UST. MATHAYO AMALIZA UJANJA WA MCH. NDACHA KUSEMA MTUME ALIROGWA hiyo ni hadithi dhaifu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024
  • LEO TENA TUNAENDELEA KUANGALIA JE, MTUME SAW ALIROGWA? NA JE, ALIROGWA NDIO ANAKUWA SIYO MTUME WA MWENYEENZI MUNGU, MBONA TUNAONA AYUBU ALIROGWA?

ความคิดเห็น • 94

  • @salimmohamed7933
    @salimmohamed7933 4 วันที่ผ่านมา +2

    Masha allah simulizi Asante sana kwa channel ya kuilimisha tuna Pata faida sana sisi waisilamu. Kupitiya sheik huyu nimefahamu sasa dini yangu . Asante sana simulizi. Naomba kila siku atupe elimu. nyege sana.

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 4 วันที่ผ่านมา +1

      Shalom Maranatha, I LOVE JESUS CHRISTIAN I'm Proud to be a Christian hallelujah hallelujah hallelujah!!😅

    • @walidmgonja3644
      @walidmgonja3644 4 วันที่ผ่านมา

      ​@@paulmushi2428we mlevi huwezi kuuacha ugalatia kwa sababu ukiwa muislam utakatazwa,pombe,nguruwe na wizi,mambo ambayo kwa mchaga ni desturi

  • @aloycelucas1823
    @aloycelucas1823 4 วันที่ผ่านมา +1

    Uko vizuri kwa porojo hongera sana,

    • @sultanbakary4292
      @sultanbakary4292 4 วันที่ผ่านมา +1

      Imekuingia hiyo

    • @bitsanjE
      @bitsanjE 4 วันที่ผ่านมา

      Kweli huyu jamaa kwa porojo apewe tuzo tu

    • @AbdulkarimShosi
      @AbdulkarimShosi 3 วันที่ผ่านมา

      Porojo ziko kwenu kwenye ukiristo mumezoea kudanganywa

    • @hassanjuma2772
      @hassanjuma2772 3 วันที่ผ่านมา

      ​@@bitsanjEhata mtu akajitokeza mitandaoni kusema amejiamini kwa anachokisema.kwa hio unachotakiwa umtafute mfanye majadiliano ili na sisi tukipate ulichonacho tufahamu tusiyoyajua kutoka kwako,kinyume ya hapo ndo itakuwa porojo ipo kwako. Na pia maneno yanahitaji ufatiliaji kwa watu wenye kutaka kumjua Mungu wa kweli,na ili ujue unatakiwa uzingatie mambo manne
      1)uwe msikilizaji mzuri.
      2)uwe muulizaji.
      3) usiwe mpingaji au kuleta ubishi usio na muelekeo.
      4)uwe na hoja za msingi

  • @IMRANITV1
    @IMRANITV1 4 วันที่ผ่านมา +8

    Mboni unaatuwekea fupi yaani na penda mafundisho yake dahhh tuwekee ndefuuu jana kuna mama na wanawe wamesilimu kupitia mada hizi hizi za sheke matayo❤❤❤❤❤

    • @qwerqasd8597
      @qwerqasd8597 4 วันที่ผ่านมา +2

      Mashallah tabarakallah Allah azidi kuwaongoza pamoja na sisi

    • @IMRANITV1
      @IMRANITV1 4 วันที่ผ่านมา

      ​@@qwerqasd8597aamina p¹

    • @ernestbensonmwamengo1642
      @ernestbensonmwamengo1642 4 วันที่ผ่านมา

      Ameshasema wasabato watumishi w KWELI WA MUNGU wanaomfuata MUNGU Kwa unyenyekevu...waislamu wa kweli hata SABATO ya BWANA wananyenyekea . Ila waislamu wa Allah hawanyenyekei amri ya MWENYEZI MUNGU ya kupumzika. Huyo MATHAYO afanye mdahalo na Ndacha.

  • @joachimluhamo3042
    @joachimluhamo3042 4 วันที่ผ่านมา +1

    Na nyinyi waislamu mmemkataa Yesu kama wayaudi mnatofauti gani na wayaudi

    • @Educatedmind-k9r
      @Educatedmind-k9r 4 วันที่ผ่านมา

      Hakuna muislam anayemkataa Issa bin Mariam😂. Ni mtume kama mitume wengine kama alivyojinasibisha yeye mwenyewe katika vitabu visivyo na shaka ndani yake

    • @jakuabdull34
      @jakuabdull34 4 วันที่ผ่านมา

      Hakuna muislam anaemkataa yesu kwa maana ya issa ila ni mtume wa mungu na c mung wala mwana wa mungu hata na wewe unatakiwa kuamini hivyo

    • @huseinshedrack6180
      @huseinshedrack6180 4 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂😂😂hayo ndio mawazo nilio kuwa nayo kabla cjaslim,ila baada kuslim ndio nimejua hakuna watu wanampenda Yesu km Waislam

    • @ZayyanaBamuni
      @ZayyanaBamuni 4 วันที่ผ่านมา

      Yesu nimuislamu mwenzetu hatujawai kumtaa,nyinyi ndio mmemkataa koz hakuna ata kitendo kimoja nmachomuiga

