My CS wound opened when I was in Saudi working | My employer & agent said I was faking sickness

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 69

  • @marymaria947
    @marymaria947 ปีที่แล้ว +3

    Team strong hoiye we are strong for sure💪💪💪mungu atusaidie sana sorry mum for what you went through😢team fulus nipitieni apo tukijuananga💃

  • @michellegrace3366
    @michellegrace3366 ปีที่แล้ว +7

    Working in gulf is the most difficult thing that many in kenya never give a thought of may God come through for Hannah ❤

  • @lucymuokalucymuoka1946
    @lucymuokalucymuoka1946 ปีที่แล้ว +3

    Sio rahisi kufanya kazi galf... Bt me i will always salute ma saudi family.. Walkua wazuri kuliko some of ma relatives

  • @curtisnjeri6410
    @curtisnjeri6410 ปีที่แล้ว +5

    Team strong,may God protect you always 🙏

  • @bettiejoy-mtotowamama
    @bettiejoy-mtotowamama ปีที่แล้ว +2

    Ndio maana mnaitwa #Team Strong 😢😢😢 hiyo job yote sio rahisi

  • @JocyceWambui
    @JocyceWambui ปีที่แล้ว +1

    Nko na cs tatu niko na 4years, kila siku, ikiisha I thank God, sio Rahisi, nko Riyadh, na hua inauma ndani😢😢

  • @lizz6555
    @lizz6555 ปีที่แล้ว +1

    😢😢😢😢aky woiye........May God bless you with a job😢😢😢😢

  • @jane-fit1658
    @jane-fit1658 ปีที่แล้ว +1

    Im so sorry dear, ive been in qatar as a kemboi na sahii niko Saudia and i can tell you my dear sister saudi is a barbarian country. They're so heartless and it takes a strong woman to rise above them. Mimi i started traveling when i just turned 19yrs now 22yrs in Saudi. Ive gone to hell and back, hit rock bottom but still rose. My strory is painful, funny, troubling and it's also full of hope. Im sorry for what u went through. To our sisters back at home, usijaribu kukanyaga gulf kama wewe ni muoga au ati unaogopa kuuliwa na mwarabu. Waarabu atakama wanashout wanatuogopa sana so iyo kushout anakupima bangi ukinyenyekea anajua baas nimepata kapunda nitakuwa nakazungusha vile nataka, lakini ukisimama na miguu yako na umuonyeshe that u can stand up for yourself na siati weww ilifukuzwa kenya anakuogopa deadly. Alafu madem mkifika uku hii mambo ya kujifanya ati hamta learn kiarabu muache, ukipata shida kama unajua kiarabu waiguru anajua unaweza mpeleka makamani vibaya sana, unamwambia tu "saudi fi hukma" muache kilalia maskio, mimi hamtakua mnanililisha uku nkiskiza izi sad stories zenu. Mwarabu haezi guza au kukufanyisha kazi ya ufala kama unajielewa na sijasema mkue rude nimesema "stand up fo yourself ." Lastly if you're in saufi and you need any assistance WhatsApp me 0703378791 na usikuje kuniambia ati mwarabu anakupiga, unapigwa wewe ni mtoto? Mkondolee uyo mwarabu macho hatawai ata kohoa karibu na wewe.

    • @jane-fit1658
      @jane-fit1658 ปีที่แล้ว

      I'm so sorry for everything you went through dada, kenyans in saudi let's check up on each other. Kama ni mtu mlipatana ata wasalimie tu u never know what someone is going through. Na nyinyi independent women muache kunyamaza na mashida, talk about it na mtu ako saudi ukiacha izo shida zijae kwa kichwa ile siku moja msee atakuguza kidogo utapasuka kama balloon. One love team strong.

