MZEE ADAI KUDHULUMIWA NYUMBA NA ASKARI WA JWTZ, ATOLEWA NJE, AMLILIA RAIS, ASKARI MWENYEWE AONGEA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 296

  • @joerfamednoag7458
    @joerfamednoag7458 2 ปีที่แล้ว +9

    R. I. P our super hero magufuli kiukweli ulisema tutakukumbuka kwamazuri sio mabaya. Inauma sana mno but Mzee don't give up Mungu yuko pamoja nanyi naimani utashida kesi let's keep praying 4 u

  • @rehemalameck7014
    @rehemalameck7014 2 ปีที่แล้ว +2

    Pole baba mungu akutangulie,utashinda hili ,Mama yetu ,Ni mwenye hekima ,litapita hili ataliona na nyumba utapata.

  • @jacklineandrew5909
    @jacklineandrew5909 2 ปีที่แล้ว +10

    R.I.P raisi wetu mpendwa tulikupenda Mungu amekupenda zaidi,we really mic u more bt haki yako itatendeka

  • @clementiddi5708
    @clementiddi5708 2 ปีที่แล้ว +9

    Haki itendeke hapa, wakuu wa nchi hawataki mabango, watu wanadhulumiwa kila kona. Mungu yuko mzee, pole sana.

  • @abdallasalim4457
    @abdallasalim4457 2 ปีที่แล้ว +8

    RIP MAGUFULI Angekuepo mara hio hio ageingilia nakurudiamshiwa nyumba yake

  • @fatmaally7252
    @fatmaally7252 2 ปีที่แล้ว +2

    Inasikitisha sana sana roho inakosa nguvu uyu mzee mtamuuwa kwa presha maskini daaaah pole mzee mungu akutie nguvu

  • @alpackshaddaudi9478
    @alpackshaddaudi9478 2 ปีที่แล้ว +10

    Dah pole Sana mzee wngu Mungu yupo

  • @mwanamwendy9265
    @mwanamwendy9265 2 ปีที่แล้ว +8

    Haki hakuna siku hizi, mwenye pesa ndio mwenye haki, pole Baba yangu Mungu atakusimaia

  • @victormushi6641
    @victormushi6641 2 ปีที่แล้ว +11

    nchi hii ukiwa na cheo af huna hofu ya Mungu unakuwa kama mnyama hatari

  • @simasima8084
    @simasima8084 2 ปีที่แล้ว +11

    Nchi ya mama Samia jman wap tunaelekea rais tembelea wananchi wako sikiliza kero zao na vtu Kama hvi ukomeshe kabisaaaa😭😭😭😭

  • @phantyrhymes9536
    @phantyrhymes9536 2 ปีที่แล้ว +21

    Hiki ndicho huwa kinanifanya kutamani kusoma Law. Jamani wasomi wa sheria ni sahihi kweli kwa mzee alichotendewa? Ukizingatia kuwa anafanyiwa vurugu ihali jina linalolalamikiwa si hilo kwenye barua zake. Ila tumuogope Mungu kwa maana malipo ni hapahapa Duniani. Tukumbuke vyeo vinapita tu tusinyanyase watu kwakuwa tunadhamana ya vyeo. R.I.P Magufuli Mtetezi wa Wanyonge. #Mwenyekumpa msaada wa ushauri kisheria huyo mzee amsaidie.

    • @habibumohamed1543
      @habibumohamed1543 2 ปีที่แล้ว +3

      JPM😥😥😥

    • @abdullaomar9606
      @abdullaomar9606 2 ปีที่แล้ว +3

      Kwa ufupi, hizi ndiyo Mahakama zetu. Mahakimu hawana Mungu. Wao ni pesa tu.

    • @nadrahassan5241
      @nadrahassan5241 2 ปีที่แล้ว +1

      Naww ukisha soma ukimaliza roho itabadilika utakuwa kama haohao😔

    • @sundaymakungu2500
      @sundaymakungu2500 2 ปีที่แล้ว

      But nahisi kunakitu kipo nyuma ya pazia mzee anajibu kinyume na anacho ulizwa kuna jambo lipo hapo.

