Assalm alykum Ustadh kishki ,ni vyema kumchukua na kumuandaa ahifadh Quran Kwa uwezo wa Allah aje kushiriki ktika miaka ijayo tunaimani anaweza Masha Allah .Au sio waislam wenzangu.
Manshaallah shekhee nakuomba kwa mawazo yangu mngemuendeleza kwenye elimu ya dini,na kama ingewezekana mngempeleka kwenye shule za kiislam akazidi kukuza elimu,kwa sababu hiyo ni neema imeonekana
Dah wallah kishki Allah akulipe Allah akupe kila hitaji la moyo wako Allah akupe umri mrefu uwendelee kutuelimisha katika haqi na dini ya kweli natamani nikutane na ww unisomee dua Quran na unielimishe
Kwa huyu mtu mwema ambaye nilimuona kwa mbali tarehe 2/4/2023 pale ukumbi diamond jubliee kwenye mashindano ya quran tukufu ambayo yaliandaliwa na aisha sururu foundation. Ningependa kukutana naye na kum busu kwenye paji la uso wake na kumpongeza kwa kazi nzuri aliyoifanya. Alimzawadia mvulana pikipiki na kumbusu kwenye paji la uso wake kwa sababu tu kijana huyo alikaa wakati mvua inanyesha huku mashindano ya quran yakiendelea huku wengine walikuwa wanakimbilia pembezoni . Mashallah ndivyo ubinadamu unavyoitwa. Mwenyezi Mungu ambariki yeye na familia yake katika mwezi huu mtukufu wa ramadhani.
MAASHALLAH. SIDHANI KAMA KUNAMTU ANAKUELEWA KAMA NINAVYOKUELEWA MIMI SHEIKH WEWE, SHEIKH KISHKI ALLAH KUHIFADHI NA KILA SHARRI NA BALAA, DUNIANI NA AKHERA🙏🙏🙏🙏
Alhamdulillah,Kweli Wema hulipwa Kwa Wema...Huyu Kijana Anaonyesha Utulivu WA Akili na Usikivu....hakuwa katika Vijana Wala Madawa Wakabaji ili kupata cha MDA,Allah kampa cha Halali...na chakudumu.Allah amhifadhi awe mfano Kwa wenziwe...Wazee naWalimu Wema kama Sheikh,Kishki Wanoendeleza Malezi ya Kiislamu.Allah amlipe Kheri Zake hapa na Baada ya Kuondoka.
Maa shaa Allah tabarakallah, zawadi nzuri Allah aijaze barka. Sheikh zawadi ya tatu msomeshe Qur-an. Anasema anaipenda lkn kwa matamshi yake nahc km hajui kusoma Qur-an. In shaa Allah msomeshe Qur-an na itakua zawadi nzuri kuliko zote kwako na kwake.
السلام عليكم ورحمة الله وبركاته صباح ماشاء الله تبارك الرحمن جزاه الله خيرا وتقبل الله طاعتكم ووضع في ميزان حسناتكم يوم لا ظل الا ظله جعلني أبكي اللهم اجعله من أهل الجنة برحمتك يا ارحم الراحمين
Mashaallah ALLAH akubarik Sheikh Mtukufu Sheikh Kishki kwa kutekeleza ahadi yako ushauri tu sio lazima ungempa zawadi ya elimu ni ushauri tu Sheikh wangu
Mashallah,Allah azidi kukupa Kheri na hikma Inshallah.Allah akuzidishie imani usaidie wengi.Mimi mwenyewe nimeshashuhudia imani yako nikiwa Mwalimu wa Kiingereza wa darasa la saba la kwanza la Al-hikma Primary School chini ya Uongozi wa Majapa kama mwalimu mkuu.Kheri nyingi kwa Al-hikma foundation. Mwl. OMARI SARAI
Mashallah kishiki allah akuongezee zaini ya icho alichokupa ili uzidi kusaidia watu nakupe maishamalefu yenye balaka tele kishiki nakupenda kwa ajili ya allah
Maa shaa Allah ..natoka Kenya wallah Allah azidi kumuongoza huyu kijana na atuongoze sote in Shaa Allah..Sheikh kishki Allah akufanyie wepesi ktk kila jambo utakalolifanya yaa raaby..
