FAIDA ZA URAIA PACHA (Dual Citizenship) KWA TANZANIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024
  • #uraiapacha #Tanzania #uraia
    Hivi karibuni, Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania kazungumza jinsi wizara inavyoshughulia suala la uraia pacha au hadhi maalum kwa Watzanania waliochukua uraia wa nchi nyingine na kukoma kuwa Watanzania.
    Nilikuwa nafanya TH-cam Livestream ambapo watu walikuwa wanataka kujua faida na changamoto za mtu kuwa na uraia wa nchi mbili au hadhi maalum kwa Watanzania hao.

ความคิดเห็น • 57

  • @kennycathles
    @kennycathles 2 ปีที่แล้ว +5

    Nipo Europe. Na ninaipenda nchi yangu Tanzania. Napanda Miti ya Matunda kwa Jamii bila malipo yeyote na inaumiza sana kuona kwamba hatuna Uraia Pacha kama Nchi nyinginezo Duniani. Nyumbani ni Nyumbani waliyasema Wahenga. Bless.

  • @MRST_1662
    @MRST_1662 3 ปีที่แล้ว +6

    Well said, great info. 👏🏿👍🏿 But siwezi kusubiri siku Tanzania itakapoanza uraia pacha! Nitafurahi sana😍

    • @mariamkhamis2318
      @mariamkhamis2318 3 ปีที่แล้ว

      Kaka umeongea.sawa tiu. I00..100..endelea.kuelimisha..

  • @kaupigwe
    @kaupigwe 2 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo ya tax filing may be different, US is one of few countries that tax their citizens worldwide income regardless their location they are in.

  • @northerntanzaniatv4033
    @northerntanzaniatv4033 3 ปีที่แล้ว +4

    Tatizo hawa viongozi watu wa tz wamejawa roho mbaya

  • @aliyageorge6794
    @aliyageorge6794 ปีที่แล้ว +1

    Kwa kweli Tanzania tunapenda ku complecate mambo.

  • @KADALAtv255
    @KADALAtv255 2 หลายเดือนก่อน

    Imeniuma sana suala la kunyimwa Bendela tu bila kujali huyu mtu anakwenda kuisaidia na kuisapoti na kuitangaza nchi aisee ni aibu kweli yaani nchi kubwa kahii haina Uraia Pacha kweli? Mh. Mama Samia tusaidie hilo please🥰🥰🥰🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @KADALAtv255
    @KADALAtv255 2 หลายเดือนก่อน

    Kwa nini Tanzania hairusu kuwa Raia kwa nchi zote mbili jamani?🥰🥰🥰🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @alphoncehanura3255
    @alphoncehanura3255 ปีที่แล้ว

    Tulavukana mwenewachu.... pot muhadhara huu tuliusubiri kwa hamu sana.
    Ubarikiwe milele.

  • @KADALAtv255
    @KADALAtv255 2 หลายเดือนก่อน

    Tupe vidonge yetu kaka Watanzania ubinafsi aisee moyo wako Kaka ni moyo wa Mungu unatusaidia na kutuambia ukweli lakini wengine blabla nyingi na matusi nyodo nakwambia huwezi muuliza swali mara mbili Mungu akutunze kwa ajili yetu mimi ni Mwalimu naamini siku moja nitakuwa Marekani najifunza sana kutoka kwako

  • @aulamongi2020
    @aulamongi2020 2 ปีที่แล้ว +2

    Thanks alot for your kind help to the world

  • @shedrackisanja
    @shedrackisanja 7 หลายเดือนก่อน

    passport yangu imeisha muda wake nataka nilipie passport mpya niko hapa america nalipiaje?

  • @nkolemuya9283
    @nkolemuya9283 ปีที่แล้ว

    Well said brother 👏, mpaka leo km bado tunawaambia the same thing basi swala si kutoewa bali ni utashi kwa manufaa ya wachache

  • @bonifacewanyonyi3555
    @bonifacewanyonyi3555 ปีที่แล้ว

    Kweli ndugu mungu akumpuke tz ifunguke macho

  • @mjmswahil6244
    @mjmswahil6244 3 ปีที่แล้ว +1

    Nina chagua Marekani ndio mpango mzima Anko

  • @nkolemuya9283
    @nkolemuya9283 ปีที่แล้ว

    I believe hilo la kula huku na huku ni mlaghai kikwete mwenyewe alilitunga

  • @sabri8714
    @sabri8714 3 ปีที่แล้ว +3

    With the tanzanian citizenship you need visa to go almost EVERYWHERE. you can't even go to the world's most popular tourism destination without visa.. not even to Dubai...

    • @shabaniguma8696
      @shabaniguma8696 3 ปีที่แล้ว

      Tanzania is just useless and people's and there leaders full of jealous roho mbaya tuu

    • @damariszuckschwert9489
      @damariszuckschwert9489 2 ปีที่แล้ว

      Yuko na nyingine ya kiingereza nenda huko huku unatuvuruga tu na comment

    • @sabri8714
      @sabri8714 2 ปีที่แล้ว

      @@damariszuckschwert9489 go learn English.

