Nilijua ndugu n nani after my demise of my dad. My bro na bibi yake walijaribu kuchukua kila kitu cause my mum who is on a dementia. Niliamua kila kitu ikae kwa lawyer until Jesus come back. Am the one who is supporting my mum. Am blessed with a good paying Job in Canada.
Ya Rahman, alleviate her pain and suffering. Those you help are sometimes the ones who hurt you the most. Some family members are the epitome of evil. Let's all do a Gofund me for this poor lady. Can we have a number to reach her? May God bless this lady for supporting her.
Mm ushaur wangu atafutwe kijanake apewe msingi amlee mamake itakua faraja kwake pole sana hayo ni mapito tu na mungu ataleta muujiza kuwa na subra na mungu ataleta wepes nawe mama unaemtunza mungu akubariki sana❤❤❤
@@janemuthoni723 walipotezana alipokufa bwana yake na wstoto walijichanganya mtaan mungu no mwema usimuhulumu huyo kijana pengine na yy anahitajia anamtaman mamake huwez jua
Pole sana mum. Mimi nilizingiziwa na dada zangu pamoja na watoto wao ati mimi ni mchawi😢😢😢😢 hayo maneno yaliniumiza roho yangu sana na nikikumbuka vyenye nilikuwa nawapenda kama jamii......wah!!😢😢 Lakini Mungu yuko
Enyewe mm ni mluyah but ni ukweli hao watu wanaroho mbaya Sana ukifanikiwa Tu hivi washaanza mara ooh imemuua majini ndio ukuwe na Mali😢 watu washenzi sana
God bless you dear indeed a friend in need is a friend.God bless you dear.Mum machozi yako haitamwangika bure Mungu akiwa enzini atakupigania.Haitapita bure
Hakuna watu wabaya kama ndugu ukiwa nacho ukiwasaidia wanasherekea ukikosa wao wakipata watskutenga mm niko nso nimepambana ivi awanijui ata jina washasahau wanajua tu familia zao ngombe ao hamisi na para mungu anaeaona
Aki family ni mbaya hakuna vitina na vita mbaya kama za kifamilia 😢😢😢😢Mimi sahizi ndugu yangu anataka kuuliwa juu ya pesa zake etii hapatii ndugu wengine na wale wamepanga hiyo vita ni wale wanasaidiwa zaidi na huyu ndugu yangu wamepangia kifo😢😢😢😢😢Mungu msaidie huyu mama
Bora kama umefanikiwa kimaisha ondoka kabisa uwe mbali na kabila lako oa mke kabila zuri mkae kwa amani .unaweza kuwasaidia wakiwa mbali nawe wasikaribie nyumba yko
lulu ndugu waweza kuwafanyia kila kitu hasa ukiwa ndio kifungua mimba utateseka mana utataka wasome au wajiendeleze ili muje msaidiane apo watakuita sister mana wanakutumia ila wakipata tu na wakijua huna kitu aponwatakua awana haja na wewe mm nimeyaona nlivvyo wasaidia ila mungu atanilipia inshaallah yarab
Huyu mamá ameteseka sana. Huo ungonwa ni juu ya mateso. Usirudi nyumbani. Usirudi karibu na kwenu. Mnunulie shamba anjengewe, Halafu mtafute kijana wake. Ama mpeleke mji wa wazee.
May her brother in laws take us where we are going. They will not defeat God's spirit on the move. Option left for them is to do what is just, show constant love and live in humble fellowship with our God. All gained illegally must be returned to the owners whether individual, institutions or the government.
Nyinyi ni true disciples kweli hamkosi mahali kuna mtu ako na shida eti kwa ezekiel kwani yeye ni mwombezi wenu ?Jifunze kuomba Ezekiel anaeza kufa akuache halafu😮
Mungu anaishi, kilio chake uchungu wake ndio machozi yake inafikia Mungu. Mamá wasamehe wote Mungu atafungua milango ya baraka. Maombi yangu ni aparte mahali pakuishi Halafu kijana wake arudi nyumbani karibu na mamá. Jeremy Damaris wa diáspora media husaidia watu kujenga nyumba. Amejemgea watu wengi sana. If posible mtafute kwa TH-cam.
