ni muhimu kufahamu haya maoema kabla ya kutumia app za Mikopo kwa njia ya simu. uchambuzi na review kuhusu app moja ambayo ni number kwa sasa katika online loan apps.
Wanatuhujumu sana unakopeshwa 10000 ulipie 16000 au unapewa 78000 ulipe 120,000 kwa siku 6 bado makato ndani ya siku 6. Dawa tukope na tusilipe tuone watafanyaje ili zife maana huu ni unyonyaji na waongo sana .
Mi nilikopa 19000 kulipa 29900 Kwa siku 6 ,siku ya marejesho nikawa sipatikani wakatumia watu sms kwenye contact yangu kuwa Mimi TAPELI MKUBWA.mpaka mpenzi wangu akaniacha 😭 kuwa Mimi TAPELI.niliwalipa .kiwango kikapanda mpaka zaidi ya 75,000 nikakopa sijalipa mpaka Leo na App nikafuta kabisa Mimi sio mnyonge . Waliniboa sana kuzidisha siku tu naitwa majina ya ajabu .zifungiwe tu SISI SIO WATUMWA NCHINI KWETU
Nikweli kabisa
Kuna application inaitwa PesaX wahudumu wake ni nyanya chungu!😂😂
Jamani mmm😢 najitaaa
❤❤❤❤❤❤ nawakubali mwiaka yote
One love
❤
💯
Wanatuhujumu sana unakopeshwa 10000 ulipie 16000 au unapewa 78000 ulipe 120,000 kwa siku 6 bado makato ndani ya siku 6. Dawa tukope na tusilipe tuone watafanyaje ili zife maana huu ni unyonyaji na waongo sana .
😂
😀😀
Hujalipa imekuaje nipe mrejesho😂😂
Mi nilikopa 19000 kulipa 29900 Kwa siku 6 ,siku ya marejesho nikawa sipatikani wakatumia watu sms kwenye contact yangu kuwa Mimi TAPELI MKUBWA.mpaka mpenzi wangu akaniacha 😭 kuwa Mimi TAPELI.niliwalipa .kiwango kikapanda mpaka zaidi ya 75,000 nikakopa sijalipa mpaka Leo na App nikafuta kabisa Mimi sio mnyonge . Waliniboa sana kuzidisha siku tu naitwa majina ya ajabu .zifungiwe tu SISI SIO WATUMWA NCHINI KWETU
❤❤
Hy niko na youtube channel lakini kila siku inasema automatic Bank transfer
Yes wanatuma bank
@@Vinei ukienda kwa transection ina sema automatic Bank transfer pending
@@andrewchangawa8185 yes kabla ya kutuma lazima iwe pending
@@Vinei na itatumwa lini
Mimi iliniletea hivyo 21date mpaka saa hii bado
Vp😊😊
Hao wanaosifia ni wenyewe😢
Wengine ni real users
Hiii mitandao shida tupu
Ifutwe tu Kuna USTAWI au bobacash hawafai hawa