Paulo siria - Mekimenu (Official video )

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2022

ความคิดเห็น • 486

  • @stellasimon8306
    @stellasimon8306 ปีที่แล้ว +4

    Namtaka huyu muimbaji nimpe kazi nampataje?

  • @everlynechelimo1949
    @everlynechelimo1949 ปีที่แล้ว +46

    Hata kama sielewi maneno lakini inaniguza tu moyo.God bless you so much my brother

  • @MasaiUbarnMusic

    Karibu nishindwe kueka comment ,,,hii song inafanya nalia cha kweli ,,,,, Ashe ndugu lai Siria kwa kuleta hii kwa jamii

  • @mwlhalimoja.ekingunza1819
    @mwlhalimoja.ekingunza1819 ปีที่แล้ว +3

    Mwenye tafsiri ya huu wimbo please aiandike hapa. May Almighty God bless you all.

  • @koteimbamai6793
    @koteimbamai6793 ปีที่แล้ว +4

    🥰❤️❤️❤️💯💯💯🙏🙏🙌🙌 nyimbo yetu imo kwenye trending Sasa tuendeleze ku share

  • @pjeremiah7437
    @pjeremiah7437 ปีที่แล้ว +3

    Yani hii wimbo inagusa sana hadi unatokwa na mashozi 😭😭😭😭

  • @petersanare4523
    @petersanare4523 ปีที่แล้ว

    Katika nyimbo zote umeimba hii ya mikimenu endomononiai imeguza wengi na kubaki mahubiri tosha katika wana ndoa hata usipo hubiri tena hakika hii imetosha kuwafundisha wana ndoa

  • @johnngoma5415
    @johnngoma5415 ปีที่แล้ว

    Nipo Arusha Intel sichoki kuuskiliza huu wimbo wa ndugu yangu Paulo japo cjui kimasai Ila nimetafsiliwa hivyo najua anamaanisha nini

  • @kanungasapukerinjo8836
    @kanungasapukerinjo8836 ปีที่แล้ว +7

    Hongera sana Paulo Mungu akuinuwe katika viwango vya juu zaid🙏🙏

  • @KalvinCheruiyot
    @KalvinCheruiyot 21 วันที่ผ่านมา

    Hiyo wimbo imenikusa aki

  • @kitilesky941
    @kitilesky941 ปีที่แล้ว

    Ara siria...ero mikitaapo nkai nikilepunye...tesiai lenkai liasita....Ashe oleng ltung'ani lai

  • @simonadalameja8933
    @simonadalameja8933 ปีที่แล้ว

    Aki paul mke wangu amenipenda tena zaidi kwa kuskia hii song mungu akubariki

  • @lightnessmollel5265
    @lightnessmollel5265 ปีที่แล้ว

    Ubarikiweee sana ndg paul nice song with wonderful messsage

  • @SAMWELLUKUMAY-w9w
    @SAMWELLUKUMAY-w9w 14 วันที่ผ่านมา

    Am understand it most. This song is touches my soul. But i believe every successful person have a painful story, every painful story have a successful ending. Be blessed brother together we can in Jesus name.

  • @petersanare4523
    @petersanare4523 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana muimbaji hakika hii nyimbo imegusa wengi sana na kuwafundisha wanawake katika ndoa zao

  • @user-by9md1cc8f

    Inaniguza hadi nimelia God bleess you 🙏🙏🙏

  • @danielnaimodu6148
    @danielnaimodu6148 ปีที่แล้ว

    Nice Song Paul Siria 👌 pongezi sana

  • @justmoh702
    @justmoh702 ปีที่แล้ว

    Sidai taa ele singolio.kazi mzuri paul siria

  • @calebtipape3857
    @calebtipape3857 ปีที่แล้ว

    Wah! Kidogo nilie 🥺🥺 nakunenea neema kuu ndugu yangu

  • @PrudenceKathambi
    @PrudenceKathambi ปีที่แล้ว

    God bless daddy I'll