Wengi hawajaelewa huu wimbo. Wanahisi kaimbia walevi. Fanya tafakari ya kina utaelewa. Huzuni uliyo nayo, ulalalmishi na kutamani isiyo yako yote hiyo ni ulevi coz huanza taratibu baadae huleta madhara. Usitamani divai kwa wekundu wake ie usijiingize kwenye majaribu usije ukawa na uzuni n.k ambao ndo ulevi wenyewe.
nyimbo nzuri saana kabisa yenye uadibisho.Br Fr Abedies,ubarikiwe padri kwa nyimbo zako.Ningi tamani nipate nyimbo zako kwenye ma nota.(la partition en musique text)
You mean this song is that old yet I saw it recently? At first I thought it was corrupted but I have searched it and it's for real. Hawa wamechomea walevi haki😆😆😆
kweli...usitamani divai kwa wekundu wake...this song holds a very strong message to all christians...i am enjoying this song live here in swaziland.......
Who is still watching this song with me in 2024👋
Mimi
Where was this song all along 😅
😊@@carolinekaranja1829
Here I am
Watching every single night ❤❤
KAMA WEWE NI MLEVI NA UKO NAMACHO NYEKUNDU GONGA LIKE HAPA SUPU INA CHEMKA JIKONI🤣🤣🤣🤣
😂😂
😂 😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂Aki wewe
Kama we we in mlevi
Hizo dislikes ni za walevi Wenye wamecatch ma feelings ju ya Hii song
😅😅😅😅
Hahaha
😂😂Lakini walevi wameekelewa story mob Kwa hii ngoma
@@gshivugu hahahaha! I think hii song wamenail walevi
@@anjymasmil Hahah.... Aki si ata wangeingilia group ya sinners wengine angalau...
Who saw the part of this video today and laughed before coming to search for it in TH-cam😂😂😂😂😂😂😂😁😁
Hahaha just done it now. Its trending
Its a song with Good Massage .. # Nice Music
I just saw it trending and had to get it on you tube to get the full version....😂😂😂
Guilty I am....😁😁
Mimi hapa lol
2023 mko wapi?
Who's here after Uhuru banned the sale of alcohol in restaurants? 🤣 "Ni nani wenye huzuni? Ni walevi!"
😂😂🙋🏾♀️
😂😂😂😂
😂😂😂😂
Ni kama alikua na maoni kua hii siku itafika
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 senetor Sakaja ndiye amefanya pubs zifungwe
I salute hawa walevi 135 wamedislike, hiyo pia ni ulevi 😁
Who else is here after seeing it trending 🤣🤣
Me😂
Muratha Bob me
Me
I'm watching now
I did 😂
Ni nani Waongeao Kizungu. Ni walevi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
Father alisahau hii nlikuwa nashangaa, kwani walevi wa western kenya ndo wanaongeanga english pekee
Hahahahahahahaha ni kweli, mti akilewa anaanza kuongea lugha tofauti tofauti
🤣🤣🤣🤣aky ww
Bro..you got me laughing hard my mom nearly slapped me
Walevi kwenye nyumba weka mkono juu twende sawa🤣🤣🤣....this song is on fire.good dance,message
Kenyatta and Covid19 brought me here.Poleni walevi till further notice. Sanitize fight Corona.Father ako na move kali.
Me too. Lol!
Baaasi tuko wengi
Ha ha ha
Hahahaha
The power of WhatsApp status.. And then Dec.. Tutafuata hii advice Jan 2019..as per now.. Ni nani wame search hii song #NiWalevi
Now that's its finally opened walevi warudi kusherekea.nani amerudi apa kami
Nani ako hapa after uhunye kufungua bar tuende doubledoubles chapa lyks hapa
Kenyatta just brought me here. Tutakunywa wapi sasa🤕
Ile divai ya Fathers inalewesha kweli ?
The video is 3yrs old but is trending in December 2018. Walevi mfinye like
Hahaha nime like part ya walevi😂😂😂😂
🤣🤣
The song is so good
Uyu padri unifurahisha adi stress zinaodoka kwangu
Mwenye uimba akilewa gonga like
Wapi like za Walevi wezangu tukisema happy new year😂😂wamuyotas like tukiedanga
Wengi hawajaelewa huu wimbo. Wanahisi kaimbia walevi. Fanya tafakari ya kina utaelewa. Huzuni uliyo nayo, ulalalmishi na kutamani isiyo yako yote hiyo ni ulevi coz huanza taratibu baadae huleta madhara. Usitamani divai kwa wekundu wake ie usijiingize kwenye majaribu usije ukawa na uzuni n.k ambao ndo ulevi wenyewe.
Bt apo macho mekundu c wote walevi
I just listened to it on Facebook,laughed so hard before I came to confirm if it exists
Kazi safi sasa hayo mavazi walovaa
Kana dada inakuaje hizo suluali
Tolati.22:5
Tiktok made me to come here. Who else like me?? Give it a like
Nani amefika after Wanjohi kufunga bar wacha nicheke walevi huonewa sana
Tunao endelea kuangalia mdg mdg tunajijua
Mm ni mlevi 😂😂😂😂 kama wewe ni mlevi gonga hapa
😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂
I'm here again 1st April 2023 After reading Proverbs 23...
Nani ako hapa after Uhunye kusema hakuna 'maji ya ndimu' for the next 30 days? Wapi likes jamani za wamunyotaz
Usitamani divai kwa wekundu wake🤣2023 na bado wimbo waendeleyaaaa ku shine......❤
This song cheers me up and gives me a strong prayer point. That group needs everyone's prayers.
