze jina langu kwa mataifa na wafalme wao na kwa watu wa Israeli.
Mimi mwenyewe nitamwonyesha mengi yatakayomlazimu kuteswa kwa ajili ya jina langu."
Basi, Anania akaenda, akaingia katika hiyo nyumba. Kisha akaweka mikono yake juu ya Saulo, akasema, "Ndugu Saulo, Bwana ambaye ndiye Yesu mwenyewe aliyekutokea ulipokuwa njiani kuja hapa, amenituma ili upate kuona tena na kujazwa Roho Mtakatifu."
Mara vitu kama magamba vikaanguka kutoka macho ya Saulo, akaweza kuona tena. Akasimama, akabatizwa.
Na baada ya kula chakula, nguvu zake zikamrudia. Saulo alikaa siku chache pamoja na wafuasi huko Damasko.
Mara alianza kuhubiri katika masunagogi kwamba Yesu ni Mwana wa Mungu.
Watu wote waliomsikia walishangaa, wakasema, "Je, mtu huyu si yuleyule aliyewaua wale waliokuwa wanaomba kwa jina hili kule Yerusalemu? Tena alikuja hapa akiwa na madhumuni ya kuwatia nguvuni watu hao na kuwapeleka kwa makuhani!"
Saulo alizidi kupata nguvu, na kwa jinsi alivyothibitisha wazi kwamba Yesu ndiye Kristo, Wayahudi wa huko Damasko walivurugika kabisa. baadae mtupe paulo alirrudi tena Yerusalemu na hapo ndipo alipokamatwa na wayahudi walewale ambao aliwatumikia katika kuitetea dini ya kiyahudi.
Miaka 22 baadaye, huko Yerusalemu, Paulo alijitetea hivi:
"Ndugu zangu na akina baba, nisikilizeni sasa nikijitetea mbele yenu!" Waliposikia akiongea nao kwa Kiebrania wakazidi kukaa kimya zaidi kuliko hapo awali. Naye Paulo akaendelea kusema,
"Mimi ni Myahudi, mzaliwa wa Tarso katika Kilikia. Lakini nililelewa papa hapa mjini Yerusalemu chini ya mkufunzi Gamalieli. Nilifundishwa kufuata kwa uthabiti Sheria ya wazee wetu. Nilijitolea kwa moyo wote kwa Mungu kama ninyi wenyewe mlivyo hivi leo.Niliwatesa hata kuwaua wale watu waliofuata Njia hii. Niliwatia nguvuni wanaume kwa wanawake na kuwafunga gerezani. Kuhani Mkuu na baraza lote la wazee wanaweza kushuhudia jambo hilo. Kutoka kwao nilipokea barua walioandikiwa wale ndugu Wayahudi waliokuwa huko Damasko. Nilikwenda Damasko ili niwatie nguvuni watu hao na kuwaleta wamefungwa mpaka Yerusalemu ili waadhibiwe. "Basi, nilipokuwa njiani karibu kufika Damasko, yapata saa sita mchana, mwangu mkubwa kutoka mbinguni ulitokea ghafla ukaniangazia pande zote.
Hapo nilianguka chini, nikasikia sauti ikiniambia: `Saulo, Saulo! Kwa nini unanitesa?`
Nami nikauliza: `Nani wewe, Bwana?` Naye akaniambia: `Mimi ni Yesu wa Nazareti ambaye wewe unamtesa.`
Basi, mimi nikauliza: `Nifanye nini Bwana?` Naye Bwana akaniambia: `Simama, nenda Damasko na huko utaambiwa yote ambayo umepangiwa kufanya.`
Kutokana na ule mwanga mkali sikuweza kuona na hivyo iliwabidi wale wenzangu kuniongoza kwa kunishika mkono mpaka nikafika Damasko. "Huko kulikuwa na mtu mmoja aitwaye Anania, mtu mcha Mungu, mwenye kuitii Sheria yetu na aliyeheshimika sana mbele ya Wayahudi waliokuwa wanaishi Damasko.
