#live

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
  • #2025mwakawakumilikinakutawala #arisendshinetanzania
    #tanzania #daresalam #afrika #afrikamashariki #ariseandshine #AFRICA#tanzania #dar #tanganyika #ubaloziwambinguni
    Don't Forget to Subscribe to get The Latest Videos
    From Arise and Shine Tanzania.
    WATCH ARISE AND SHINE TV
    AZAM CHANNEL 469
    STATIMES ANTENA CHANNEL 117 | STARTIMES DISH CHANNEL 198.

ความคิดเห็น • 53

  • @JoyceJohn199
    @JoyceJohn199 21 วันที่ผ่านมา +1

    Napokea uponyaji kwa jina la yesu amen

  • @JoyceJohn199
    @JoyceJohn199 21 วันที่ผ่านมา +2

    Kibali kiwe juu yangu mm na family yangu Mungu nakuomba mchumba wangu Kevin awe na kibali mbele za Mungu kibali cha uchumba wetu 😢tunaomba Mungu utusaidie paka tutakapokuwa funga ndoa ❤

  • @JoyceJohn199
    @JoyceJohn199 21 วันที่ผ่านมา +1

    kupitia maombi aya naomba kibali cha kuomba kibali kwa maboss zangu wanipende kwa jina la yesu amen

  • @JoyceJohn199
    @JoyceJohn199 21 วันที่ผ่านมา +1

    Asante Yesu

  • @JoyceJohn199
    @JoyceJohn199 21 วันที่ผ่านมา +1

    Naomba Mungu unisaindie niwe mtu wa maombi

  • @SophiaMilanzi-l8l
    @SophiaMilanzi-l8l 22 วันที่ผ่านมา

    Mungu najiungnisha na maombi haya nikiamini mwaka huu napokea watoto mapacha wakike na wakiume ameeeni

  • @JoyceJohn199
    @JoyceJohn199 21 วันที่ผ่านมา +1

    Amen Amen

  • @Margaret-s4c
    @Margaret-s4c 22 วันที่ผ่านมา

    Najiungamanisha na Upako wa kumiliki na kutawala katika jina la Yesu. AMEN

  • @ashachaula7409
    @ashachaula7409 22 วันที่ผ่านมา

    Nakataa kubadiriaha biashara yangu kwa jina la YESU amen

  • @SophiaMilanzi-l8l
    @SophiaMilanzi-l8l 22 วันที่ผ่านมา

    Mungu maombi haya yamkatendekwa mume wangu na dada yangu wawe na baraka naamini watapokea tuu

  • @Monicawawira-fd6zl
    @Monicawawira-fd6zl 22 วันที่ผ่านมา

    Bwana mungu nifungulie njia zangu za maisha yangu na mtoto wangu apate kazi

  • @Evayona-y2c
    @Evayona-y2c 22 วันที่ผ่านมา

    Mungu najiungamanisha ña mfungo huu maalumu mungu nifung7e Kila mahali nlipofungwa na ndoa yangu ifungueee kupitia maombi hayaya mfungo siku 21 naomba ujibu maombi yàng mung

  • @Evayona-y2c
    @Evayona-y2c 22 วันที่ผ่านมา

    Mungu ninajiungamanishana mfungo huumaalumu muñgu nafunguliwa Kila vifungo vyote na familia yangu inaguñg7liwa

  • @KilotildaJustineKilotildaJusti
    @KilotildaJustineKilotildaJusti 22 วันที่ผ่านมา

    Mungu ni mwema 🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏

  • @ZaituniNgunwa
    @ZaituniNgunwa 22 วันที่ผ่านมา

    Mungu upako waleo mwanangu pamoja na mchumba wangu apate kazi

  • @mwanakombojumaakhalid
    @mwanakombojumaakhalid 22 วันที่ผ่านมา

    Najiungamanisha kwako mungu kuanzia leo ufahamu wangu urudi sawa

  • @rosecleopa7323
    @rosecleopa7323 22 วันที่ผ่านมา

    Mungu najiunganisha na madhabau hii nikiamini kwamba mwaka huu lazima nifaulu mitiani yngu yte na malengo yangu lazima yatimie

  • @mwanakombojumaakhalid
    @mwanakombojumaakhalid 22 วันที่ผ่านมา

    Naomba mungu usiku waleo ukijakunitembelea uniondoshee maumivukati mwili wangu

  • @KaslidaMilambo
    @KaslidaMilambo 22 วันที่ผ่านมา

    Najiungamanisha na upako wa kumiki na kutawala Katja jina la yesu

  • @KilotildaJustineKilotildaJusti
    @KilotildaJustineKilotildaJusti 22 วันที่ผ่านมา

    Mungu ni mwem ❤❤❤

  • @ZaituniNgunwa
    @ZaituniNgunwa 22 วันที่ผ่านมา

    Mungu fungus milango yangu ya maisha yangu

  • @mwanakombojumaakhalid
    @mwanakombojumaakhalid 22 วันที่ผ่านมา

    Nahiungananusha kwako familia yangu pamoja na mimi tuishi kwausalama na mafanikio tuwe nuru na siyo giza

  • @mawiamakasa4355
    @mawiamakasa4355 22 วันที่ผ่านมา

    Mungu upako waleo na pamoja na sadaka hii bwanangu aache mfango wa kando na arudie bibi yake mawia. Ni Mawia kutoka Kenya.