    • @jane-fit1658
      @jane-fit1658 ปีที่แล้ว

      Ya mwisho msisahau kuomba, mungu anaweza yote❤❤❤

  • @simplyloise6820
    @simplyloise6820 ปีที่แล้ว +1

    Woooi Hannah you are a nice lady .Mungu atakuinua tena usijali

    • @hannahnjeri6712
      @hannahnjeri6712 ปีที่แล้ว

      Thanks Alot,amen still waiting for his blessings

  • @susannjoki6888
    @susannjoki6888 ปีที่แล้ว +1

    I fill your pain hannah God will see u through you hope for a better future for ur life nd children but u came back worse take heart nd may God open a door for u

  • @DorcasMugo-l7o
    @DorcasMugo-l7o ปีที่แล้ว +1

    Waaah 🤔 pole sana Hannah

  • @Monicsonia-t2y
    @Monicsonia-t2y ปีที่แล้ว +1

    New commers wa gulf,let me advice you,gulf is where money is,if uko na courage,unless uko na health issues,tafuteni groups za kenyans in duabi,qatar,or lebanon,If uko na shida kwa mwaarabu utakemboishwa,kuna kemboi wazuri sana huku,ukishindwa na kazi ya nyumba,utapata job ya kuchunga watu wazee or baby sitting,and salary ni double na yenye ulikuwa unalipwa!!mbona mtu arudi kenya bila pesa?kama sio shida ya mwili??nyinyi wageni wagulf(jedid) this message is for you

    • @BethNjoki-f7f
      @BethNjoki-f7f ปีที่แล้ว

      Yeah that's true I did that and am okey now

    • @LJMovies-v4l
      @LJMovies-v4l 9 หลายเดือนก่อน

      Mimi nataka kupretend naumwa nakichwa nione kama nitaenda home

  • @damarisnganga96
    @damarisnganga96 ปีที่แล้ว +4

    Working gulf is not easy, I'm a silent follower i would like to share my experience in saudi

  • @catherineismyname6068
    @catherineismyname6068 ปีที่แล้ว +2

    Woiye

  • @rahabwariara5915
    @rahabwariara5915 ปีที่แล้ว

    Shosh is saying 'wakinyugo dere ageni maragie gikuyu'.
    I wish all mums the very best as they strive to raise their kids

  • @sulltwww316
    @sulltwww316 ปีที่แล้ว +2

    Saudi si rahisi na hii mambo ya family watu wakirundi mna treat mtu vimbaya ju hana pesa muache😢

  • @margaretngigi4721
    @margaretngigi4721 8 หลายเดือนก่อน

    What the name of the agency

  • @zipporahkuria-br9jq
    @zipporahkuria-br9jq ปีที่แล้ว +4

    Hannah finally umefika huku sisi ndio tunamalizia mehan

  • @gladyskerubo8619
    @gladyskerubo8619 ปีที่แล้ว +2

    Ongea kiswahili please

  • @damariswamaitha9688
    @damariswamaitha9688 ปีที่แล้ว +3

    Poverty pushes us to risk our lives to come n work for this creatures no off ,no going out they hold smbodys travelling documents. Mungu nitie nguvu nimalize salama nirudi kwetu

    • @hannahnjeri6712
      @hannahnjeri6712 ปีที่แล้ว

      He will give you strength,just pray

  • @SherryWanjiku
    @SherryWanjiku ปีที่แล้ว +1

    Weeeu pole sana ann for what u went through😢😢..me too i went i very difficult tym in iraq i was beaten and lock up with 150 men..for one month being the only lady...there it was hard to atay there katikati ya wanaume hao wote😢but i thank God coz nothing happened to me there they didn't think of rapping me..but for me i say its God who protected me like he did to Daniel in the den of lions...i remember for them to release me its bcoz i decided to commit sucide😢i took alot of pain killers to end my life..but that same day they told me you will travel tommorow...i cried a river not believing i will go back home alive again...

    • @hannahnjeri6712
      @hannahnjeri6712 ปีที่แล้ว

      Thanks Alot,ni God Hutu protect aki may God sees us through dear

  • @annngigi492
    @annngigi492 ปีที่แล้ว +2

    Job ya gulf not a joke😢 kuna warabu wanakaa wanyama

  • @paulinekariuki-ny9jw
    @paulinekariuki-ny9jw ปีที่แล้ว

    Team Strong sio mchezo

  • @johnmwenda2509
    @johnmwenda2509 ปีที่แล้ว +2

    Hae mum...