Mashallah jazaka llahu kheir Mungu ni mwema siku zote na hawezi kumtupa mja wake iyo ni ahadi ya MwenziMung kwa waja wake ,kisha nikuombe tu sheh wangu msaidie kumfunza qurani vizuri ishaalwah atakuwa mwanafunzi mzuri na mwema ishaalwah kheir
Mashaallah wallah ht mie nimefurahi ❤❤ni yy jmn hd viatu ni yy kwanza mie ht sijazingatia kidont kwenye kichwa lkn nilipomuona sura tu nikajisemea ni yy hongera sana mwanangu pia Allah atakulipa kishki ❤
Ma sha allah sheikh kishk Allah akuzidishie pale ulipo toa allah akuhifadhi Ombi langu naomba huyo kijana umsaidie msomesheni dini ktk shule ya Al hekma ili naye asome dini msaidie i kwa ajili ya allah allah Atakulipeni
ALLAH akbar nakupenda kwaajili ya ALLAH sheikh uliyechangia kuifahamu haki na kuacha muziki alhamdulillah.nakupenda mwalimu wangu ALLAH akulipe nyiiiingi kheri nakupenda.
Mashallah Mashallah Mashallah tabarakaallah sheikh Allah akujaze khery kila riziki hakoc sababu kijana c alama ya kichwa pka suruali kaja nao iyo iyo Allah amjalie awe hifadhi quran kama anavyo ipenda amiin yarrab 🤲
Maashaallah Allah akitaka kkuinua na kkupandisha darja huwa ni siku moja tu ambayo hukuitegemea wala kuitarajia Alhamdulillah na Sheikh wetu Nurdini Kishiki Allah akuzidishie Iman na akupandishe darja ya juu kabisa na atakulipa kwa mema unayoyafanya kila lakher kwako
mashallah mashallah allah azid kukujalia kila la kher nawewe shekhe wetu allah akupe maisha marefu yenye afya nzur nawewe ameen inshallah🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️❤️
Ma shaa Allah tabaraka Rahman Sheikh kishik Allah akulipe hapa duniani na kesho Akhera. Kwawel kijana amefurah sana, na Allah azidi kumuongoza kijana wetu aisome na ayafahamu maneno ya Allah.
Shekh Kishki assalaam alaykum.baada ya salaam namuomba Allah akupe umri mrefu wenyekheri nawewe na aendeelee kukupa moyo huohuo wa kutoa na kuwasaidia waislam kwa ajili ya Allah.kwakweli kutoa nimoyo nasio utajiri .
Masha Allah. Sheikh Nurdin Allah akulipe khery. Ombi langu kwako, mchukueni huyu kijana Msomesheni Quran na Sunna Sahihi za Mtume Muhammad Swalallahu alayhi wasallam
sheikh nurdin ufanyayo hayana kifani wala mfano,,, nimalizie kusema tu,,,, allah akulinde na mahasid, husda na vijiicho na watu wa baya, kukitangaza kitabu cha allah
MashaAllah Nimelia kwakweli 😭💪 ila ushauli wangu bado mdogo asifanyie kaz yy hyo Awakabizi wazazi wake watafute dreva muaminifu na aifanyie kazi itamsaidia kwenye masomo yake shekh kishiki Allah aulipe
mashaallah allah akuzidishie I Imaan sh kiski wewe ni mfano mzuri wa kuigwa na waislam kwa kweli tangu juzi nafuatlia machozi ta furaha yamenitoka kwa jamboree hili
Naitwa Husna Ali said kutoka OmanMashsllah she wetu Allah akupe kilalakheri nafamillyayako.awachaguwekwenye kundi la waliochaguliwa.kuingia firdaus,Amin
Mashallah mungu atufungulie kheri na mazuri inshallah, ila mwakani panapo uhai na majaaliwa pasije kunyesha mvua wallah vijana wenzangu tutabeba na mikeka wallah
Alhamdulillah kijana Allah amfungulie kul kheirawe na msimamo katika dini,na amepewa zawadi nzuri sana yakumuendeleza,awe na maarifa ya kurafuta pesa ya halali mpeni funzo hiyo piki sio ya kuazima mtu hata rafiki au hata kuzururia mitaani marafiki watamfuata au kumhadaa waweza hata kuipoteza tu awe na akili hiyo ajijenge na kumsaidia mama yake na tete mwenyewe, DUNIA MBAYA MAHASIDI NI WENGI TU