    • @damariszuckschwert9489
      @damariszuckschwert9489 2 ปีที่แล้ว

      @@sabri8714 English is an asset or achievement for you?🙄🙄

    • @sabri8714
      @sabri8714 2 ปีที่แล้ว

      @@damariszuckschwert9489 there you go, now you speak English. Well done.

  • @kaygreko
    @kaygreko 3 ปีที่แล้ว +2

    Mm nipo Athens .Nimewasikia wabongo wengi tuliopo Ughaibuni ila huyu bwana anaongea kwa hisia na uzalendo zaidi wa nchi mama TZ. Mungu azidi kumbariki

  • @aliyageorge6794
    @aliyageorge6794 ปีที่แล้ว

    Tell them.
    They don't seems to understand maana ya uraia pacha

  • @lgffumbuka183
    @lgffumbuka183 ปีที่แล้ว

    Sheria ya Marekani inasemaje?

  • @hastatz
    @hastatz ปีที่แล้ว

    Nimesikiliza hii clips hadi nimelia

  • @allyhusseinally2461
    @allyhusseinally2461 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakukubali kamanda umeongea point

  • @ssur6125
    @ssur6125 2 ปีที่แล้ว

    Ni ukweli mtupu uliongea

  • @VicentJohn-tg9yp
    @VicentJohn-tg9yp 10 หลายเดือนก่อน

    Nakubali sana kaka uko sawa

  • @kaupigwe
    @kaupigwe 2 ปีที่แล้ว

    Hey muda not a problem. We needed it

  • @hamadimadisa9346
    @hamadimadisa9346 2 ปีที่แล้ว

    Sema ukweli TZ wana poteza faida nyingi sanaa

  • @leticiakomba6695
    @leticiakomba6695 3 ปีที่แล้ว +1

    Yaani Tz bado nyuma sana. Mpaka uraia ngumu. Duhhh ebu tuongee na Balozi huyooo

    • @leticiakomba6695
      @leticiakomba6695 3 ปีที่แล้ว

      Kenya wapo vizuri.

    • @abubakaral-harthy482
      @abubakaral-harthy482 3 ปีที่แล้ว

      Mimi nasema hamna uraia pacha Tanzania ni nchi peke duniani

    • @shabaniguma8696
      @shabaniguma8696 3 ปีที่แล้ว

      @@abubakaral-harthy482 kwahio kama hakuna raia pacha wewe una faidika nini wakati wa Kenya wana uraia pacha wana kuja kufanya kazi Tanzania kama est African community sasa hutaki watanzania wenzenu toho mbaya ndio maana hamuendelea halafu serikali ina wauwa mnataka hao watu wanao ishi nje wawasemee😂😂

    • @aliyageorge6794
      @aliyageorge6794 ปีที่แล้ว

      Sana , sana.

  • @edwardouma1630
    @edwardouma1630 2 ปีที่แล้ว

    Mimi ni mtanzania ninahishi Kenya lakini tukipo mpoteza our the late former president John pombe Magufuli tulilia kama mtoto mdogo kwa nn tulikua na uzalendo na inchi yetu Tanzania 🇹🇿💪

  • @fatumatandika5849
    @fatumatandika5849 2 ปีที่แล้ว

    👍👌👏 kweli kabisa roho mbaya sisi watz

  • @northerntanzaniatv4033
    @northerntanzaniatv4033 3 ปีที่แล้ว +1

    Tuache uchawi watz

    • @prorwega
      @prorwega 3 ปีที่แล้ว

      Kaka utofauti wa Tanzania na Kenya au nchi za East Africa ni kwamba sisi tumeungana na Zanzibar swala linalotuzuia kuwa na dual citizenship. Pia sababu ya msingi lazima muwaelimishe watanzania waishio nje kabla hawajachukua uraia

    • @shabaniguma8696
      @shabaniguma8696 3 ปีที่แล้ว +1

      @@prorwega akili mbovu zanzibar wame shapitisha uraia pacha ila Tanzania bara ndio inafanya sheria hiyo isifanyike watanganyika ndio wana roho mbaya

  • @kennycathles
    @kennycathles 2 ปีที่แล้ว

    Safi sana Bro. Kweli.

  • @leticiakomba6695
    @leticiakomba6695 3 ปีที่แล้ว

    Hongera sana Sana good points Kaka yangu.

  • @leticiakomba6695
    @leticiakomba6695 3 ปีที่แล้ว

    Yule wa msoga roho mbaya sana.

  • @fatumatandika5849
    @fatumatandika5849 2 ปีที่แล้ว

    Umeongea point

  • @leticiakomba6695
    @leticiakomba6695 3 ปีที่แล้ว

    Hahahaha eti ndanda, umegusa home

  • @kantitriphone5154
    @kantitriphone5154 2 ปีที่แล้ว

    Uko sawa kaka

  • @swahilimagnet
    @swahilimagnet 2 ปีที่แล้ว

    Great insight man

  • @dasilvajacmwax7436
    @dasilvajacmwax7436 3 ปีที่แล้ว

    God bless the united states of america󾓦󾓦󾓦