Terrible, terrible...! Where are the leaders of that home area... Where are the leaders of Molo where she was married.... Terrible, government social services?
Serikali ya Kenya hawana msaada wowote,kwa Wana inch,wake,kama ingekuwa Tanzania huyu Mama wangehakikisha amerudishiwa Mali yake, Wana wake wajane wanafaa kuangaliwa,, it's so sad , Mungu Yuko mbinguni anaona,
Charity begins at home. The ball is at the court of my two families. We are going thro hell on earth in the name in the name of inheritance. This problem is everything.
Wale wote ma broo za uyu susu wamutafute wamuombe musamaa.machozi ya uyu susu iko na uchugu sana itawamaliza.kimila yetu wakamba msichana anafaa kupewa heshima sababu ya rahana.nimelilia uyu susu sana
With the influence of the government mine is to give solution to immediate problem at hand not addressing it. Expect many more Wonders. The secret behind my achievement is reacting on what i have seen from the video. This is an assignment from above. Things must be parallel. Church/ government. Where new constitution has failed,ten commandments has taken over.
May God wipe away her tears and represent us to the next stage. Thro faith this operation will affect land grabbers we have under the sun. Those from this country will take us where we are going. We can't reform the world if we can't reform our own country.
Wakikuyu wakikuyu Wakikuyu. The wrath of God is upon you. This is a dealt with issue. You do represent all under the sun who had been following this tread God has represented thro our guest. They are everywhere.
This breaks my heart💔😔her eyes are full of sadness.. pole sana mama God sees it all and he will restore everything you lost🙏
Nilijua ndugu n nani after my demise of my dad. My bro na bibi yake walijaribu kuchukua kila kitu cause my mum who is on a dementia. Niliamua kila kitu ikae kwa lawyer until Jesus come back. Am the one who is supporting my mum. Am blessed with a good paying Job in Canada.
Ya Rahman, alleviate her pain and suffering. Those you help are sometimes the ones who hurt you the most. Some family members are the epitome of evil. Let's all do a Gofund me for this poor lady. Can we have a number to reach her? May God bless this lady for supporting her.
Mm ushaur wangu atafutwe kijanake apewe msingi amlee mamake itakua faraja kwake pole sana hayo ni mapito tu na mungu ataleta muujiza kuwa na subra na mungu ataleta wepes nawe mama unaemtunza mungu akubariki sana❤❤❤
Mwenye umeskia hajulikani alipo atafanya nn na pesa si atatoroka nazo,sometimes mnatoa opinions zenye hazina maana
@@janemuthoni723 walipotezana alipokufa bwana yake na wstoto walijichanganya mtaan mungu no mwema usimuhulumu huyo kijana pengine na yy anahitajia anamtaman mamake huwez jua
Jamaaaani Dunia Haina wema.Madam lulu tumpate vipi tumsaidie jamani😢😢
Lulu weka paybill hapa huyu mama apate usaidizi.
So sad😢
Aki uyu pastor ni mzuri sana.mungu muinue kiwango kikubwa aendelee kuzahidia watu wako
Waaa pole sana mum aki dunia aina uruma jaman so sad 😭😭
Pole sana mum.
Mimi nilizingiziwa na dada zangu pamoja na watoto wao ati mimi ni mchawi😢😢😢😢 hayo maneno yaliniumiza roho yangu sana na nikikumbuka vyenye nilikuwa nawapenda kama jamii......wah!!😢😢 Lakini Mungu yuko
wooiii,uko kama mm,aki Mungu atuhurumie,😢😢
Hawa ndugu au maadui😮??
So Painful, Lord have mercy on our Senje
Waluhya walhuya ni watu wasio na utu,we have passed through this but we left everything and forcused on God we're going on with life in him❤❤❤❤❤❤❤
Enyewe mm ni mluyah but ni ukweli hao watu wanaroho mbaya Sana ukifanikiwa Tu hivi washaanza mara ooh imemuua majini ndio ukuwe na Mali😢 watu washenzi sana
😢😢😢sasa nyinyi dio mko na utu mnaua mabwana juu ya mali hamna utu
Jee hao mashemegi ndio wana utu??
