Liko lango

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 23

  • @godblessndosa9500
    @godblessndosa9500 ปีที่แล้ว +2

    Jaman 🙌jaman 🙌jaman 🙌jaman mwenyenzi mungu awabariki wooooote na kazi yake kiujumla, tunaisubiria kwa hamu saaana hii nyimbo

  • @dismasmwingereza1238
    @dismasmwingereza1238 ปีที่แล้ว

    Me binafsi nimekaa mkao wakula, maana ni wakati wakula chakula cha kiroho Kwa njia ya wimbaji ❤️💪🙏

  • @WilliamMalima-op9lt
    @WilliamMalima-op9lt ปีที่แล้ว

    Nawapenda kuliko maelezo,Muwaha Mulungu yawadimenyi munomuno mu ing'hani yiyi yo kumwimbila mweneco,nabarikiwa sana na uimbaji wenu;

  • @isaacmwaipopo
    @isaacmwaipopo ปีที่แล้ว +1

    Nice instrumental, nice vocal. Yaan mmeimba kwa kifupi ila nimebarikiwa.

  • @jonathansenkondo8093
    @jonathansenkondo8093 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awabariki kazi nzuri, tunasubiri kwa hamu kubwa

  • @Eliza-m7z
    @Eliza-m7z ปีที่แล้ว

    Hello❤❤❤ Kwa kweli St Andrews.....kwa hiii inanibariki saana.....Mungu aendeleee kuwatunza...Pondering nyingi kwa Mwl wa kwaya....na wotr wanaotunga Nyimbo..zenu

    • @Mt.Andreakwaya
      @Mt.Andreakwaya  ปีที่แล้ว

      Amen 🙏 ubarikiwe mwana wa Mungu.

  • @Mosesndahani
    @Mosesndahani ปีที่แล้ว

    Bwana muumba wa mbingu na Nchi awamwagie wingi wa mibaraka na kuwaongezea mipaka ya kumiliki. Wimbo ni mzuri sana utadhani haumo kwenye Tenzi mbarikiwe

  • @isaiahesuron7866
    @isaiahesuron7866 ปีที่แล้ว

    Nyimbo nzuri Sana,Kwa kweli Msalato huwa mnanibariki sana 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @neemamalyampa1535
    @neemamalyampa1535 ปีที่แล้ว +1

    Mungu azidi kuinua Huduma yenu, wamsalato wezangu

  • @BeatriceCharles-x8q
    @BeatriceCharles-x8q 8 หลายเดือนก่อน

    jamani wana wa Mungu album inatoka lini🙏

  • @omegamwihambi2496
    @omegamwihambi2496 ปีที่แล้ว +1

    Good music 🎵🎶

  • @netosembegule6351
    @netosembegule6351 ปีที่แล้ว

    Nawapenda sana

  • @LwandaRehema-lp7ec
    @LwandaRehema-lp7ec ปีที่แล้ว +1

    Kweli liko lango!

  • @Regnard999
    @Regnard999 ปีที่แล้ว +1

    Tunaisubiri kwa hamu