Magoli sita | JKT Tanzania 4-2 Tabora United | NBC Premier League 18/10/2024
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024
- John Bocco amefunga magoli mawili dakika ya 21 na 26, akiiongoza JKT Tanzania kuichapa Tabora United mabao 4-2 ,katika mchezo wa #NBCPremierLeague uliopigwa kwenye Dimba la Meja Jenerali Isamuhyo. Dar es Salaam.
Magoli mengine yametoka kwa Edward Songo dakika ya 58 na Said Ndemla dakika ya 63... huku magoli ya Tabora United yakifungwa na Offen Chikola dakika ya 42 na Yacouba Sogne dakika ya 90.
Haya hapa magoli yote sita....
Tuliokuja kwa ajili ya legend tujuane☝🏽
Nimekuja kwaajili ya BOCCO
am here course of john bocco
Ndemla alikuwa wamoto sana🔥🔥
Goal la pili la Bocco ni offside
Da nimefrah bocco ku score
Leo ndemla kawaka
Shida ni waamuzi
Usalama wa huu uwanja ukoje ama sio kipaumbele la ligi...
Tabora hamna kitu kabisa
Hesabu mbovu kbs kutoka kwa kipa wa Tabora
Bocco
Haloo bosi mo hap naongea natak boko aludi simba halaka