Focus katika maisha yako ndiyo kila kitu kama focus yako ni kuwa mkuu wa wilaya Anza kujenga picha katika kichwa chako kuwa wewe utakuwa mkuu wa wilaya
MKURUGENZI WA HALIMASHAURI ATEKWA NA FAMILIA YAKE WAVULIWA NGUO ZOTE, KAKA YAKE AELEZEA TUKIO ZIMA.! th-cam.com/video/Or5m0-TTzrU/w-d-xo.html Hii ni Mkoi Tv Online na huu ni muendelezo wa kukuletea matukio adhimu ya simulizi za kweli ambazo hazina hata chembe ya shaka toka kwa wana familia wa Mkoi Tv Online toka kila pembe ya Dunia. Leo tupo na Kaka wa Mkurugenzi wa Halimashauri ya Mji... ( JINA LINAHIFADHIWA) akieleza jinsi walivyotekwa na watu wenye silaha za kivita wakati wakitokea safari. Na baadae watu hawa waliwalazimisha kuvua nguo zote yani watoto wa kiume, mama yao, Baba na dada yake ambae ni Mkuruenzi wa Halimashauri ya mji mmoja maarufu nchini uliopo katika ya mikoa ya Tanzania. Ni tukio la kufedhehesha sana na kusikitisha, Familia hiyo Wasema ni issue ya uli paji visasi mambo ya biashara sio Siasa. VIDEO hii hapa, share, Like, Comment na Subscribe au tupigie kwa simu namba +255713575718 Ipo Whats app
Inchi kwa sasa tangu imepata uhuru paka leo wanajenga Barbara zile zile yani awamjui wanaelekea wapi Mwanza paka dar ni moja yani awawezi kuongeza hata ziwe mbili mashimo kila maali 😭😭😭😭 from mwanza tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
The problem is kuna akina sisi tunajua nini tufanye lakin tuajisahau kwa kuzan kuna mda wa kutosha but we have no time enough to wait
Ntaanza kuandika, mawazo mengi mazuri nafikiria then yan flow
Focus katika maisha yako ndiyo kila kitu kama focus yako ni kuwa mkuu wa wilaya Anza kujenga picha katika kichwa chako kuwa wewe utakuwa mkuu wa wilaya
🎉
@@ProsperJastine-i5d great point ya kuongezea hapa👍
MKURUGENZI WA HALIMASHAURI ATEKWA NA FAMILIA YAKE WAVULIWA NGUO ZOTE, KAKA YAKE AELEZEA TUKIO ZIMA.!
th-cam.com/video/Or5m0-TTzrU/w-d-xo.html
Hii ni Mkoi Tv Online na huu ni muendelezo wa kukuletea matukio adhimu ya simulizi za kweli ambazo hazina hata chembe ya shaka toka kwa wana familia wa Mkoi Tv Online toka kila pembe ya Dunia.
Leo tupo na Kaka wa Mkurugenzi wa Halimashauri ya Mji... ( JINA LINAHIFADHIWA) akieleza jinsi walivyotekwa na watu wenye silaha za kivita wakati wakitokea safari.
Na baadae watu hawa waliwalazimisha kuvua nguo zote yani watoto wa kiume, mama yao, Baba na dada yake ambae ni Mkuruenzi wa Halimashauri ya mji mmoja maarufu nchini uliopo katika ya mikoa ya Tanzania.
Ni tukio la kufedhehesha sana na kusikitisha, Familia hiyo Wasema ni issue ya uli paji visasi mambo ya biashara sio Siasa.
VIDEO hii hapa, share, Like, Comment na Subscribe au tupigie kwa simu namba +255713575718 Ipo Whats app
kaka badilisha iyo battery ya smoke detector 😂 good message though 👍
safi sana brother mshana for good advise mungu akuzidishie umri ili uzidi kutuelimisha
Good life
Moyo wangu unauma sana, pale wakati unauhitaji wa kubadilisha maisha na hapo huna mwelekeo.
Tutakutana kaka....I'll join you ..soon
@@DINASSOUR I’ll be waiting
Appreciate that🎉
Elimu nzuri sana kaka mshana from mwanza tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
🙏sema hii video mhhhh🙌🙌 billion dollars info, Asante sanaa
#SADBWOY_TZ JAMBO NZURI KUJUA NN UNATAKA KWA MDA SAHIHI..🎉
🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ very nice
Tuendelee kujifunza
Gud gud
👍👍👊👊💯💯🔥🔥
Inchi kwa sasa tangu imepata uhuru paka leo wanajenga Barbara zile zile yani awamjui wanaelekea wapi Mwanza paka dar ni moja yani awawezi kuongeza hata ziwe mbili mashimo kila maali 😭😭😭😭 from mwanza tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Tuko pamoja sana bro
Ninahitaji kazi