MAOMBI YANAYOMGUSA MUNGU // OMBA KILA SIKU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 51

  • @naeematn-qn4os
    @naeematn-qn4os หลายเดือนก่อน

    Naomba Mungu aniinulie mtu wa kuniongoza kwenye maombi🙏🙏

  • @EvalynePendo
    @EvalynePendo หลายเดือนก่อน +2

    Amen amen amen amen amen amen amen amen amen amen amen amen amen amen amen amen

  • @JeysonEmmanuel-d6y
    @JeysonEmmanuel-d6y 28 วันที่ผ่านมา

    amen

  • @PrescillarMazera-tm4bn
    @PrescillarMazera-tm4bn หลายเดือนก่อน

    Naomba mungu anifungue na amlinde mume wangu popote aendako

  • @EvalynePendo
    @EvalynePendo หลายเดือนก่อน +1

    Hallelujah 🙌🙌🙌

  • @MwambaForreal
    @MwambaForreal หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @berthabuseleke598
    @berthabuseleke598 หลายเดือนก่อน

    Mungu wangu nisaidie nipate neema ya kuwaombea ndugu zangu

  • @DorothyChilembo
    @DorothyChilembo หลายเดือนก่อน +1

    Asante Yesu wangu 🙏🙏

  • @barekeesther2249
    @barekeesther2249 หลายเดือนก่อน +1

    Amen amen Mungu akubariki mtumishi wa bwana

  • @MariaMlenda-mv1yh
    @MariaMlenda-mv1yh หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe sana mtumishi Nami mme wangu naomba msaada wa maombi Aokoke pia na kaka yangu anavuta bangi sana na kunywa pombe sana.

  • @Loice-c9o
    @Loice-c9o หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu

  • @BarekeRebecca
    @BarekeRebecca หลายเดือนก่อน +1

    Namuomba mungu akatuvushe Mimi nawatot wangu nafamilia yangu tukasafiri katika mwezi uyu kwajili yadose yetu

  • @ohmbeauty
    @ohmbeauty หลายเดือนก่อน +2

    Naomba Mungu anisaidie nipate kazi ninaomba sana hili ni ombi langu kwa Mungu😢🙏

  • @ArinaitweFatuma
    @ArinaitweFatuma หลายเดือนก่อน

    Asante yesu kirsto ulie hai 😭 anakuita mungu nepe baraka 🤲 zako nipe neema hekima na busara lehema zako mungu 😅

  • @JudithNafula-w9s
    @JudithNafula-w9s หลายเดือนก่อน

    Hallelujah 🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌

  • @alicemwaka3762
    @alicemwaka3762 หลายเดือนก่อน

    Emeeen

  • @oman5875
    @oman5875 หลายเดือนก่อน

    Amen,hakika eee mwenyezi Mungu nakuomba nipe kibari cha kuikomboa family yangu na jamii inayonizunguka kwa jina Yesu 🙏🏿

  • @SevAl-p9k
    @SevAl-p9k หลายเดือนก่อน

    Sylvia amen amen amen 🙏🙌♥️ mungu akubariki zaidi mtumishi kwa kazi nzuri ya mungu unavyoitenda aki mungu akutunze ❤

  • @GeofreyJones
    @GeofreyJones หลายเดือนก่อน

    Asante Yesu kristo naomba kibali na neema ya kuwabadilisha wenzangu asa Baba mdogo Aache pombe niwakati wakujibu sasa Mungu wangu🙏🏽🤲🏽

  • @emilywamalwa5938
    @emilywamalwa5938 หลายเดือนก่อน

    Hili lina nguza kweli👏👏👏

  • @vailethvennance4651
    @vailethvennance4651 หลายเดือนก่อน

    Usinipite YESU u apo zuru wengine na Mimi usinipitee🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @MarthaEmanuel-gb3mc
    @MarthaEmanuel-gb3mc หลายเดือนก่อน

    Asante mtumishi wa Mungu maana nimemjua Mungu zaidi kupitia mafundisho yako Mungu zaidi kukuweka tuzidi kumjua yesu

  • @RehemaNkota
    @RehemaNkota หลายเดือนก่อน

    Amen mtumishi Mungu nisaidie ni kweli ndugu zangu wapo gizani, nipe nguvu ya kuwaombea wapate neema ya kukujua Mungu ulie hai