    • @mokhimji
      @mokhimji 2 ปีที่แล้ว +1

      Hamna cha kusoma Law kaka.... kuna vitu vingine ni akili ya kuzaliwa tu! RIP Magufuli :'(

  • @Globalpeace123
    @Globalpeace123 2 ปีที่แล้ว +5

    Mungu atakutetea mzee
    Na haki ya mtu haipotei hata siku moja mbele za Mungu
    Huyo askari atajuta sana

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu 2 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana baba mungu yupo.

  • @mgawerevocatus8582
    @mgawerevocatus8582 2 ปีที่แล้ว

    Amos Mbota mfanyakazi mstaafu mwenzangu Tanzania breweries ltd pole Sana kwa haya unayoyapitia

  • @stellakatega4910
    @stellakatega4910 2 ปีที่แล้ว +5

    Inauma sana inasikitisha sana rushwa imetawala si hao wanasheria mahakimu hakuna haki 😭😭

  • @BongoCryptos
    @BongoCryptos 2 ปีที่แล้ว

    Hapa ndiyo Magufuli atakumbukwa. Pole sana mzee.

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 ปีที่แล้ว +20

    Rest In Peace Maguful, mtihani kwakweli

    • @nahimanamayassa8305
      @nahimanamayassa8305 2 ปีที่แล้ว +3

      Kabisaa mzee apo angemaliza kessi papo hapo

    • @nahimanamayassa8305
      @nahimanamayassa8305 2 ปีที่แล้ว +2

      Kabisaa mzee apo angemaliza kessi papo hapo

    • @murattywamuratty9778
      @murattywamuratty9778 2 ปีที่แล้ว +1

      Iyoo kesi ipo toka 2017 hem msikilizen uyoo alopogiwa sim kwa iyoo haki ata maovu yalifanyika kipindi hiko cha Peace Magufuli

    • @kisalaTV
      @kisalaTV 2 ปีที่แล้ว +1

      @@murattywamuratty9778 yalikuwepo lakini muusika akuyaweka wazi mapema. Angeweka wazi mapema l

    • @hamisiliton5893
      @hamisiliton5893 2 ปีที่แล้ว +1

      @@murattywamuratty9778 mbna uwa mna roho ngumu pindi mtu anapomtaja magu kinawauma nini na nyinyi si mtaje raisi mwingine

  • @saidhassan7779
    @saidhassan7779 2 ปีที่แล้ว +2

    HUYU MUANDISHI MASHAALLAH NAMKUBALI SANA

  • @nadrahassan5241
    @nadrahassan5241 2 ปีที่แล้ว +3

    Binadam waleo jamani sasa kama huu mze mna msumbuwa wanini!😭💔😔

  • @suleimansultan3333
    @suleimansultan3333 2 ปีที่แล้ว

    Mtihani

  • @زينبعىر
    @زينبعىر 2 ปีที่แล้ว +1

    Dah jamani sasa piki piki na nyumba wapi nawapi eeh Mungu wangu mtihani

  • @tinasteve5181
    @tinasteve5181 2 ปีที่แล้ว +6

    R.I.P BABA MAGUFULI we real miss you jamani 😭😭😭😭😭😭😭😭😭

    • @safindume5051
      @safindume5051 2 ปีที่แล้ว

      😭😭😭😭😭😭😭 kabisa

  • @petermboje5839
    @petermboje5839 2 ปีที่แล้ว

    Na askar Jessica ajue kuna maisha makali baada ya Jessica na mungu yupo

  • @roselinemoshi5008
    @roselinemoshi5008 2 ปีที่แล้ว

    Pole mzee uwiii

  • @alsam4881
    @alsam4881 2 ปีที่แล้ว +3

    Yaani inasikitisha sana kumtesa mzee wa watu namna hiyo 😥😥😥

  • @julietkileo2018
    @julietkileo2018 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana baba

  • @bacteria5184
    @bacteria5184 2 ปีที่แล้ว +11

    Waandishi wa habari mnashindwa kumhoji nambar ya kiwanja na nakala ya hukumu na mnada ulikuwa kwasbb lipi?.umekaa unamsikiza kama radio

    • @Tee-King
      @Tee-King 2 ปีที่แล้ว

      😂

  • @grederoperater7970
    @grederoperater7970 2 ปีที่แล้ว

    Ee Mungu mpe subra mzee wetu katika kipindi hiki cha maonevu 😭😭😭😭😭😭😭

  • @danieltungira3837
    @danieltungira3837 2 ปีที่แล้ว +3

    Media ni nzuri kwel zinaweka uozo wote bayana,ila watumishi wengi hawatendei haki taaruma zao,taaluma zao imekuwa kama tiketi ya kufanya maovu

