Kwa KWELI mna lengo moja; halafu ninyi lazima muwe na lengo moja maana Mwalimu huyo ni legend wa muziki mtakatifu toka mwaka 1990 alivuma sana Kanda ya ziwa, sema ni mstaarabu kwa changamoto zilizopo kwa wadau wenye mitizamo isiyo na lengo moja. Mbarikiwe
I love so much this Choir. When I'll reached Tanzania I'll remember my self to,...... this choir. 🇨🇩🇨🇩Toute mes félicitations ma chorale préféré 🇨🇩🇨🇩 from DRC congo 🇨🇩
Thanks for the Music LB..its truly a blessing when sang so perfectly..Mungu azidi kuwabariki kwa wingi wa rehema zake. Asante Pia Eliya, I cherish your songs, Kisha nikaona and this one..beautiful inspiring compositions..
Karibuni tena Mwala
You touched many souls Mungu azidi kuwabariki
Kwa KWELI mna lengo moja; halafu ninyi lazima muwe na lengo moja maana Mwalimu huyo ni legend wa muziki mtakatifu toka mwaka 1990 alivuma sana Kanda ya ziwa, sema ni mstaarabu kwa changamoto zilizopo kwa wadau wenye mitizamo isiyo na lengo moja. Mbarikiwe
Amen na BARIKIWA Sana na ujumbe katika nyimbo mnazomwimbia mungu
Mbarikiwe kwa nyimbo nzuri na BWANA azidi kuwatumia kwa kazi yake na mzidi dumu kuimba na kuwa na muonekano mzuri sawa na misingi ya kanisa
mbarikiwe na Mungu ujumbe mzuri
Mbarikiwe muzidi kuendelea kuwa imara
Kamilifu😊
Lengo Letu Tutangaze Injiri Mbarikiwe sana Tunawapenda sana Rwanda
Mbarikiwe San Kwa nyimbo zenu nzur nabarikiwa sanaa
Mbarikiwe sanaaaaaa 🙏🙏 lakn beti la pili mlitsha sanaaaaaaaaaaaaa🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Nakuaga na furaha ninapowasikia kiukwel mnanifariji nami nikipata nafasi nitaungana nanyi
God bless you 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Amen
It has been a while , karibuni tena LBTZ
MUNGU AENDELEE KUWAINUA MNAPOENDELEA KUTIMIZA LENGO HILO
SABATO NJEMA 👍🏽☺️🙏🏿🙏🏿🇹🇿
Amina Mungu azidi kufanya kazi ndani yenu na ni ombi langu pia
My best choir I love this song 🎵 ❤️ from Burundi 🇧🇮
Huu wimbo umetulia sana, kazi nzuri, Bwana awabariki sana
Amen barikiwa pia
May God bless everyone
Mungu na azidi kuwabariki watumish mnajua kuimba
Waooohhh.. My favourite song..
Mbarikiwe sana Light Bearers..💞💞
Barikiweni sanaaaa
Mungu awabariki kwa utume , naimani kuwa watu wengi wanabarikiwa kwa uimbaji wenu , jina la Mungu litukuzwe.
Wow!! Good job
Amen and Amen 🎤
Lyrics ya Beti la Pili ✨🌹
Na sare Ni dhuriiiii 😊
Blessings....
Amen Amen Amen Amen Amen Amen AMEN UFALME WA MUNGU UJE KWETU
Mungu akawatendee kadri ya mapenzi yake,mnatubariki sana🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Many blessings from zion in Jesus name... Nimeguswa na kubarikiwa nanyi...love from Kenya
Amen wish better performance
Kwa wimbo huu pia mmenibarik!
Bass imekaa vzur
Lengo langu ni moja niwafikie wahitaji.
Amen, Mungu awabariki sana kwa wimbo huu mzuri.
Wimbo tamu Kabisa
Kama kawaida,from Kigali Rwanda nawapenda mbarikiwe
Barikiwa waimbaji
I'm falling in love with this song. Lengo langu ni Moja
Barikiwen sana na Bwana ninyi ndo wataalamu wa uimbaji ktk inchi hii we proud of you mnajua namna ya kumtukuza Mungu kwa viwango
Keep it up wajori wa Bwana
I love so much this Choir. When I'll reached Tanzania I'll remember my self to,...... this choir. 🇨🇩🇨🇩Toute mes félicitations ma chorale préféré 🇨🇩🇨🇩 from DRC congo 🇨🇩
mbarikiwe choir
mbarikiwe
Mbarikiwe sana kwa hakika Bwana na aendelee kuwa tumia na mkatuvute wengi tumuone Yesu barikiwa sana 🙏
Happy sabbath
Amen to this wonderful song
Be blessed
We want to hear more from you🙏
Amen😌
Lb is always the best choir in Africa....
