Huyu shemeji amedharau familia yenu yote ! Lakini pi a inategemea vile mnamwonesha kama mnamfanya mkombozi wenu sijui .alafu ukisema ulisacrifice happiness yako ? Mimi🤐🤐🤐🤐
Wewe mtu umeshazaa utakosa kujuaje lodging watu wanaenda kufanya nini🤣🤣siste hataki kushare hiyo kitu na mtu wa tatu na hajui maybe kuna wanne na wasita, fisi ni fisi tu 🤣🤣Sasa mtaletea big siz ugonjwa tu hivo
Huo ushauri uko sawa sana big up
😂 😂 😂 Shemeji kakosa adabu buana, even though some it's thr culture
Huyu shemeji amedharau familia yenu yote ! Lakini pi a inategemea vile mnamwonesha kama mnamfanya mkombozi wenu sijui .alafu ukisema ulisacrifice happiness yako ? Mimi🤐🤐🤐🤐
Maajabu🙄🙄
Wewe mtu umeshazaa utakosa kujuaje lodging watu wanaenda kufanya nini🤣🤣siste hataki kushare hiyo kitu na mtu wa tatu na hajui maybe kuna wanne na wasita, fisi ni fisi tu 🤣🤣Sasa mtaletea big siz ugonjwa tu hivo
waah🙆🙆🙆🙆
Alipeana
Uyu dem alipeana na pia nadhani ako na wivu na uyo jamaa juu anataka mke wa ndugu yake tena
😂😂😂😂👉
Huyu msichana alimpa there is something walifanya.
😂😂😂
Hahahahahah.....ulikia uko
@@clintonambani6800 Wewe I feel it in her voice 😂😂😂😂😂😂 ni vile tu hataki kusema ukweli
Hio ni nguruzumu ya mtu