😂😂😂😂yaani mpaka Tosh amematchisha hood na kibeti ya mrembo wake nikipatana namwenye ushomea Hezekiah trousers ile vita nawezamuona wachatu you people are just amazing heii😂😂😂😂😂
Timontheo wa kwanza mlango wa pili mstari wa kumi na sita...siku za mwisho watakuja manabii wanuongo😂😂😂 Mara siku za mwisho watu watapenda pesa kuliko kila kitu🎉🎉🎉🎉
Current addiction ngl😂😂😂mnaniua kuniua, comedy imeenda shule, inakupata direct, unafuuurrrrahia😂❤❤so much love, bromine yet pia inamake hii kitu even sweeter
Script of another level ati '.....dream yangu ya kuwa comedian ni kama piped dream..' saa hiyo ameshikilia pipe. Tosh anamshow hawezi itabidi awachilie. Yaani awache kushikilia pipe pia😂😂😂 awachilie kama hiyo dream
Karibu nichelewe guys😂😂leo aki msininyime likes😢😂😂😂
I am from Tanzania now this is my no 1 show aisee good job director phil, mkurugenzi mwenyewe plus njugushi my boy, i will pay a visit kenya one day❤
From Timothy kimani to Tosh njuguna😂 wapi likes zake
Anakuanga ameunga kindani ndani 😂 my favorite comedian at all time
Ame unga kimoyomoyo 😅😂
Hezekiah Heze!!😅😅😅
Zedekiah 😂😂😂
Aka cute boy😂😂
The sparky vibe and Bluetooth makes my brother and sister kuji ita hivyo 😅
😂😂😂😂
Leo ndo nashikanisha theories za Njugush😂 "The year is... He imitates Abel Mutua's story telling 😂🤌
Sasa weweeeee
only after this comment😂😂😂
10 minutes ago na comment siwezi kuwa wa kwanza hii kitu ni tamu
Njugush just brought back Pastor Pius Muiru 😂
Wale wenye hatujapatana na maisha magic tunasaidika hapa😂... Thanks phil
😂😂😂
Kipofu Kiona aliambia Njugush ati kama hizo ndo jokes unakulia,......"ama unataka tutoe za macho ndo uende""😂heri aende achukue manjogo
Ngush felt that umeskia swali ameuliza Mkuru😂😂😂😂
Nothing disappoints me more than mtu hajui anda kava
Mm ckujua unamind tosh ivo😅😅😅😅
wapi likes zangu nishaa fika
I have been a good fan both Njugush and Abel for so long,I hope I will act with either of them one day
Some of you mnalala hapa comment section mtu hawezi tangulia😂😂
Kujeni kwanza tuchekelee Man U 😂😂😂😂😂
Baridi kidogo washapeana 🤣
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂yaani mpaka Tosh amematchisha hood na kibeti ya mrembo wake nikipatana namwenye ushomea Hezekiah trousers ile vita nawezamuona wachatu you people are just amazing heii😂😂😂😂😂
Tosh: na kwa Tinder hukai hivi,,mkamba akikuona kwa tinder atakwambia watinder nesa🤣🤣🤣🤣
Hee..heee..heeezeekiaaa😂😂😂Likes za njugush zikam
Timontheo wa kwanza mlango wa pili mstari wa kumi na sita...siku za mwisho watakuja manabii wanuongo😂😂😂
Mara siku za mwisho watu watapenda pesa kuliko kila kitu🎉🎉🎉🎉
Tosh angekuwa na silaha angehepa😂😂😂
Baba Mumbu😂😂😂,,I LOVE THE SHOW,,Alafu bluetooth bana my crushie😍😍🥰😍
Today I am the first Human to arrive here 🔥🔥🔥...
Na bytha way madem mkuwe na pesa zenyu...😂😂😂 Ata bhajia hamwezi lipa nkt😂
This guys waah karibu neighbours washangae unacheka peke yako😂😂😂
😂😂😂Njugush ameslice Abel Mutua hivyo tu 😂😂😂
😂😂😂😂
aki🤣
i swear tosh utafanya nifutwe job hahahahaha
always looking forward to these episodes
Wooow... creativity and comedy of the highest level 😂😂😂😂...
Njugush : umeamua ukule chakula inafanana na nguo yako..😂😂😂
Very addicted, always preying for this show
The way nafollow hii kitu mnaeza Dhani sina kazi yakufanya😂😂😂😂
Atuwezi mind ikuwe kila siku❤❤love for you guys is onother level❤
Nani amekubali njugush ni mnoma
Since Man U walichapwa 😢wacha tuskize our best FBI agents in Kenya😅😅
GGMU 🎉
Kuna man U ingine ama ni Ile ile😂😂😂
@@shakhuljoker6599 Ile Ile
Tosh njugush akisema the year was............... Naokotwa na kicheko na watu WA kupitiana mnipitie
Great.. ❤
Rudi chini mimi ni mkali sana imenipata off guard 😂😂
Karibu ni chelewe Tena.. 😂😂😂 mapema ndio best...at least siogopi mende peke yangu
😂😂hezee never disappoints na dry jokes💀
Aki nisaidieni kujibu hii swali aki.... Heze aka Njugush anakuwanga normal kweli???😂😂😂😂😂😂
Yes and no.sana no
Watching Form Qatar 🇰🇪....
