BH ONLINE _03 | Mfumo wa maji taka usio tumia chamber jinsi unavyofanya kazi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 11

  • @rweyemamurweyongeza4879
    @rweyemamurweyongeza4879 2 ปีที่แล้ว

    Maelezo yako ni mazuri sana

  • @isackjohn858
    @isackjohn858 2 ปีที่แล้ว

    Nimekusoma ,Dodoma mpo? Naomba namba

  • @butungo1
    @butungo1 6 ปีที่แล้ว

    Gharama ya ufundi na material ya kufunga aina hii ya choo ni shilingi ngapi

    • @TheBuildersHomeTz
      @TheBuildersHomeTz  6 ปีที่แล้ว +1

      Stanslaus Butungo inategeneana sana site yako... ilivyo... ni vizuri mtaalamu akifika na kuangalia... kisha atakufanyia survey... kwa mifumo kama hii inakua ngumu sana kutoa gharama za haraka haraka.

  • @agaelyjll3143
    @agaelyjll3143 5 ปีที่แล้ว

    Ninauhitaji wa kufahamishwa kuhusu muunganiko wa maji taja toka jikoni na chooni. Kwa nini kinafanyika hivyo na si kuitenganisha kama kwenye mifumo ya kawaida.

    • @TheBuildersHomeTz
      @TheBuildersHomeTz  5 ปีที่แล้ว +1

      Sawa tutafanya hivyo katika kipindi kijacho

    • @agaelyjll3143
      @agaelyjll3143 5 ปีที่แล้ว

      @@TheBuildersHomeTz
      Tupo pamoja.

  • @marinajuma1416
    @marinajuma1416 4 ปีที่แล้ว

    Tutumie namba yako ya simu tukutafute

  • @africanchild4525
    @africanchild4525 6 ปีที่แล้ว

    hii inafungwa baada ya ujenzi au wakati wa ujenzi?

    • @TheBuildersHomeTz
      @TheBuildersHomeTz  6 ปีที่แล้ว

      Swahili 101 baada ya ujenzi ni vyema zaidi...