Shukran sana sheikh Kishky hakika wewe ni sheikh wa kupigiwa mfano Allah akuzidishie umri mrefu na akuzidishie barka na akuondoshee chuki na hassad miongoni mwa wanadamu hili ulilofanya hakika litaendelea kuwa historia duniani na kesho akhera na litakuwa nuru miongoni mwa nuru za Allah kwako ,hakika upo tofauti sana Namuomba Allah azidi kukuondoshea kibri na majigambo ,umwinyi na majigambo katika maisha yako uendelee kujichanganya na watu wa Rika zote katika kuitetea dini ya Allah wengine hata kuwapa mkono tu skuhizi inakuwa shida mpaka upite kwa makatibu wao kwanza hii imekuwa khatari sasa hakika "ALLAH ANA WATU NA WATU WAKE NI WATU WA QUR AN"
Ma shaa Allah hadi rahaa machozi ya furaha yanitoka wallahi, Sheikh wetu kipenzi Allah akuzidishie palipo pungua na akuhifadh na mahasidi Amiin Amiin Amiin
Assalm alykum Ustadh kishki ,ni vyema kumchukua na kumuandaa ahifadh Quran Kwa uwezo wa Allah aje kushiriki ktika miaka ijayo tunaimani anaweza Masha Allah .Au sio waislam wenzangu.
MaasshaAllah Allah anampa amtakae ktk wakati usotarajiwa kabisa ALLah atuzidishie mahabba ya dini yake♥️♥️
🤲🤲🤲🤲
Ameen
😂❤ amiin 🤲
Ameen
Ameen
SHEKH NAKUOMBA UMUENDELEZA KUMSOMESHA AENDELEYA KUSOMA QUR'AN KAREEM
Manshaallah shekhee nakuomba kwa mawazo yangu mngemuendeleza kwenye elimu ya dini,na kama ingewezekana mngempeleka kwenye shule za kiislam akazidi kukuza elimu,kwa sababu hiyo ni neema imeonekana
Dah wallah kishki Allah akulipe Allah akupe kila hitaji la moyo wako Allah akupe umri mrefu uwendelee kutuelimisha katika haqi na dini ya kweli natamani nikutane na ww unisomee dua Quran na unielimishe
Mashallah.
"Hakika wamchao mungu ndio wenye kufaulu"
❤❤❤
Swadakta
Maashaallah maashaallah maashaallah shukuran shekhe wetu kwa kitendo ulichokitekeleza Hakika nimfano mzuri ❤🤲☝️
I'm Christian but I love the faith of that young man Amen to him and may God be with him always
my God be with you too, and guide you to the right path...
Kwa huyu mtu mwema ambaye nilimuona kwa mbali tarehe 2/4/2023 pale ukumbi diamond jubliee kwenye mashindano ya quran tukufu ambayo yaliandaliwa na aisha sururu foundation. Ningependa kukutana naye na kum busu kwenye paji la uso wake na kumpongeza kwa kazi nzuri aliyoifanya. Alimzawadia mvulana pikipiki na kumbusu kwenye paji la uso wake kwa sababu tu kijana huyo alikaa wakati mvua inanyesha huku mashindano ya quran yakiendelea huku wengine walikuwa wanakimbilia pembezoni . Mashallah ndivyo ubinadamu unavyoitwa. Mwenyezi Mungu ambariki yeye na familia yake katika mwezi huu mtukufu wa ramadhani.
Maashallah nimejikuta natoa machozi jaman huyu kaka anavyojieleza halafu mdogo km mwanangu Allah amzidishie kila lenye kheri kwake
Amiin
Walah sio wewe tu hata mimi😭
MashaAllah kijana na Sheikh pia
Ni vyema sana kama ingependeza awe karibu nawe ili umuongezee imani zaidi
Masha Allah
Nami pia hiyo Hali imenikuta, Allah Akbar
Mashallah 🎉🎉🎉🎉ila najikuta machozi yantoka 😢😢 kw furaha ya Allah akupe umri mrefu Ameeen thumma Ameen yaaraby sheikh wetu
Khakika 😭😭
Ww hamisi hamisa
Wallah
MAASHALLAH.