  • @AliceHlis
    @AliceHlis ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤❤

  • @leahnjenga4236
    @leahnjenga4236 ปีที่แล้ว

    So sad story, 😢😢😢

    • @hannahnjeri6712
      @hannahnjeri6712 ปีที่แล้ว

      True but still hoping for the best

  • @BethNjoki-f7f
    @BethNjoki-f7f ปีที่แล้ว

    Carol thengio muno niguthikiriria rugano ruru nko saudi na nilikimbia mimi bt siku nitakam kenya I would like to share my story I have a lot to educate some one

  • @simplyloise6820
    @simplyloise6820 ปีที่แล้ว

    So saudi shida kubwa ata si muarabu ni mkenya mwenzako.

  • @susannjeri4195
    @susannjeri4195 ปีที่แล้ว +6

    Pole for what you went through but you made a mistake the moment ulitoka iyo nyumba ya pili pretending to be wazimu then reaching the office you accepted another house that's why they were calling you drama queen
    And don't say you can't go back to gulf juu you can get another good family or even a proffesion jobs, muthenya durumagwo utatukite my sister

  • @milcahgathoni5961
    @milcahgathoni5961 ปีที่แล้ว

    Ushetani iko Saudi is sickening. This madness how they treat a human being makes one sick. This not a country to work in.

  • @miriamgacheru5544
    @miriamgacheru5544 ปีที่แล้ว +1

    Ongea kikuyu😂😂😂😂

  • @winniejoy3858
    @winniejoy3858 ปีที่แล้ว

    Aki gulf huwezi enda ukiwagonjwa,,, yaani uko atleast ukiwa healthy labda utakaza contract iishe

  • @reginadavid4454
    @reginadavid4454 ปีที่แล้ว +1

    May God remember you and give you a job 😢

  • @teresiamuthoni6251
    @teresiamuthoni6251 ปีที่แล้ว +2

    Working in gulf is not easy ni Kwa neema tu

  • @MonicWambu
    @MonicWambu ปีที่แล้ว

    Uooo nooo

  • @margaretngigi4721
    @margaretngigi4721 8 หลายเดือนก่อน

    There is something common with most Arab women,ni wachonyo sanaa na chakula.

  • @susannjeri4195
    @susannjeri4195 ปีที่แล้ว

    Nov and Dec kwani kulikua Ramadan 🤔

    • @missmalaikalee4646
      @missmalaikalee4646 ปีที่แล้ว

      It mutates.. Rama. Kuna time ilikuwaga Back in the day

    • @damariswanjiru4445
      @damariswanjiru4445 ปีที่แล้ว

      Working in the same company n now 3mnths to finish contract,en can't complain abt that ofisi coz once ukienda kwa client n akue sio mzuri unarudi tu kwa ofisi n wanakutafutia ingine,n ukiwa msick wanakupeleka hosi en unakaa kwa company n till ukue poa then wakiona ni serious wanakurusisha home,remember still utapata your salary,good company thot

    • @mwarewakigodaddysgirl2952
      @mwarewakigodaddysgirl2952 ปีที่แล้ว

      ​@@damariswanjiru4445i knew lazima ukuje apa may God give this lady strength

    • @catherinewambui7572
      @catherinewambui7572 ปีที่แล้ว

      ​@@damariswanjiru4445same here I'm in the same company I can't complain one month to go home alhamdulilah

  • @gladyskanana9177
    @gladyskanana9177 ปีที่แล้ว +1

    One thing for sure let ladies who went to work in gulf countries not to blame agencies why because agencies never stepped out of out of Kenya to work in gulf. Secondly you have only connection with agent only when you are in Kenya from there you are by your own.

    • @damariswamaitha9688
      @damariswamaitha9688 ปีที่แล้ว

      Fck

    • @irenewanjiku620
      @irenewanjiku620 ปีที่แล้ว

      Wanakujanga kazi kwa ofisi za huku they know everything

    • @gladyskanana9177
      @gladyskanana9177 ปีที่แล้ว

      @@irenewanjiku620 uant office za wapi anyway nisawa

    • @Monicsonia-t2y
      @Monicsonia-t2y ปีที่แล้ว

      ​@@irenewanjiku620nani alikudanganya hivyo😂😂😂,Agent wengi kenya hata hawajui Saudi inakaa aje