Hapo kwa kuagushwa ukuiyoya dio sana 😂😂😂
mmeharibu lugha 🤣🤣🤣
Cyute bwoy ako na tuedges😂😂😂 hezeh hunimurder walai
Episode 9 finally here❤❤🎉@Christine wa mother _in law playing her role well😊
Thank you ❤
Tosh ameachwa hivo juu hajui jokes😂😂😂
Vile watu wanafika mapema huku 😂😂😂
Wangapi wanawatch Na hangover
Kaende kaende always on time
Am additted to this show❤😅😅
Hezekaya ni abunwasi 😂😂😂
Mad love for the show❤
Current addiction ngl😂😂😂mnaniua kuniua, comedy imeenda shule, inakupata direct, unafuuurrrrahia😂❤❤so much love, bromine yet pia inamake hii kitu even sweeter
NJUGUSH JOOH.... LEO UMEUA, NIMECHEKA YANGU YOTE
😂😂😂😂
On it 😂😂😂likes za Tosh zikam through
Tosh unakuanga normal kweli yaani unarudisha mkono ufungwe
😂😂eeeih Heze si utatumaliza😂..mi Ni mubaya Sana angalia chini😂😂😂😂kaliii🔥💯
Piga like tukisonga......if you never miss the episode
Had to rewatch..😂😂 Hezekiah will kill me 😂😂
Hangenyamazia hiyo ng'oa # Tos 😂😂
Tosh: Kwani ulianguka ukinyonya
Heze: labda nikikunywa uji
😂😂😂 This combo is on onother level
Wright on time ❤❤❤
🔥🔥🔥
My favourite 🎉🎉
Uliangushwa ukinyonya 😂😂
Ile design the plot of the story hukata kona once, ndo hunimaliza😂😂😂😂❤🎉 so unpredictable
Nayo nayo. But I wish mngetupea jana atleast tutoe stress za man u
This show has come to grow on me. When's the next episode dropping?
Thursday 🥳
kali sana Wakuu
My likes from Tanzania
Wale w from episode 1 tuko apa tukilike
"Umeamua ukule chakula inafanana na nguo yako"🤣😂
Nayo nayo first viewer leo.
hi 2060 nilikua APA 2024 sep,2 11.36😂😂kama nimelike comment pia pitia yangu for my big G's Abel na Hezz😂
Unahema kama tent😅😅😅
Hii ndio inaitwa running a business😂😂😂
😂😂😂😂
Na bado,huu mwanzo tu,world wide mtatambua kenya
Ata mimi sijachelewa 😂😂😂
FBI waru cia twedifae😂😂😂😂NJugush hunimaliza🤣🤣🤣🤣
Wagwaaan people 😂❤
na leo mumechelewa sana karibu ata niwatumie email
First in, first out. Great stuff. 😂
lol. mmeharibu lugha🤣🤣🤣
Ati mjazie waru ya 35 hadi atembee na magoti akitoka hapa ..tosh 😂😂😂😂
The year was ................................
Aki Heze Acha kufurahisha dem ya wenyewe 🤣🤣🤣
𝙇𝙞𝙠𝙚𝙨 𝙯𝙖 𝙢𝙠𝙪𝙪𝙧𝙪 𝙖𝙥𝙖.......👍
Jokes za njugush lazima ukue na ram kubwa😅😅
😂😂😂😂
Always 1st Here❤❤Team Mkuru❤😂😂
mimi ata sikuogopi😅😅
Thank you very much...
Mimi uyu apa 😊😊😊😊
Hap0 kwa running the business😂😂
Script of another level ati '.....dream yangu ya kuwa comedian ni kama piped dream..' saa hiyo ameshikilia pipe. Tosh anamshow hawezi itabidi awachilie. Yaani awache kushikilia pipe pia😂😂😂 awachilie kama hiyo dream
Huyu dem anasmile fiti
ii kitu iuplodiwe yote once bana
Mtavunjika jameni😅😅
MOTO ❤❤🎉
❤️
Story za Heze hubamba😂😂😂
My two stress reliever 😂😂 nimefika Wacha nijinice
😂❤🎉 hakuna kulala ma lines😂
Bluetooth any day any time🤣🤣🤣🐐🐐
Njugush ni nongwe aki
😂😂😂😂😂😂😂👌🏿👌🏿
yaani abel uliandika hii kipindi ukiwa ngombe ivi??😂😂😂😂😂