SIDHANI KAMA KUNAMTU ANAKUELEWA KAMA NINAVYOKUELEWA MIMI SHEIKH WEWE,
SHEIKH KISHKI ALLAH KUHIFADHI NA KILA SHARRI NA BALAA,
DUNIANI NA AKHERA🙏🙏🙏🙏
Alhamdulillah,Kweli Wema hulipwa Kwa Wema...Huyu Kijana Anaonyesha Utulivu WA Akili na Usikivu....hakuwa katika Vijana Wala Madawa Wakabaji ili kupata cha MDA,Allah kampa cha Halali...na chakudumu.Allah amhifadhi awe mfano Kwa wenziwe...Wazee naWalimu Wema kama Sheikh,Kishki Wanoendeleza Malezi ya Kiislamu.Allah amlipe Kheri Zake hapa na Baada ya Kuondoka.
Masha Allah hakika
Aamiin 🤲🤲
Wallah maasha Allah
Mashallah tabaraka rakhamani kwakweli machizi usmenitoka Kwa fulaha allha akuzidishie upendo na shekhe kishi Allah akujazie Imani zaidi❤❤❤❤
Allahuma amiin yaa rabbi 🙏🤲☝️
Maa shaa Allah tabarakallah, zawadi nzuri Allah aijaze barka. Sheikh zawadi ya tatu msomeshe Qur-an. Anasema anaipenda lkn kwa matamshi yake nahc km hajui kusoma Qur-an. In shaa Allah msomeshe Qur-an na itakua zawadi nzuri kuliko zote kwako na kwake.
Allaah akuzidishie ulipotoa sheikh kishki, na akuhifadhi amiin amiin amiin
Ameen
Amiin Amiin Amiin
السلام عليكم ورحمة الله وبركاته صباح ماشاء الله تبارك الرحمن جزاه الله خيرا وتقبل الله طاعتكم ووضع في ميزان حسناتكم يوم لا ظل الا ظله جعلني أبكي اللهم اجعله من أهل الجنة برحمتك يا ارحم الراحمين
@@assoistiquamat2397
آمين
Mashaallah ALLAH akubarik Sheikh Mtukufu Sheikh Kishki kwa kutekeleza ahadi yako ushauri tu sio lazima ungempa zawadi ya elimu ni ushauri tu Sheikh wangu
Mashallah,Allah azidi kukupa Kheri na hikma Inshallah.Allah akuzidishie imani usaidie wengi.Mimi mwenyewe nimeshashuhudia imani yako nikiwa Mwalimu wa Kiingereza wa darasa la saba la kwanza la Al-hikma Primary School chini ya Uongozi wa Majapa kama mwalimu mkuu.Kheri nyingi kwa Al-hikma foundation. Mwl. OMARI SARAI
✍️✍️✍️✍️ ni shekh mnyenyekevu sana sijawahi ona
Masha Allah Allah azidi Kukuongoza na Allah azidi ampe umri mrefu sheik wetu aki me nakupenda kwa ajili ya Allah
Masha Allha Allhahu Akbalu
Allha akuongoze vema shekhe wetu kwenye kila jambo lenye kheli naww
MashaAllah Tabaraka Allah, ku trend kwenye social media kwa mambo ya kher ni bora zaidi. Allah awalipe kila la kheri
Mashallah kishiki allah akuongezee zaini ya icho alichokupa ili uzidi kusaidia watu nakupe maishamalefu yenye balaka tele kishiki nakupenda kwa ajili ya allah
manshallah jazaka kher Shehk allah tabakaraha akuongezeee mara 3ya ulipo toa
Mashallah Ila uyo alovaa nguo ya ccm ameharibu
Maashallah tabarak'allah Mpaka mwili umenisisimka lillah,,Allah akufanyie wepes kijana salum akupe i'imaan na muongozo #Aameen
MaashaAllah Uislam raha upendo umetawala shekhe Allah akuzidishie na akupe umri mrefu Amin
Amiiii yarabiiy
Maa shaa Allah ..natoka Kenya wallah Allah azidi kumuongoza huyu kijana na atuongoze sote in Shaa Allah..Sheikh kishki Allah akufanyie wepesi ktk kila jambo utakalolifanya yaa raaby..