Kweli waluhya sio watu
c
hawana imani na mungu imani yao ushirikina 😡
This is extremely heart breaking 😭😭😭😭
God bless you dear indeed a friend in need is a friend.God bless you dear.Mum machozi yako haitamwangika bure Mungu akiwa enzini atakupigania.Haitapita bure
Mungu hurumia huyu mama
Hakuna watu wabaya kama ndugu ukiwa nacho ukiwasaidia wanasherekea ukikosa wao wakipata watskutenga mm niko nso nimepambana ivi awanijui ata jina washasahau wanajua tu familia zao ngombe ao hamisi na para mungu anaeaona
Hii ñdio dunia ya Leo dada ila tunajifunza
Hawana dini hawamjui mungui takuja cku Nao watahitaji msaada
Nigekuwa n uwezo nigemchukua
Mungu nibariki n mali nisaidie wasiojiweza
Ameen
Pole mama ndungu wamfayiya ubaya 😢😢😢 omba mungu ❤❤❤❤❤❤ wameharibiya maliyeke mama utapowa wewe ni mpole❤❤❤ dada wewe ni mzuri❤❤sana
Mungu saidia
🙏
Nimelia wengine tunatafuta mtu wa kuita mama wengine wanawakataa😭😭😭😭😭
polesana Mama mungu akulinde
Aki family ni mbaya hakuna vitina na vita mbaya kama za kifamilia 😢😢😢😢Mimi sahizi ndugu yangu anataka kuuliwa juu ya pesa zake etii hapatii ndugu wengine na wale wamepanga hiyo vita ni wale wanasaidiwa zaidi na huyu ndugu yangu wamepangia kifo😢😢😢😢😢Mungu msaidie huyu mama
Hawa sio ndugu ni maadui 😡🤬
Bora kama umefanikiwa kimaisha ondoka kabisa uwe mbali na kabila lako oa mke kabila zuri mkae kwa amani .unaweza kuwasaidia wakiwa mbali nawe wasikaribie nyumba yko
Watu wa ingolomosio mko wapi???😢
Tuko apo unasemadje
Pole mama mungu Yuko na wewe
Mungu atembee naye kwenye hii safari ngumu yamaisha
Mungu saidia huyu mama, yaani ndugu zako wanaesa kufanyia dada yao hivi
Pole sana
Sorry mom
Caroline you are a great woman of God. God bless you you generously.
My heart is broken 😢😢wish I had a mom ,how can someone stay 14 years without talking to her/his mom😢😢😢
Mungu akuzidishie sio Raisi
Sorry mom so heart
Hao watoto wake pia hawana bahati,machozi ya mama wah😢😢😢
lulu ndugu waweza kuwafanyia kila kitu hasa ukiwa ndio kifungua mimba utateseka mana utataka wasome au wajiendeleze ili muje msaidiane apo watakuita sister mana wanakutumia ila wakipata tu na wakijua huna kitu aponwatakua awana haja na wewe mm nimeyaona nlivvyo wasaidia ila mungu atanilipia inshaallah yarab
Huyu mamá ameteseka sana. Huo ungonwa ni juu ya mateso. Usirudi nyumbani. Usirudi karibu na kwenu.
Mnunulie shamba anjengewe, Halafu mtafute kijana wake. Ama mpeleke mji wa wazee.
😢😢God see you through
Hakuna kitu kinaumiza kma kuitwa mchawi mwenye aliweke hyo roho ya kichawi kuharibia huyu mama imrudiea kwa jina la yesu
Hee washakuyumia sasa awana imani na wewe wala huna faida tena ila mungu atatutendea inshaallah
May her brother in laws take us where we are going. They will not defeat God's spirit on the move. Option left for them is to do what is just, show constant love and live in humble fellowship with our God. All gained illegally must be returned to the owners whether individual, institutions or the government.