Yeye alikuja kuniona, akasimama karibu nami, akasema: `Ndugu Saulo! Ona tena.` Papo hapo nikaona tena, nikamwangalia.
Halafu Anania akasema: `Mungu wa babu zetu amekuchagua upate kujua matakwa yake na kumwona yule mtumishi wake mwadilifu na kumsikia yeye mwenyewe akiongea.
Kwa maana utamshuhudia kwa watu wote ukiwaambia yale uliyoyaona na kuyasikia.
Sasa basi, ya nini kukawia zaidi? Simama ubatizwe na uondolewe dhambi zako kwa kuliungama jina lake.`
"Basi, nilirudi Yerusalemu, na nilipokuwa nikisali Hekaluni, niliona maono.
Nilimwona Bwana akiniambia: `Haraka! Ondoka Yerusalemu upesi kwa maana watu wa hapa binadamu hawataukubali ushuhuda wako juu yangu.`
Nami nikamjibu: `Bwana, wao wanajua wazi kwamba mimi ni yule aliyekuwa anapitapita katika masunagogi na kuwatia nguvuni na kuwapiga wale waliokuwa wanakuamini.
Na kwamba wakati shahidi wako Stefano alipouawa, mimi binafsi nilikuwako pale nikakubaliana na kitendo hicho na kuyalinda makoti ya wale waliokuwa wanamuua.`
Naye Bwana akaniambia: `Nenda; ninakutuma mbali kwa mataifa mengine.".
Kwa kua unahitaji kujifunza na kujua sio vibaya ukachukua Biblia na ukasoma kitabu cha Matendo ya Mitume. na barua za Mtume paulo kwa watu mbali mbali ambazo hizo kwa ujumla wake zinaitwa agano jipya.
KUHUSU MAKANISA NA MASUNAGOGI.
Kumbuka mungu hakuwahi kutoa agizo lolote la namna ya kujenga nyumba ya kuabudia hivyo neno kanisa ni jumuiya ya waamini na sio jengo bali inaitwa kanisa kwasababu jumuiya ya waamini ambao hukutana
Tangu miaka 2000 Wakristo wamepata kusikia tena na tena habari hizo wakapata mawazo mazuri jinsi gani ya kujenga jumuiya ya kindugu na ya kusaidiana katika mazingira yao hapa duniani.
Mpaka leo tabia kadhaa zilizotajwa katika Biblia zinakubalika kuwa alama za Kanisa:
a. kujifunza toka kwa mitume wa Yesu
b. kuishi pamoja kindugu na kuwasaidia wanyonge
c. kumega mkate, yaani kushiriki sakramenti(Mwili na damu yake bwana yesu kristo)
d. kusali pamoja.
MWISHO:napenda nikuambie kwamba Yesu mwenyewe ambae alisema "mimi ndimi njia ya ukweli na uzima yeyote ajae kwangu hatapotea bali atakua na uzima wa milele"
hayo ni maneno ya Yesu mwenyewe ambae ndio yule aliye mtokea mtume paulo katika safari yake kwenda kuwauwa na kuwadhurumu wakristu( watu ambao wanamfuata yesu kristo.na ambaye ndiye mwandishi alieandika nyaraka mbalimbali za agano jipya kuelekea katika maeneo mbalimbali na kwa watu mbalimbali) ndio huyo ambae tuna mwabudu na kulitukuza jina lake. kama unaswali jingine au maelezo zaidi unaweza kunitumia message ukijitambulisha jina lako na swali lako na pia kwa mada nyingine yoyote nakukaribisha.: Naitwa Eliud Elia kutoka parokia ya Mtakatifu Andrea mtume Bahari beach Dar es salaam namba yangu ya simu ni 0764789875.
Mnachanganyikiwa bule ikiwa bule kwr yesu au issa mwana wa mriam ni mwislam ushahidi kuruan sula ya maliam au ali imlani babu yake maliam hata bibilia inafundisha ivo yesu alitawaza kama waislam namuswali msikitini soma luka 4 16
Sema tu ukweli, Jerusalem ipo chini ya Orthodox.
Nani kakwambia