Mwamba kweli kweli Allah amfanyie wepes katika maisha yake
Mashallah Allah humpa amtakaye Kwa njia aitakayo yeye Allah amuongoze mdogo etc ameen
Mashallah jazaka llahu kheir Mungu ni mwema siku zote na hawezi kumtupa mja wake iyo ni ahadi ya MwenziMung kwa waja wake ,kisha nikuombe tu sheh wangu msaidie kumfunza qurani vizuri ishaalwah atakuwa mwanafunzi mzuri na mwema ishaalwah kheir
Mashaallah wallah ht mie nimefurahi ❤❤ni yy jmn hd viatu ni yy kwanza mie ht sijazingatia kidont kwenye kichwa lkn nilipomuona sura tu nikajisemea ni yy hongera sana mwanangu pia Allah atakulipa kishki ❤
Ma sha allah sheikh kishk Allah akuzidishie pale ulipo toa allah akuhifadhi
Ombi langu naomba huyo kijana umsaidie msomesheni dini ktk shule ya Al hekma ili naye asome dini msaidie i kwa ajili ya allah allah Atakulipeni
Ni kweli ndug yang
Maashaallah wajina wangu Allah akuhifadhi
Na sheykh azd kumpa iman thaabit
Mashaa Allah mabroouk 😍🤲🏻🤲🏻
Shaikh wangu Kishk naomba umchukue awe chin yko asome hpo Al-hikma ❤
Kuran haifam vzr mpeleken madrasa
MaashaAllah
ALLAH akbar nakupenda kwaajili ya ALLAH sheikh uliyechangia kuifahamu haki na kuacha muziki alhamdulillah.nakupenda mwalimu wangu ALLAH akulipe nyiiiingi kheri nakupenda.
Masha Allah Allah awalipe kheri wote kishki pamoja na Huyo kijana wallah nikiwa natazama hizi video machozi huwa yananitoka haswa zile za mashindano
Mashallah Mashallah Mashallah tabarakaallah sheikh Allah akujaze khery kila riziki hakoc sababu kijana c alama ya kichwa pka suruali kaja nao iyo iyo Allah amjalie awe hifadhi quran kama anavyo ipenda amiin yarrab 🤲
Maashaallah Allah akitaka kkuinua na kkupandisha darja huwa ni siku moja tu ambayo hukuitegemea wala kuitarajia Alhamdulillah na Sheikh wetu Nurdini Kishiki Allah akuzidishie Iman na akupandishe darja ya juu kabisa na atakulipa kwa mema unayoyafanya kila lakher kwako
mashallah mashallah allah azid kukujalia kila la kher nawewe shekhe wetu allah akupe maisha marefu yenye afya nzur nawewe ameen inshallah🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️❤️
Ameen
Ma shaa Allah tabaraka Rahman
Sheikh kishik Allah akulipe hapa duniani na kesho Akhera.
Kwawel kijana amefurah sana, na Allah azidi kumuongoza kijana wetu aisome na ayafahamu maneno ya Allah.
Mashaalah Allah akulipe sheikh Kishki ila kubwa msaidie kuifahamu quran na dini zaid
اللهم اجعل القرءان العظيم ربيع قلوبنا ونور صدورنا
اللهم آمين يارب العالمين 🤲
اللهم آمين
Allahumma Aamiin yarabbi
Mungu akuzaidishie iman
Ameen yaraby
Masha Allah Allah atakufungulia rizk zako bila kujua je angeliwa kwenye mpira asingepata hayo
Jazzakallahu khair sheikh kishki❤️❤️❤️
Shekh Kishki assalaam alaykum.baada ya salaam namuomba Allah akupe umri mrefu wenyekheri nawewe na aendeelee kukupa moyo huohuo wa kutoa na kuwasaidia waislam kwa ajili ya Allah.kwakweli kutoa nimoyo nasio utajiri .
Masha Allah Shekh mm ninaombi kwakuwa kijan. Huyo anapenda Quran kwa nn asijifunzee shule kwako akijafunza na Quran kam inawezekana In Shaa Allah
Mashaallah Mashaallah Mashaallah mola atakulpa malipo mema shekeh we2 nurdin kishki
Kweli riziki inatafuta sababu Ma Shaa Allah Tabaaraka Allah
Masha Allah. Sheikh Nurdin Allah akulipe khery.