  • @husseinabduly1734
    @husseinabduly1734 2 ปีที่แล้ว

    jaman mungu anawaona hayo mnaoyatenda

  • @flackomasterbaddest4155
    @flackomasterbaddest4155 2 ปีที่แล้ว +4

    Hamza we miss u

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 2 ปีที่แล้ว

    Dah pole Sana mzee

  • @letsgrowwithm4620
    @letsgrowwithm4620 2 ปีที่แล้ว

    Daah!

  • @marwamarwa6836
    @marwamarwa6836 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana mzee wa kikurya nasikia mpaka. Unasema khanaaa.... Jamani

  • @juliasmolellmolell4815
    @juliasmolellmolell4815 2 ปีที่แล้ว

    Aisee mungu simama nahuyu baba apate haki yake

  • @upendosaid7443
    @upendosaid7443 2 ปีที่แล้ว

    Pore sasa baba mungu atakushindia yupo nawe

  • @aminakunja277
    @aminakunja277 2 ปีที่แล้ว

    Maskini dahh kwa mungu kutakua na kazi sana

  • @baghabaghaingwengwe1750
    @baghabaghaingwengwe1750 2 ปีที่แล้ว

    Dhuluma mbaya mno sana haswa inayofanywa na wenye pesa

  • @tanzaboy4824
    @tanzaboy4824 2 ปีที่แล้ว +4

    Mbona ayo mambo yahakuwepo wakati wa magu

  • @nipautago8574
    @nipautago8574 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akusimamie baba yetu!

  • @philemornmutta1597
    @philemornmutta1597 2 ปีที่แล้ว +1

    Nenda Kwa waziri Mzee usiogope tata.

  • @eliudiezekieli6293
    @eliudiezekieli6293 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana mzee haki itendekee

  • @profs.a5412
    @profs.a5412 2 ปีที่แล้ว

    mi huwa nikiona vitu Kama hivi , huwa naamaani hatuna viongozi completely , tunasaka tonge tu ..yani kweli mtu anazurumiwa nyumba kiasi hiki , na anafukuzwa Kama mwizi afu mnasema Kuna viongozi kwenye hili taifa!! ninawasiwasi saana ......pole saana mzee wangu , natamani nije nikusaidie lkn naona sina uwezo ....Ila pole sana

  • @simonmagembe8714
    @simonmagembe8714 2 ปีที่แล้ว +2

    pole sana baba naamini kwa jinsi nilivyokusikiliza unakitu kinaukweli na inabidi upate msaada wa hata kujua undani wa hili. Serikali yetu ni sikivu utapata msaada insha allah

  • @sadickkalinga3182
    @sadickkalinga3182 2 ปีที่แล้ว +4

    Pole sana mzee wangu mungu atakusimamia

  • @fadybeatsPro
    @fadybeatsPro 2 ปีที่แล้ว +4

    Daah😢 watu sio binadamu

  • @davidkamando9630
    @davidkamando9630 2 ปีที่แล้ว

    Wawe makini sana serikali.... Watu watakuwa wanakataa kutoa ushahidi

  • @kalengashoppingcenter1108
    @kalengashoppingcenter1108 2 ปีที่แล้ว +1

    Magu mwenye upendo na wanyonge ameumaliza mwendo😭😭😭😭. Waliobaki ni Wazanzibar, wazee wa Msoger na Midabwada tu

  • @wardw3022
    @wardw3022 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu saidia dhuluma imevuka mpaka

  • @winnesakara6957
    @winnesakara6957 2 ปีที่แล้ว +1

    Duuuu pole sana mzee

  • @murattywamuratty9778
    @murattywamuratty9778 2 ปีที่แล้ว

    Dah

  • @ezekielloylepayon5042
    @ezekielloylepayon5042 2 ปีที่แล้ว +4

    Huyu mwanajeshi kweli anafamilia kweli kwa kumfanyia binadamu mwenzake hivi dah mimi naiomba serikali yangu sikivu chini ya raisi wetu mama samia suluhu hasani iangalie hili suala la huyu mzee kwa uzito zaidi

