Watoto Yatima; || Official Lyrics Video || CoB™ Children's Choir

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ต.ค. 2021
  • Watoto Yatima wametapakaa kila Kona katika ulimwengu wa zama hizi za mwisho, siyo kwa kujitakia bali inatokana na sababu lukuki, majanga, ajali, magonjwa yasiyotibika hata ugonjwa wa Corona umechukua wazazi wengi na kuacha watoto wasio na waangalizi wala walezi! Wamebaki Mayatima bila kujitakia. Sikiliza wimbo huu utaacha ALAMA moyoni mwako na kugusa hisia zako..

ความคิดเห็น •