Ombi langu kwako, mchukueni huyu kijana Msomesheni Quran na Sunna Sahihi za Mtume Muhammad Swalallahu alayhi wasallam
Ofa hiyo ameshapatiwa
sheikh nurdin ufanyayo hayana kifani wala mfano,,, nimalizie kusema tu,,,, allah akulinde na mahasid, husda na vijiicho na watu wa baya, kukitangaza kitabu cha allah
MashaAllah Nimelia kwakweli 😭💪 ila ushauli wangu bado mdogo asifanyie kaz yy hyo Awakabizi wazazi wake watafute dreva muaminifu na aifanyie kazi itamsaidia kwenye masomo yake shekh kishiki Allah aulipe
mashallah Shekh Kishki kwa kuindeleza dini ya Allah mbele minkuli-hali, Allah atakulipa ujira wako insha-Allah zaid ya ulishotoa kwa ajili yke
Masha ALLAH barakah ALLAHU FIQU ulipo toa sheikhe wetu ALLAH akuzidishie maradufu ❤kwa ajili ya ALLAH
Aaaamin yaarabil alaamin🤲🤲🤲🤲🤲
Daaah mashaallaah, Allaah Akbar.. hadi machozi yamenitoka wallahi
Mashaallah mungu akuzidishie imani shemhee
mashaallah allah akuzidishie I Imaan sh kiski wewe ni mfano mzuri wa kuigwa na waislam kwa kweli tangu juzi nafuatlia machozi ta furaha yamenitoka kwa jamboree hili
Mashaallah Allah akuzishie zaid ya ulichotoa shekh wetu tunakupenda kwa ajili ya Allah Allah akuhifadh nshaallah
Hakuna mola hapassae kuhabudiwa Kwa hakih na Mali isipokua Allah pekee.
Allahu Akbar! Allahu Akbar! Allah Akbar!
MashaAllah, sheikh wetu nakuombea kwa ALLAH akulipe kheri duniani na kesho akhera
Mash Allah shukran shekh kishki umenitoa machoz shekh wangu na mimi natamani sku Moja tukutane shekh wangu unibusu kichwa unipe Baraka zako 😢😢
Tulia wew
@@hijazhija316 😂😂😂dah
Baraka zinatoka kwa Allaah tu, sio kwa binadamu ww
@@salmamohamed784 hata wewe waeza nipa barka zako pia sio mbaya
@@hijazhija316 😂😂😂
MashaAllah,MashaAllah!MashaAllah! I proud to be a Muslim Alhamdulillah
Mashallah nurdin kishik,,Allah akupeee pepooo,,,, ilyoo juuu,,, kwaa Kaz nzurii,,, nakuelewa vzr snaaa
Allah akulipe kila lenye kheir Shekh Kishki
Mashaallah shekhe nurudini mungu kupe umrimrefu hakika na kupenda kwaajili ya Allah
MashaAllah,JazakaAllahu kheir
MAASHALKAH ❤ SHEKHE 😭HAYO YOTE NI KUTOKANA NA DINI YETU NZURI UISLAM DINI YA HAKI TUZIDI KUWA NA IMANI YARABI🤲
Mashallah shekhe nurdin kishik
MaashaAllah ..Allah amlipe kheri
Allah Akbar nimetoka machozi ya furaha Allah akulipe kheri sheikh
Mashaallah mashaallah Allah akupe umri mrefu shekhe wetu inshaallah ❣️
Asalam alaykum warrahmatullah wabarakatu pendekezo kwavıle nı mwanafunzi Angepata fursa ya kupata elime Bora katika school za alhıkma
Waalykum salaam warahmatullahi wabarakatuh
Wallah nimelia kwa furaha Allah atuzidishie imaan tuzidi kuipenda dini yetu na kuipambania Allah atufishe akiwa ameturidhia In shaa Allah
Ameen thumma ameen
MashaAllah Mwenyeez Mungu aendelee kukujaza iman Shekh Kishk Mwenyeez Mungu akupe kher ya kher hapa dunian na kesho akhera
Ma shaa Allah... Sheikh Kishki kweli uko vzur Kwenye msingi mzur wa haki Jazaa yako utaipata kwa Allah in shaa Allah
❤ toka juzi natafuta km amepatikana, Ma Shaa llah atimaye,, eeh sheikh kishk Allah akuzidishie zawadi ya manaa
mashallah Allah barik
Maa sha Allah Maa sha Allah tabaraq Rahman