Hii ukicheza kwa bar na unakunywa soda unatupwa nje na ile kizungu ya walevi 'blali vietnam, bangaladesh.... toka na soda yako hapa"
🤣🤣🤣
nyimbo nzuri saana kabisa yenye uadibisho.Br Fr Abedies,ubarikiwe padri kwa nyimbo zako.Ningi tamani nipate nyimbo zako kwenye ma nota.(la partition en musique text)
This father sure is blessed, God continue blessing him & the choir as whole ❤❤❤❤❤
Ni nani wamefurahi after bar kufungulia Leo Ni waleviiiiiii
Download please 🙏 tunaitaji huu wimbo
Mnaonea walevi hamjui raha nyinyi
Seen it in instagram and am here
Song iko juu tu sana
Who is here 2022? ni nani wapigao mayowe?
Nyimbo imetrend mbaya kabisa
Waaah,,😂,,I think hapa mwenye mafi atajishuku,,walevi yooooh 😅😅
Wao wanatoka wapi??
Who else is here in 2023😂
Where was Sakaja when this song was being released🤦♂️
Hahahaha haki wewe ni mchokozi
😅😅😅😅😅
Your songs re really touching and transforming our lives,, keep it up God bless you 👏
Wimbo mzuri. Tatizo uchezaji🤔🤔
Huyo father ako juu sana nani ako hapa 29:7:2020
Father has some proper dance moves👏🏾😂
True
Real
Huyo ni mlevi
Hahaha!!!
Ka BB Isa😅😂
Tik tok imenileta huku
I like the padri ❤mnipee number yake💃💃💃💃
I don't get enough of this song. Ukweli mtupu. GOD bless you father
The lyrics to this song are actually in the book of proverbs, hope walevi walijua hayo
Nop chapter wat
Proverbs 23:29-35
Walevi 😂😂😂😂😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 mad love from KE tuki kunywa Keg
Khai😂😂😂😂😂waah mbona wanashout ukweli
Walevi walevi walevi , Leo mko pambaya, no more beer sales till end of covid..poleni lakini
Hatari sana
Religious people are the most extreme, no difference with terrorists
You mean this song is that old yet I saw it recently? At first I thought it was corrupted but I have searched it and it's for real. Hawa wamechomea walevi haki😆😆😆
waliokuja kuutafuta huu wimbo 2021 tuonane...ni walevi.hahaahahahahah
Muwachane na Sisi "walevi"
macho mekundu...waleeeeeeevi...
nilithani ni edition ya wakenya kumbe it's church song ,walevi woi macho mekundu 🍺🍻🍷🍾🍶
Wakenya na edit 😂😂😂
Wewe macho mekundu ni ya wenye kutumia kishada sisi walevi ni kisungu tupu na majereha bila sababu.
2019 mko wapi🤣🤣🤣
Mmmmmmwa kana umbikite nesa ngoooni GOD BLESS YOU. ❤❤❤
Jamaniii. Nimecheka mwenyewe. Safi sana. Wimbo mzuri.
Sisi watu wa ngwai na bangi tuko lucky😂
Nice song
My song
Nce song fr abedis
Haha.. saw this on Instagram I just couldn't resist the urge to look it up on TH-cam. Nice moves Padre.
kweli...usitamani divai kwa wekundu wake...this song holds a very strong message to all christians...i am enjoying this song live here in swaziland.......
Wenye Macho mekundu wote ni walevi........We love you Mr President
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 niokotwe kapsabet 😂😂😂😂ati walevi dio Macho mekundu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nimecheka aki hahaha hii akii ni ya walevi😂😂😂
Ninani wenye ugomvi , wenye majeraha bila sababu .
Walevi mtajua hamjui mungu ana wApenda sistr mbona ana waza san
I’m here courtesy of man Simoh and Katta team humuka 👏
"Usitamani divai kwa wekundu wake"✋
Who is watching in 2020??Good one
Ni Nan mwenye macho mekundu wote Ni walevi
This songs reminds me of Joyce wa Gituro of radio citizen. She liked playing it.
Kama unajua mlevi yeyote mtumie hii song
nice one Fr Abedies. i heard you had a mass at Our lady of Africa. When are u coming again Fr?
Walevi kwisha
Who is listening to this tune today?
How am I seeing this song 5years after it was uploaded?😂😂 It's just too hilarious
Also looked for it after the tiktok
@@pilgrimprogress4618 I saw a portion of it on a whatspp status... couldn't believe it was an actual song.
F 😊😊😊
Hongera father. I have an experience......it's true wanalalamika pia kelele
Uyu Father hunimbamba sana....those dance moves
I had to after watching a snippet 😂
Like hapa Kama wewe sio jirani mlevi🤗🤗
Enyewe walevi do wamelike
Father this is my role model father nimekutafuta sana father . thanks alot u changed our life's in st martin's girls in Westlands kibagare
Father keep lt up we miss you hear at carmelite come back
Kwani mnajua Joel Kanyora
Usitamani divai kwa wekundu wake🤣🤣🤣🤣weuh! Let me enjoy my Christmas with water.
❤🎉🎉 we AK you rounded it up we nmeiskiza 20 times
Congratulations UON
asante br nyimbo tamu sana
HAHAHAHA NI WALEvI TO....Wanakelele nyingi hao walevi.....FANTASTIC!!!!!!
When time comes utashut, hii wimbo sai ndo iko on heat after 6yrs, me ata sijawai skia
😂 ila walevi jamani duuh!!!!
Hizo moves za father heee ctaongea sana