Napenda hii podcast coz these guys hawakai chini kutuambia life in theory,,,ni wasee wamepitia practicals za life 💯 that makes them worth listening to 🇰🇪🇰🇪✌️🔥
Walai si fity ,, Ushai kua addicted na anything halafu time unaexpect kua nayo inakosa ebu get that feeling so msitunyime episode please apologies please juu hamkutufanyia fity last week *Wagwan wadau😊*
Hizo story walai zilikua tukiwa watoi aki .... Kwanza za shule aki😅😅aty shule za kayole public zilikua hosi then moja ilkua mortuary so ilkua inafanya watu wadedi ndo wakam kwa hio mog
What happened last WEEK? ,,, I kept refreshing my TH-cam channel to check if you have uploaded a video. Trevor bwanaaa, omusiani wefwe wa Busia. Every week we expect you guys to drop something.
Ile kitu mmetufanyia last week we as 97s podcast family we demand an apology na si ety nini😢😢😢
aki na ikue written apology ju uweh😢
Niko sure hata ilikuwa idea ya Dante watupee apology 😢
We need two podcast
Ikr 😢@@tinanandwa2439
Fr sure been wondering kwani watsup nkaboeka mbaya😢😢
Hizi episodes watu kama mimi tushaakua addicted nazo mwache kutuweka sana ivo🙆♂️
Mnangojea tukuwe addicted ndio mcheleweshe podcast sindio🤧🤦♂️😂
Mwenye alinifunza 3 men army podcast thank you enjoy from Saudi Arabia ndo niko episode 48❣️❣️❣️
Napenda hii podcast coz these guys hawakai chini kutuambia life in theory,,,ni wasee wamepitia practicals za life 💯 that makes them worth listening to 🇰🇪🇰🇪✌️🔥
My Gs always delivers wapi likes za Trevor kanono 😂😂
sikujua ni kanono😂😂
Sijawai ongojea podcast hivi banaa😂😂😂karibu nishangae what happened to you guys😂😂😂I love you guys
tumekua addicts sasa🤣🤣🤣
tumekua addicts sasa🤣🤣🤣
97s podcast addicts>>>>>
Manze then wanadelay 😂😂
Since Monday been on this app every 3 minutes kuona kama mme update 😢😢mmenieka sana 😅😅😅
Finally I have long awaited for the 48th episode Wewe Dantez ,Trevor na Monti 😚😊Dantez ❤️😍
Dante my love ❤ ile missment nimewamiss nayo,what happened anyways mafans bado tuko😅😅
Na mkiskip we demand a memo with a reasonable explanation😂
Khaai you people nmeteseka last week bana finally🎉🎉😂❤
Leo mume tu notify mapema.
apologize accepted.
na musi rudie.😂😂😂😂
I have been cheking on their page every now and then 😂😂😂mmetuweka sana na venye tuko addicted
😂😂me and you both
Not me Evry day stalking for new episode jameni finally goddamit🎉
hapo kwa Air freshner najua morio wangu ....umbwaa yeye
Dan alikuwa anataka kusema huyo msee wa miwa alisku-miwa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Bwana last time i waited mbaka nilikua na search kila siku yutube nikidhani imenipita
Nimefika late but bell 🔔 iko on sai❤❤
Let's grow by supporting others ❤❤
Mimi sio celeb but 😢i love everyone reading this mnipitie
Apart from you guys being super funny ile knowledge mna throw na insights 💯💯 Best podcast ever
Wee ebu msifanye pressure zetu zipande yawah ❤❤❤❤❤❤tumewamiss mbaya
Ati panguza mapua,imesweat😂😂😂😂
Ndo kudundaa kudonjoo na ndo kudonjo kudundaa masaa haifiki😂😂
ngoja ngoja huumiza watu . ama director hajui hiyo
Deadly majamaa 👏🏽hamjawahi kutuangusha
Nimevisit hii site ya youtube kusearch next podcast last week yoteeeeeeeeeee......msiwahi tufanya hivo
Finally I had missed you guys❤
Nyinyi Trevor Dante na monte acheni kutueka Ivo bila new episode guys I have been checking daily
This week karibu nitafute namba zenu niwaulize Kwan kuna nni ...episode or wisdom inachelewa is nni😅😅
Maumbwa nyinyi mnatuekea episode 48 aje..mkiweka tena ivo tena tunatuma mamorio wa mathare wamnyandue.
From minute 40 to 52. Pure facts and life advice. Likes za hii podcast🔥💯
Hiyo ya chapo nayo ni ukweli😂iklikua Mathare 4A primary school
Rewatching this ❤ after listening it on Spotify ❤
You guys are the best,,I love you all
Hiii inakaa kuwa 🔥🔥🔥
asanteni sana kwa ku-spit facts 😁😁
dante always the wise one...trevor ni mjinga funny
Mnaeza ongelea watu ni mababy daddy😅😅😅na hawako na baby mamas wao like mbn wao ni red flaga
Wisdom imejaa kwa hii podcast manze!!💢😎 Big up !!
