Sub'haana llah 😮😮😮 nachojua me uislam so kanzu wala kuvaa vilemba uislam nikujizuia na makatazo aliyo yaamrisha Allah na kuyafuata yale tuliyo amrishwa tufanye' sasa hiki nin et ndo tunaamrishwa tufanye hvi kweli mbona tunaidhalilisha dini yetu, sasa ☝️huu sini mziki kabixa Tena wa vijembe mmmh so pw
Nikweli kaka achananao wenye vijembe kazi kali sana2❤❤
Sub'haana llah 😮😮😮 nachojua me uislam so kanzu wala kuvaa vilemba uislam nikujizuia na makatazo aliyo yaamrisha Allah na kuyafuata yale tuliyo amrishwa tufanye' sasa hiki nin et ndo tunaamrishwa tufanye hvi kweli mbona tunaidhalilisha dini yetu, sasa ☝️huu sini mziki kabixa Tena wa vijembe mmmh so pw
Hiyo nd zanzbr
Subhana wallah yarab tunusuru na vizazi vyetu lakini huu ni mtihn kwetu ss waislm
Sawa
Kabisa
Hiii Kaz kali
Ndio kiongozi Asante sana kwahilo
Mmmh sina usemi mie
Kwanini
Safisana
NI kwer NI mtihan sna waislamu ii NI nni sas
😆😆😂😂