  • @KaslidaMilambo
    @KaslidaMilambo 22 วันที่ผ่านมา

    Baba naomba unifungue nipate kiwanja Kwa njia rahisi nijenge mwenyezi mungu nifunge

  • @magrethmgandalucas1983
    @magrethmgandalucas1983 22 วันที่ผ่านมา

    Ee Mungu nipe loho ya hekima na malifa .na loho ya kumcha bwana

  • @johnlesinana-z8m
    @johnlesinana-z8m 22 วันที่ผ่านมา

    Napokea hitaji langu ktk jina la yesu.

  • @Monicawawira-fd6zl
    @Monicawawira-fd6zl 22 วันที่ผ่านมา

    Mungu wangu ukitembelea wengine usiku wa leo unipitie

  • @MaliamuSanga
    @MaliamuSanga 22 วันที่ผ่านมา

    Mungu nakuomba uniponye kwenye mbavu zangu

  • @mwanakombojumaakhalid
    @mwanakombojumaakhalid 22 วันที่ผ่านมา

    Napokea baraka mimi mwanakombo from oman

  • @KilotildaJustineKilotildaJusti
    @KilotildaJustineKilotildaJusti 22 วันที่ผ่านมา

    Raha sana jesu ❤❤❤

  • @ZaituniNgunwa
    @ZaituniNgunwa 22 วันที่ผ่านมา

    Mungu naomba uniponye magonjwa yote yanayonisumba

  • @MagrethShuka-w2z
    @MagrethShuka-w2z 22 วันที่ผ่านมา

    ee mungu najiungamanisha namaombi aya mwanangu afunguliwe katika nguvu zake zakiume atamagojwa yote yaliyomo ndan ya mwil wake yatoke kwaiman naamin itakuwa ivyo

  • @ZaituniNgunwa
    @ZaituniNgunwa 22 วันที่ผ่านมา

    Mungu fungus upako kwenye biashara yangu

  • @MagrethShuka-w2z
    @MagrethShuka-w2z 22 วันที่ผ่านมา

    Ee mungu naomba unitendee na mm

  • @ZaituniNgunwa
    @ZaituniNgunwa 22 วันที่ผ่านมา

    Upako wa say hizi. Kama chiku anamapepo yatoke😊

  • @Monicawawira-fd6zl
    @Monicawawira-fd6zl 22 วันที่ผ่านมา

    Mungu ukitembelea wengine usiku wa leo unipite

  • @mwanakombojumaakhalid
    @mwanakombojumaakhalid 22 วันที่ผ่านมา

    Mimi nawaleta watoto wangu mikononi kwako bwana uwalinde uwafanye wawe kichwa na siyo mkia

  • @mwanakombojumaakhalid
    @mwanakombojumaakhalid 22 วันที่ผ่านมา

    Mimi na familia yangu tumeipokea mwangaza wa amani

  • @JoyceJohn199
    @JoyceJohn199 21 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @mwanakombojumaakhalid
    @mwanakombojumaakhalid 22 วันที่ผ่านมา

    Ameen

  • @MandaMukuli
    @MandaMukuli 22 วันที่ผ่านมา

    Naomba nipate KAZI kiuraisi

  • @Monicawawira-fd6zl
    @Monicawawira-fd6zl 22 วันที่ผ่านมา

    Ameeen

  • @SaraphinaLukwije-p3o
    @SaraphinaLukwije-p3o 22 วันที่ผ่านมา

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @Lillypanduka
    @Lillypanduka 22 วันที่ผ่านมา

    Mung najiunganish na maomb ay nkiamn mwaka huu napokea watot mapacha wawili wakik na wakium nkiwa na Micky. Najiunganish na maombi hay nkiamin kwamb Micky atansameh na tutaendlea na mausiano, napokea ndoa na Micky mwaka huu

  • @ElianaTheonest-f1j
    @ElianaTheonest-f1j 22 วันที่ผ่านมา

    saidia familia yang

  • @JoyceJohn199
    @JoyceJohn199 21 วันที่ผ่านมา +1

    😭🙏🙇‍♀️🙋‍♀️🧎‍♀️

  • @KaslidaMilambo
    @KaslidaMilambo 22 วันที่ผ่านมา

    Baba namleta mikononi mwako mwanangu shadrack maumbile yake ya sehem za Siri yakawe kama ya binadam wengine yanavyokuwa

  • @ZaituniNgunwa
    @ZaituniNgunwa 22 วันที่ผ่านมา

    Upako wa Leo mponye chiku na magonjwa yote yatoke

  • @MandaMukuli
    @MandaMukuli 22 วันที่ผ่านมา

    Ameñ

  • @ElianaTheonest-f1j
    @ElianaTheonest-f1j 22 วันที่ผ่านมา

    mung nisaidie jmn

  • @johnlesinana-z8m
    @johnlesinana-z8m 22 วันที่ผ่านมา +1

    Napokea uponyaji ktk jina la yesu kristo

  • @Evayona-y2c
    @Evayona-y2c 22 วันที่ผ่านมา

    Mungu ninajiungamanishana mfungo huumaalumu muñgu nafunguliwa Kila vifungo vyote na familia yangu inaguñg7liwa