Muwache kutufanyia ivio last week mlituweka parking niaje 😢😢😢
Am also from kariobangi na iyo story ya food kutoka kwa tap was there😂😂😂
Hii okra moya na mrenda kuna tofauti kweli 😮
Wagwan wadau more love 3Men Army ❤❤❤Finally team strong 💪 we're happy 😂😂😂😂😂
Favorite podcast in the universe 😮😮😅
Listened to this episode on Spotify lakini haikua na feeling flani kama watching while listening 😅💔msitutese tena hivo
I know ,even after listening u still want to watch😂
Ady nikasearch kuona kama n mm sikupata notification 😂
The best Podcast I know 😍❤️
Episodes zenu zinakaa sanaa before new ones
okra bado ni food so ukipata msee akibuy relax ni food......😅😅
Episode next ni kitu ya kunyima watu surely😢😂
Imagine😂😂😂😂
Surely😂
Aki nyinyi mnaoverthink sana 😂😂😂😂😂
Aki nyinyi mungu anawaona 😂😂😂 mlikua wapi last week
Dante we mzee😂 Trevor hukula kwako, bargain kidney
Last monday haikuwa sindio🤣🤣💔 nliteseka sana
This thing is so addictive aki walai....was really waiting 😅😅😅
Lastweek nilikuwa nachizi😭 obsession ni mbaya😂
Another new week wadau.Tuned in🔥🔥🔥🔥🔥
Walai si fity ,,
Ushai kua addicted na anything halafu time unaexpect kua nayo inakosa ebu get that feeling so msitunyime episode please apologies please juu hamkutufanyia fity last week
*Wagwan wadau😊*
Kabisa
Naona mnakam tu banaaaaa😂😂😂😂
kipkenyoo😭😭😭home town😂😂
kidogo niende DCI buana kureport,harakisheni kabla nifike huko
walai kama Dante anjua hio story ya chapo😂😂😂
😂😂😅my favourite podcast at all time❤❤❤
Aty Trevor ni mchoyi😅😅😅na ni mnono😅😅😅
Na si mmerudi na ubaya😅
Mmekuwa wapi aki nyinyi..you need to apologise juu hamtatupea heart attack....what is all these now 😢
Hii episode imejaa wisdom tupu.😂😂😂😂 Wapi likes
Story ya Dante ya Chapo ni ukweli.Iyo shule inaitwa Drive inn
Imekuwa noma sana ata 1 hour imenikalia fupi
In love Na mkono za Trevor😂
Last week mlitutenda sindio😂😂😂
Sai ndio wanaitoa TH-cam 😂 man we missed it
Yani last week mme tuweka pending and your not even apologizing......mko na bahati hii si TikTok tunge report account araka sana😂😂😂😂😂
3men army my favorites💜🦋💜💓
Stori na boina.... Akiwin mvp aje sasa😮
Ati iyo kitu msiende kutafuta na nishaakimbia kushuhudia😂
Mfans bado tupoooooo😂
Trevor ako insecure na hio food manze😂😂😂
Nyinyin mnangoja uku mm nishaskiza pale Spotify
Venye inafaaa
Pewa thermos yako ...well done.. 😩
Mmmetucheza hii ni ya kitambo bna
Next time dont keep us waiting, mtafanya tubebwe na maji kabla tuone next episode
Tumesubiri Sana sahiiiii😂
Hizo story walai zilikua tukiwa watoi aki ....
Kwanza za shule aki😅😅aty shule za kayole public zilikua hosi then moja ilkua mortuary so ilkua inafanya watu wadedi ndo wakam kwa hio mog
I love the house set up
Huo Mathe Monty amesema hunishtua daily😭🫤
Hii ni moto🔥🔥🔥
Leo tulikuwa tunaexpect video mbili,,last week mmetufanyia ile kitu
Wadau karibu niwasahau😂😂
hehe ...huezi elewa😣🤣🤣🤣🤣😎
Ama floods ilibeba vitu za podcast
😂😂😂😂😂😂
Dante iyo primary ya mathare ilikua inaitwa ( drive inn primary school ) izo story zilifanyanga nisiwai enda kucheza iyo chuo,wengine walikua wanasemanga ukiwa choo unaona mkono ikikupea tissue😅
Mahn mmetukalisha episode 😢but finally 😂
Msiwai chelewesha drug yangu tena
Waaaaagwaaaaan getting better and better ❤
i just love trevor🤣🤣
Last week mlituwekaa 😂😂❤
Last Monday hawakutupea episode 🥹finallllyyyyyyy🎉
I know 😂😂
Kwani mulikuwa munataka nibebwe na mafuriko😂
What happened last WEEK? ,,, I kept refreshing my TH-cam channel to check if you have uploaded a video. Trevor bwanaaa, omusiani wefwe wa Busia. Every week we expect you guys to drop something.
Waliweka spotify😢
Tunawadai episode ya last Monday wadau
Bana haikutoka
Wagwan wadauu🎉