Mashallah..... Sheikh Mungu akujaze kila la kheri.... Tumefurahi kwakutuonesha mfano mwema zaidi kwa mashaikh wengine japo pia wao ni wema
Mashallah sheikh mungu akuzidishie wema wallah mpaka natokwa na machozi....mashallah salim
Mashallah am proud to be a muslim🎉🎉❤
Mm natakanambazako
Uislamu ni neema kubwa kutoka kwa Allah tabaraka wa ta'ala, sio ufakhari
Naitwa Husna Ali said kutoka OmanMashsllah she wetu Allah akupe kilalakheri nafamillyayako.awachaguwekwenye kundi la waliochaguliwa.kuingia firdaus,Amin
Mashallah mungu atufungulie kheri na mazuri inshallah, ila mwakani panapo uhai na majaaliwa pasije kunyesha mvua wallah vijana wenzangu tutabeba na mikeka wallah
Hhhhhhhh kama ulikuwepo kwenye akili yangu
Macha Allah
Mashaallah mashaallah allah amzifishie iman na amfanyie wepesi katika maisha yake
Mashallah shekh kishki Allah Akulipe kwakila unachokitowa unatowa kwaroho safi. Mashekhe wengine mfanye kama huyu mwezenu
Alhamdulillah kijana Allah amfungulie kul kheirawe na msimamo katika dini,na amepewa zawadi nzuri sana yakumuendeleza,awe na maarifa ya kurafuta pesa ya halali mpeni funzo hiyo piki sio ya kuazima mtu hata rafiki au hata kuzururia mitaani marafiki watamfuata au kumhadaa waweza hata kuipoteza tu awe na akili hiyo ajijenge na kumsaidia mama yake na tete mwenyewe, DUNIA MBAYA MAHASIDI NI WENGI TU
Yeye *
TAQBIIR, YANI MACHOZI YANA KARIBIA KUTOKA SHEIKH MASHALLAH JAZAAKUMULLAH KHEIR ALLA AKULIPE MALIPO MEMA YASIO NA IDADI INSHAALLAH
Mashallah allah akibar
Maashaallah Allah akulipe Kwa juhud zako ktk din yetu
Allah akuhifadhi sheikh wetu
Shukran sana sheikh Kishky hakika wewe ni sheikh wa kupigiwa mfano Allah akuzidishie umri mrefu na akuzidishie barka na akuondoshee chuki na hassad miongoni mwa wanadamu hili ulilofanya hakika litaendelea kuwa historia duniani na kesho akhera na litakuwa nuru miongoni mwa nuru za Allah kwako ,hakika upo tofauti sana Namuomba Allah azidi kukuondoshea kibri na majigambo ,umwinyi na majigambo katika maisha yako uendelee kujichanganya na watu wa Rika zote katika kuitetea dini ya Allah wengine hata kuwapa mkono tu skuhizi inakuwa shida mpaka upite kwa makatibu wao kwanza hii imekuwa khatari sasa hakika "ALLAH ANA WATU NA WATU WAKE NI WATU WA QUR AN"
Shekh mm naombaa umpe nafasi yakusoma ktk shule ya al hakma boys 😢😢😢 plzzH Allah atakulipaa
Aslm alkm ww.... Masha Allah 🌹 Sheikh wetu kipenzi. Allah akulipe Jannah firdous sheikh Noor deen. Masha Allah ❤❤❤❤
Maa shaa Allah TabarakahAllah
Maashallah Taqbirii
Mashaalaa hongera sana shekhe wangu, Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi ktk harakati zako za kuipeleka mbele dini yetu.
Mashaallah walahawla walaquwata ilabillah,mashaallah
Ma shaa Allah hadi rahaa machozi ya furaha yanitoka wallahi, Sheikh wetu kipenzi Allah akuzidishie palipo pungua na akuhifadh na mahasidi Amiin Amiin Amiin
Ameen
Mungu ni mwema sanaa Alhamdulilah 🤲 kila kitu kina wkt wk Mungu achelew na kila kitu kina sabab Allah azid kutuongoza ktk din yetu Inshallah
Mashaallah bado mdogo sana mwenyezi mungu akuongoze in shaallah
Allah awape barka