  • @ancardeneylisious1057
    @ancardeneylisious1057 2 ปีที่แล้ว

    Yaaaan mm sisemi sisi iloo tukio ndo wahanga

  • @petroatanas8988
    @petroatanas8988 2 ปีที่แล้ว +7

    Magufuli hayupo Nani atamsaidia huyumzee

    • @murattywamuratty9778
      @murattywamuratty9778 2 ปีที่แล้ว

      Iyoo kesi imetokea toka 2017 hem msilikilize uyoo slopigiwa sim, kwa iyoo mwaka uwoo alikuwepo nani? Iyoo kesi si ya leo na mahakimu walokuwa wasaidiz wake uyoo unomtaja

  • @ejulaizerjulaizer128
    @ejulaizerjulaizer128 2 ปีที่แล้ว +5

    Raisi wetu mama yetu mpendwa wetu ni msikivu sana naamini hili likimfikia atafanya jambo mama mama mama tusaidie

  • @lusajomwakalinga5813
    @lusajomwakalinga5813 2 ปีที่แล้ว

    Kesi ndogo Sana pole Sana.

  • @saidasimba9979
    @saidasimba9979 2 ปีที่แล้ว +2

    Nmh mzee tuweke waz mbona kama kuna kitu unatuficha sema ukweli usaidiwe

  • @monicasuguti5175
    @monicasuguti5175 2 ปีที่แล้ว

    Mi ata cjaelewa kuibiwa kwa pikipiki na kuuziwa nyumba vnausiana kwel? Mmh

  • @jennytugara9470
    @jennytugara9470 2 ปีที่แล้ว +5

    Tanzania imekuwa kama Nigeria utu hakuna wala huruma dhuluma ni mchana kabisa alafu Watu wanadhamini pesa jamani. Pole sana Mzee wameingia Mlamgo wa muungwana.

    • @goodluckmsoka3660
      @goodluckmsoka3660 2 ปีที่แล้ว

      Nigeria hatupo ivyo ukituzulumu tunaita boko harama waamue kesi

    • @jennytugara9470
      @jennytugara9470 2 ปีที่แล้ว

      @@goodluckmsoka3660 umenichekesha kesi ya Tumbili anapewa Nyani

  • @martineshija2712
    @martineshija2712 2 ปีที่แล้ว

    Pole Sana mzee kwakweli czani Kam Rais atakusaidia yamekupata kwa wakati mgumu sana

  • @vikimartin9441
    @vikimartin9441 2 ปีที่แล้ว +1

    Wanyonge tutakoma,tutaishi Kama digidigi,na hisi kuna watu wengi watakuwa wamedhulumiwa haki zao pasipokujua haki zao za msingi.tusomeshe watoto wetu Sheria.

    • @زينبعىر
      @زينبعىر 2 ปีที่แล้ว

      Ukiachana na kusomesha watoto sheria pia kuna umuhimu wa mtu kama unamiliki Ardhi kialali bora kuweka mwanasheria ila yeyote akiingia ktk 18 kwa dhamira mbaya kama hii anadili nae uonevu umezidi mno yani mpk unaogopa kufanya vitu vya maana vp tutajikomboa kwa hali hii ?

  • @mohamedmkape698
    @mohamedmkape698 2 ปีที่แล้ว +2

    nadhani kwako mirald hii habari tunahitaji sana muendelezo wake mkuu.

  • @suleimansultan3333
    @suleimansultan3333 2 ปีที่แล้ว

    Maelezo yako broo inaonesha wizi mtupu mzee Mungu atamsaida

  • @chidybwax8080
    @chidybwax8080 2 ปีที่แล้ว

    Pikipik million mbili nanyumba million 120 duhh

  • @mamakeaisha4926
    @mamakeaisha4926 2 ปีที่แล้ว +1

    Magu angekua Hai sidhani kama yangefikia huku😢😢😢😢😭😭😭too sad

  • @malugubrithon1478
    @malugubrithon1478 2 ปีที่แล้ว

    Dah tanzania

  • @upendosaid7443
    @upendosaid7443 2 ปีที่แล้ว

    Wan
    Jamani wa Tanzania wanyonge tusaidiwe

  • @meryymeryymeryymeryy3358
    @meryymeryymeryymeryy3358 2 ปีที่แล้ว

    Mungu wangu uyo niwizi laaa watanzania muache wizi kumuzulumu mze kama huyo laaa bisuma iyo ni laaana