Serekari ya Kenya haitete haki ya mayatima na masikini
Pole mama
Sasa hivi wanasema sana kwa Kuwa Rais kutoka Zanzibar ati anauza Tanganyika Hao Walotangulia kutoka 1964 Wameifilisi Zanzibar Mulikuwa Hamuyaoni hayo
Very sad
Pole
Sorry mama so hade
lulu let her go to pastor eziekel akapate uponyaji mali yake itarudi this is sooo painful
Toka apa
Aende wapi??😅😅
jameni lulu tunaeza fanyaje tutume kenye tuko nae tumtaftie kashamba then awe na pesa ya matumizi
Nyinyi ni true disciples kweli hamkosi mahali kuna mtu ako na shida eti kwa ezekiel kwani yeye ni mwombezi wenu ?Jifunze kuomba Ezekiel anaeza kufa akuache halafu😮
Jina Kambiri Imenikumbusha Marehemu Ndugu Yangu Mwalimu Chris. Pumuzika Salama Ndugu Yangu.
But why😢😢😢😢mbona inlaws huchukua mali yenye couple imetafuta from zero????shes full of sadness..May God come through for her
Repent and turn away from sin time is over, Jesus Christ needs you most
Mungu aki hurumia huyu mama nimelia nikachoka.sijui niseme aje
Aki nyingi wanaume mbona mfanyie hivyo dada yenu. Pole senje.
Woii
Mama enderea na kuoba kuna Mungu
Mungu anaishi, kilio chake uchungu wake ndio machozi yake inafikia Mungu. Mamá wasamehe wote Mungu atafungua milango ya baraka. Maombi yangu ni aparte mahali pakuishi Halafu kijana wake arudi nyumbani karibu na mamá. Jeremy Damaris wa diáspora media husaidia watu kujenga nyumba. Amejemgea watu wengi sana. If posible mtafute kwa TH-cam.
Kumpokonya ama kumponyoka 😢
Terrible, terrible...! Where are the leaders of that home area... Where are the leaders of Molo where she was married.... Terrible, government social services?
Serikali ya Kenya hawana msaada wowote,kwa Wana inch,wake,kama ingekuwa Tanzania huyu Mama wangehakikisha amerudishiwa Mali yake, Wana wake wajane wanafaa kuangaliwa,, it's so sad , Mungu Yuko mbinguni anaona,
Liz washie mungu ata kulipia ayo yote tumepitia watakuja kukuomba musamaa
Ingolomosio 😮
May God wipe her tears😢
Mum mungu hako Mali itarundi kwa jina la yesu
Joseph was sold by the brother.
Charity begins at home. The ball is at the court of my two families. We are going thro hell on earth in the name in the name of inheritance. This problem is everything.
Ndugu wanaume na ndugu zangu mali za kupita😢😢😢😢
Ingolomosio my village 😢
Mimi hapa simjui mamangu ninani but natamani sana nipate ambae nitamwita mama sioni
Families love people who have money kama huna wewe ni bure😢
Wale wote ma broo za uyu susu wamutafute wamuombe musamaa.machozi ya uyu susu iko na uchugu sana itawamaliza.kimila yetu wakamba msichana anafaa kupewa heshima sababu ya rahana.nimelilia uyu susu sana
With the influence of the government mine is to give solution to immediate problem at hand not addressing it. Expect many more Wonders. The secret behind my achievement is reacting on what i have seen from the video. This is an assignment from above. Things must be parallel. Church/ government. Where new constitution has failed,ten commandments has taken over.
Uu pastor anafanana na bibi ya mchugaji jeremia kioko.mam zahidia uyu pastor azahidie uyu mama.
Wakenya ni watu wa aina gani unyama wa hali ya juu
Mimi ningekuwa na uwenzo nanjegea uyu susu pamoja na uyu pastor
😭😭😭😭😭🤦
May God wipe away her tears and represent us to the next stage. Thro faith this operation will affect land grabbers we have under the sun. Those from this country will take us where we are going. We can't reform the world if we can't reform our own country.
Duniani ukiwa nacho,,,,,,, we wamaana. Ukikosa, haufai tena. Mungu amponye jameni 😢
Wakikuyu wakikuyu Wakikuyu. The wrath of God is upon you. This is a dealt with issue. You do represent all under the sun who had been following this tread God has represented thro our guest. They are everywhere.
Please wake number