Kyekyo my maaza. I treasure u
Wonderful i love you so much LB
OU CORAL LINDO SOU BRASILEIRO NAO EMTEDEMPARABES MAIS CEI QUE E PARA GLORIA DE DEUS AMEM
Mbarikiwe sana sitaacha kuwapenda
Be blessed more...wimbo mzr ujumbe mzr sna code tamu ..🥰🥰
Wimbo mzuri mnoh🙌🙌🙌
FANTASTIC SONG, EVER..nabarikiwa sanaa na kazii hii njema ya BWANA..!!💕💕💕💖💖🎶🎶🎶
Video Quality 100%
Song writer 100%
C.Master 100%
Sauti 10000%
Stay Blessed L.B.T i appreciate your efforts 🙏🙏🙏
Dressing style 100%
Instruments 100%
Location 100%
Good music with a very strong message.
My God bless you
Indeed…. Lengo langu ni moja!!!! God bless your ministry
God bless you my choir
I like your songs
From Rwanda💕
Good one my people. You have being a blessing to many including me.
Sending love and greetings from Denmark.
Amen
Super song, job done Glory to GOD of Abraham❤
Ahsanteni for making this song my daily routine listening to it
Lengo langu n moja kufka mbiguni mungu awabariki❤❤❤❤
Good song may God bless you
Mbarikiwe na bwan kwa kuwa na malengo ya kuwafkia went mahitaj
Nice song get blessed
Hapa ndo panawafaa Sasa acheni kuhama Hama melody
Do not limit yourself, hakuna shida kujaribu vitu vipya, js
Mbarikiwe sana!!! 🤝🏻
Good morning 🙏
Happy Sabbath
Good bless you 🙏 ❤️
Nice song, we wait another translation in Kinywaranda for your song please
Jamani dah nabarikiwa sana yaani had natamani nije kujiunga nanyi
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏 thanks God bless you more
Amazing may God bless you
More blessed 🙏
Good message
Napenda sana hii wimbo 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Great
🙌❤
Very inspiring song our destiny to reach those who don't know christ 💕
Amen Lengo langu is to see my Saviour Jesus Christ one day greetings from a Zimbabwean brother based in South Africa.
Feeling blessed
Nice song indeed. Be blessed
Thanks LB be blessed. Really he accomplished his now it is our obligation to serve him whole heartedly.
AMEN AMEN AMEN 🙏
HALLELUJAH
Wuuuuuuuuh ni hatareeeee*🙏
amen
Amen.
Great Melody ☺️.. Mungu awabariki hakika
Be blessed
Wau amazing song I feel so much inspired
Be blessed my all time favorite choir
Nabarikiwa sana nanyi LB...Mungu azidi kuwatumia...the song is so sweet...Lengo letu sote liwe kuwafikia wahitaji
Amina!! Mbarikiwe!
Always the best. God bless you guys
Stuck on rewind ⏪.... Yet another great so from my favourite group. I wish I knew Swahili. God bless you guys. Lots of 💕🇧🇼
Wonderful indeed lb
Amazing combination of beautiful harmony and poignant lyrics. Thanks for such a great masterpiece
May Almighty God's blessings be with you always...
A special message to this special day.. 🔥 God bless you.
Wooow nice message keeping in mind we are living in end times and our only work is work tirelessly to bring more souls to Christ.
🔥🔥
May God bless you, we love you so much 💞🙏🙏🙏🙏
be blessed guy's
Thanks for the Music LB..its truly a blessing when sang so perfectly..Mungu azidi kuwabariki kwa wingi wa rehema zake. Asante Pia Eliya, I cherish your songs, Kisha nikaona and this one..beautiful inspiring compositions..
Good Music for the world 🌎🌍
This is the real lightbearer that I would like to listen forever. God bless you
Amen!
You sing so nicely...I feel so much inspired.
A nice song be blessed