  • @edwardmkombola2653
    @edwardmkombola2653 2 ปีที่แล้ว +8

    Naomba swala Hilo lishulikiwe mala moja la sivyo nikiwa Kama mwanajeshi msitaafu nitalishulikia mala moja Tena kigaidi na kikatili pumbavuuuuuu nyingi mliofanya janjajanja nyoko kabisa

    • @nahimanamayassa8305
      @nahimanamayassa8305 2 ปีที่แล้ว +1

      Kabisaa fanya ivo baba utalipwa na Allah

    • @nahimanamayassa8305
      @nahimanamayassa8305 2 ปีที่แล้ว

      Ndo wale police wanapigwagwa na wanannchi,mzee apo angekua na watoto wakubwa wakiume siwangepigana na hao mapolis😒

    • @kipulizechuga7276
      @kipulizechuga7276 2 ปีที่แล้ว

      Asante baba saidia hili swala kwaweli linaumizaaa

  • @douglasvernon9492
    @douglasvernon9492 2 ปีที่แล้ว

    This time to remember magufuli is very sad for Tanzania 😭😭😭😭😭

  • @floramlowe7078
    @floramlowe7078 2 ปีที่แล้ว +3

    Mmmh huo ni uonevu mtupu sasa mzee yote huyu jamani serikali ingilie kati imsaidie

  • @murattywamuratty9778
    @murattywamuratty9778 2 ปีที่แล้ว +2

    Umenda toa ushahidi serikalini kuwa shahidi wa mahakama upande wa serikali ila serikali iyo iyoo inakusaliti upande uwo uwo wa mahakama dah

  • @missangela6720
    @missangela6720 2 ปีที่แล้ว +3

    “Unajua mimi nani”?
    Mtanikumbuka… dah!

  • @abubakarikisuju80
    @abubakarikisuju80 2 ปีที่แล้ว +2

    RIP MAGUFULI"Huyo mwanajeshi ni mshenzi sana"anatumia cheo chake kunyanayasa watu" daaa

  • @glorykibona3761
    @glorykibona3761 2 ปีที่แล้ว

    Kasema anaishi kwa nguvu ya MUNGU😢😢😢MUNGU wa wote wenye mwili teta na wanao teta na huyu baba

  • @pesaspy_tv
    @pesaspy_tv 2 ปีที่แล้ว +3

    Kwa nini nyumba ipigwe mnada mbona kama hili swali halikuulizwa

  • @hoglamumbee344
    @hoglamumbee344 2 ปีที่แล้ว

    Millard ayo tupeni feedback ya hii kesi jamani

  • @abdallahajiomari9525
    @abdallahajiomari9525 2 ปีที่แล้ว

    Hy mnunuzi mjinga tapeli

  • @safindume5051
    @safindume5051 2 ปีที่แล้ว +1

    Magufuli 😭😭😭😭😭😭

  • @jumannekatumba44
    @jumannekatumba44 2 ปีที่แล้ว +2

    Mimi sijaelewa kabisa pikipiki na nyumba vinaihusiano Gani

    • @rubenprince8990
      @rubenprince8990 2 ปีที่แล้ว

      Huyo mzee huwenda ana haki zote lakini anashindwa kujielezea vizuri nadhani huyo mzee ni mkenya

  • @elvisoscar9912
    @elvisoscar9912 2 ปีที่แล้ว

    Mzee nenda nje ya ikulu dar kwenye gate la ikulu na bango pamoja na watoto wako onyesha mabango lafikili uyo Mama Samia atawasaidia

    • @ondiektorongongo6106
      @ondiektorongongo6106 2 ปีที่แล้ว

      Sisi ndiyo tunaishi hapa mtaani. Huyu mzee mstaafu wa jeshi ametunyanyasa sana. Njooni airport muone hicho kijumba alichowadanganya eti 100m

  • @saididodi3988
    @saididodi3988 2 ปีที่แล้ว

    Hiv hii nch mbona siielewi

  • @lubatikoseme9412
    @lubatikoseme9412 2 ปีที่แล้ว

    Hii habari tuifikishe Kwa mama Samia

  • @letsgrowwithm4620
    @letsgrowwithm4620 2 ปีที่แล้ว

    Millard ayo naomba umsaidie huyu baba. Hata taarifa imfikie mama samia jamn inauma.

