KUNAWAKA MOTO🔥🔥🔥MUGUKA EMBU LEADERS EXPOSE COAST GOVERNORS SAYS THEY ARE PROTECTING HARD DRÚGS🙄🙄🙄🙄🙄🙄
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 31 พ.ค. 2024
- SUBSCRIBE TO KNOW WHATS HAPPENING IN KENYA WITHOUT ALTERATION OR ANY BIAS
For any inquiry/complains please contact our team through this email address..... newslifetvkenya1@gmail.com and you will get assistance...
#news #trendingnews #trendingvideo
Why forcing MSA to take leaves of Moguka. Sisi hapa pwani si mbuzi kuleni wenyewa. Intruduce juice and other drinks . Ndio sababu mt Kenya People die of pompe with Gift. Msitoretee pasa mbele kuliko maisha ya binadamu.
It is just simple. Sale the leaves within your bounderies.let the customers travel from the affected counties to your market. Dont force things which are manifest.
Tell them muheshimiwa ukweli wao
When did they teach in school mogoka as a cash crop ?
Sawa tuwachieni maunga yetu hatutaki mugokaa kwani ni lazima huku kwetu were are 47 county 3 county mnabweka mafala nyinyi mwauzia watu wazimu hapa NKT
Wee bweka huko lkn habari ndio hio no mugokaa kama umekasirika njoo Mombasa uje ubweke tuone
Hiyo mlieka hapo kwa siyasa lkni watu wakutatua huu ungonvi s Wana siyasa sababu kila mmoja itasemekana anavutia kwake watu wa maabara wahudumu wa afya ndio watatatua hii ishu
Ww bweka hapo lkni watu kma mututho ndio watu wakuamuwa hii kesi s wanasiyasa
Nyinyi munalazima muuze huku kwakuwa serikali niyenu wacha ujinga wenyewe hawataki mugukaa mwatumia nguvu ya serikali uchafu wenu mwaleta msa mnajuwa huku ndio kuna pesa na ndio maana mwanang'ania
do we realy have county called RAMU in kenya..nonsense
Shenzi sana kula mwanzo sio utajua madhara yake uone kaa haujajikocholea
Kwani kunaulazima gani jameni c mkule wenyewe
God will punish and punish you peole kabla mupige vita wapwani wapole wanyonge mtaanza kupigana wenyewe kwa wenyewe na mtazimwaga damu zenu mpska mumulilie mungu awasamehe,msipende maisha ya kuwanyanyasa wanyonge
Brother si ukule hiyo Cash crop wewe na mako ,babako na watoto wako.
Mbona umepanik s utulie umesema unasubiri bunge tuliza mpira
Sasa s mlisema ni cash crop mbona ushtuke mugokaa na miraa yenyewe itajisema kma ni cash crop na kma s cash crop pia itajisema wacha chuki zako watu maabara ndio watatwambia Wana siyasa woote wakae kando