  • @OmarBenga-b8s
    @OmarBenga-b8s หลายเดือนก่อน +1

    Ameeeeeeeen kubwa

  • @Marianamariana181
    @Marianamariana181 หลายเดือนก่อน

    Amen ahsante roho wa mungu 🙏🙏🙏🙏

  • @NellyKombe
    @NellyKombe หลายเดือนก่อน

    Ameeen MUNGU akubariki mtumishi asante kwa mafundisho

  • @emilywamalwa5938
    @emilywamalwa5938 หลายเดือนก่อน

    Amen 😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏

  • @Nauminaumi_1984
    @Nauminaumi_1984 หลายเดือนก่อน

    Amen amen 🙏🙏

  • @Selpha-b6t
    @Selpha-b6t หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏 ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu kwa neno la wakati 🙏 🙌

  • @emilywamalwa5938
    @emilywamalwa5938 หลายเดือนก่อน

    Asante Mungu naomba roho wko aniongoze kuwaombea wangeni Mungu wangu,barikiwa sana paster kwa hili funzo 🙏🙏🙏🙏

  • @RosetteNakajambi
    @RosetteNakajambi หลายเดือนก่อน

    ASANTE pasta wetu mungu anifunguliye kila lile linalo kuwa ligumu kwangu..

  • @RoseWilson-j2y
    @RoseWilson-j2y หลายเดือนก่อน

    Amen Mungu nisaidie nilijue hili nisaidie nijue jinsi ya kuomba

  • @hellenwafula-j2g
    @hellenwafula-j2g หลายเดือนก่อน

    Mafunzo Bora sana .Moyo wangu umefurahi sana.Ubarikiwe pastor

  • @Ms.stomey
    @Ms.stomey หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏

  • @MarieMakiwa
    @MarieMakiwa หลายเดือนก่อน

    Ee mungu wangu nahomba neema yako

  • @MaseaKerry
    @MaseaKerry หลายเดือนก่อน

    Kweli kabisa pastor nashukuru Roho mtakatifu kwa kutufunulia haya yote kama mm nilisikia niombee ndugu zangu saaaaaana

  • @JeromeragiraOmbuna
    @JeromeragiraOmbuna หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @franciscakija1702
    @franciscakija1702 หลายเดือนก่อน

    😭😭😭😭😭Mungu atujaalie tulijue hili

  • @mchamunguedward2272
    @mchamunguedward2272 หลายเดือนก่อน +4

    Ubarikiwe Sana kwa Kazi njema unayoifanya. Sasa, mbona kitabu chako Cha Hekima ya maombi unakiuza kwa bei Kubwa Sana? Tsh. 30,000 ni Fedha nyingi Sana kwa wengi. " Mmepewa Bure, toeni Bure" Punguza bei ya kitabu, usifanane na wauzao huduma.

    • @Queensmile-gn1tm
      @Queensmile-gn1tm หลายเดือนก่อน +3

      Daah mtumishii apo ujue ametumia garama kuandaa kutype kuprit ndoman unatakiwa uchangie ili huduma izidi kwenda mbele na wengi wapate haya marifa unayoyapata wewe

    • @RachelAnney-q4n
      @RachelAnney-q4n หลายเดือนก่อน

      ​@@Queensmile-gn1tm kweli kabisa ametumia gharam nyingi mno

    • @estermathias8354
      @estermathias8354 หลายเดือนก่อน +1

      Jmn hivi kweli neno la Mungu kwa ef 30ni kubwa???kwakwel hata kingekua laki nanunua tu kwn simu yako umenunua ef 20? Tena ni sm ya muda tu je kitabu Cha muda mrefu hadi wajuu zako wanakikuta ukitunza vyema .nahis utakua huna Nia tu ya kitabu 30 ni sawa na Bure kbs

    • @EuniceOgesagwa
      @EuniceOgesagwa หลายเดือนก่อน

      0:51 0:52

  • @MariaMjeni-rh6sy
    @MariaMjeni-rh6sy หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙌🙌

  • @LivingMindfullyWithKwizera
    @LivingMindfullyWithKwizera หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🏽

  • @dulcemanuel2828
    @dulcemanuel2828 หลายเดือนก่อน

    Amen🙏

  • @SAMIRAH-e5j
    @SAMIRAH-e5j หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @DavidsarvatirybukuruDavidsarva
    @DavidsarvatirybukuruDavidsarva หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🙏🙏

  • @nadyamsangi
    @nadyamsangi หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @SalomeSimon-f5z
    @SalomeSimon-f5z หลายเดือนก่อน

    Amen