  • @aishaalbalushaishabalush8291
    @aishaalbalushaishabalush8291 2 ปีที่แล้ว +1

    serkal ya samia bana khatar sana ila Mungu yupo insha allah

    • @suleimanbadru819
      @suleimanbadru819 2 ปีที่แล้ว

      Sasa Samia kaingiaje hapa hii kesi tangu miaka ya nyuma 2017 alikua samia acheni ujinga

  • @yahyamkone5601
    @yahyamkone5601 2 ปีที่แล้ว +1

    Daaaa Yani ukisikiliza maelezo ya wote inaonekana kwamba Kuna ubabaishaji kwa huyu aliyenunuwa hapa kunakamchezo tu kamefanyika

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 ปีที่แล้ว

      Kabisa pikipiki haina thamani ya nyumba?

  • @zingaomar3400
    @zingaomar3400 2 ปีที่แล้ว +5

    😭😭😭😭😭😭😭 I’m from kenya but this issue shed up my tears 😭 that’s real broken my heart 😭😭

  • @athumanitanu2663
    @athumanitanu2663 2 ปีที่แล้ว

    Story haielewekii ata kidogoo. Piki piki na nyumbaa wapi na wapi.

  • @mwasangwalepeter1209
    @mwasangwalepeter1209 2 ปีที่แล้ว

    Uyu mzee pia ujuaji upo kibao na why wew Tuu

  • @stephanokanyika6321
    @stephanokanyika6321 2 ปีที่แล้ว +1

    Kweri tutamkumbuka mh.makonda mkuu wa mkoa dar msitafu na hayati magufuri huu ujinga haukubariki enzi hizo

  • @agnellapius8142
    @agnellapius8142 2 ปีที่แล้ว

    Mimi nimetapeliwa na hao hao askari sitosahau

  • @anifayusuph2400
    @anifayusuph2400 2 ปีที่แล้ว

    Magufuri angekuwepo huu uwonev usingetokea daaaaah hat hurum hamn nyie watu au ni nyoka tena wenye sm Kari😭😭😭😭

  • @jimmymwakapesa7926
    @jimmymwakapesa7926 2 ปีที่แล้ว

    R.I.P. magu

  • @olivajoseph1697
    @olivajoseph1697 2 ปีที่แล้ว

    Wanajeshi wa TANZANIA niwezi wauwaji Yani nishida

  • @msowamhokole7714
    @msowamhokole7714 2 ปีที่แล้ว +1

    Ila Mimi sielewi pkpk nyumba kvp ebu upande wa pili kaoji utapata ukweli

  • @osbrotherosbrother6891
    @osbrotherosbrother6891 2 ปีที่แล้ว

    Rais wawanyonge amesha kufa aliekuwepo sahizi sizani kama atafatilia haya tumuombe tu munguombe tu mungu atupe rais kama magufuli

  • @vicentjuliety4184
    @vicentjuliety4184 2 ปีที่แล้ว +4

    Sema Tanzania yetu anina utukabisa kwanni lakini mbna kipindi cha magufuli mambo ayo yalikua ayapo kabisa mama tunaomba kemea huovu huuuu

    • @wasalimie11
      @wasalimie11 2 ปีที่แล้ว

      huyo mama wenu mbona haeleweki ama amewekwa tu mradi kiti kiwe na raisi

  • @jamhuri_imala3976
    @jamhuri_imala3976 2 ปีที่แล้ว +2

    Mambo kama haya huleta mauaji yasipo wekwasawa utatuzi wahalaka unahitajika mwenyehaki apewe

  • @saidhassan7779
    @saidhassan7779 2 ปีที่แล้ว

    MAHAKAMA NI SHIDA KWA HAKIKA

  • @ondiektorongongo6106
    @ondiektorongongo6106 2 ปีที่แล้ว

    Ni vile sijui kuweka picha ningewawekea muione hata 7m sinunui. Tuliishi nae hapa nyumbani kwa tabu sana hakuwahi kuwa na rafiki. Hao aliokuwa anawaonesha kuwa watoto wake ni muongo tulikuwa wapangaji wake