    • @hassanjuma2772
      @hassanjuma2772 3 วันที่ผ่านมา

      ​@@huseinshedrack6180hongera Hussein,kwa maamuzi mazuri.bali nataka uamini ukitoka kwenye uovu Kuna changamoto kwa waovu uliowaacha,kwa mfano,ukiacha unzinzi wanzinzi uliowaacha watakuona ukufanya jambo la mana,ni vile vile,kwenye ulevi,upigaji ngoma,uvutaji bangi na sigara nk

  • @favoritebrayo
    @favoritebrayo 4 วันที่ผ่านมา +1

    ata mjifunze lugha ya binguni hamuendi ng-o

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 4 วันที่ผ่านมา +1

    Kwahiyo kwa utumbo huu wa huyu shekhe ndiyo unaandika heading kuwa amemaliza ujanja wa Ndacha? Kila wakati nakukumbusha deading zako haziendani na ukweli halisi wa mada husika

    • @samxx411
      @samxx411 4 วันที่ผ่านมา

      Je simulizi ashakuwa anakera kwa sababu ya ukweli...simulizi jitayarishe madhali unahoji penye ukweli tegemea na wewe kuanza kupata maneno.

    • @AbdulkarimShosi
      @AbdulkarimShosi 3 วันที่ผ่านมา +1

      Daudi Michael huyo ndacha wako ni mweupe kweli kweli Hana ajualo kuhusu midahalo yeye ni mbishani na kutafuta umaarufu

  • @AntonyManeno
    @AntonyManeno 4 วันที่ผ่านมา

    Wewe Uko Na Hadithi Daifu😢

  • @memorataedson7895
    @memorataedson7895 4 วันที่ผ่านมา

    anaonekàna ni mission town muongo muongo

    • @AbdulkarimShosi
      @AbdulkarimShosi 3 วันที่ผ่านมา

      Waongo ni nyinyi mulopandikizwa matango pori kwenye vichwa vyenu bila kujijuwa

  • @jeanninemunezero6469
    @jeanninemunezero6469 4 วันที่ผ่านมา

    Hoja za ndacha hakuna hata mwisilamu umoja dunia muzima anaweza kuzijibu mpaka yesu arudi hakuna hizo ni pologo zako tuu humuwezi ndacha

    • @erishaaboumpangaje8597
      @erishaaboumpangaje8597 4 วันที่ผ่านมา

      Unajitekenya wewe..pasta wako ndaca Hana hoja ni ubishi. Na kuhusu ubishi Kila mtu anaweza kuwa mbishi.lakini mwalimu wahoja siyo ndacha ni mubishi tu

  • @rejim2231
    @rejim2231 3 วันที่ผ่านมา

    Msikie uyu pepo, Mtume MUHAMMAD eti na nuru kama YESU. Uyu mpinga kristo sio makosa yake, Makosa ni Muhamad nabii wa mchongo ndo anaempotosha.

  • @aliabdallah8456
    @aliabdallah8456 4 วันที่ผ่านมา +1

    Kwa nini Yesu hakuwa na mke kama mitume yote iliyopita wote walikuwa na wake tena zaidi ya mmoja lakini Yesu hakuwa na je hakuwa RIJALI kama mitume mingine naomba Mashekh mtujulishe kwa nini au hakuwa mwanamme aliyekamilika

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 4 วันที่ผ่านมา +2

    🔯🕎🇮🇱❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️Shalom, Shalom Maranatha, hosana, YESU KRISTO MWANA WA MUNGU yu HAI, hallelujah hallelujah, JEHOVA JIRE!! I LOVE JESUS CHRISTIAN❤❤❤❤❤❤ I'M Proud to be a Christian ✝️✝️🛐🛐 GOD is Good😅 🙏🙏🖐️

    • @Educatedmind-k9r
      @Educatedmind-k9r 4 วันที่ผ่านมา

      Pole sana ndugu. Naona umeweka bendera ya Israel, nchi ambayo hata haitaki kusikia ukristo ni nini. Pole sionkosa lako bali aliyekumezeaha matango😅

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 4 วันที่ผ่านมา

      ​@@Educatedmind-k9r🕎🇮🇱🔯 Hilo siyo ajabu hapa duniani Kuna baadhi ya watu wanakana Uwepo wa Mungu, je hiyo itamfanya Mwenyezi Mungu
      asiwepo kweli? 😅😅 I LOVE JESUS CHRISTIAN❤❤❤ I'm Proud to be a Christian hallelujah hallelujah ✝️🛐🙏🖐️😅

    • @ZayyanaBamuni
      @ZayyanaBamuni 4 วันที่ผ่านมา

      😂muiisraili mweusi katika ubora wako

    • @rejim2231
      @rejim2231 3 วันที่ผ่านมา

      @@ZayyanaBamuni mwarabu mweusi katika ubora uliotukuka

  • @amisimayani2645
    @amisimayani2645 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyo jama nimuongo asema sivyo huo labda ni u islam ukristo unjulikana na kuheshimiwa sana

  • @tanzanite9944
    @tanzanite9944 2 วันที่ผ่านมา

    Huyu Jamaa kakaa Upumbavu sana hajui lolote. Eti anasema Mwanaume ndiye ana Uchungu w Mtoto na Mama hana Uchungu kwakuwa alibeba tuu Mimba. Jamaa sijui anavuta kitu gani maana hajielewi Kabisa.

  • @Maarifa_Film
    @Maarifa_Film 3 วันที่ผ่านมา

    Kwa hizi topic ambazo Simulizi una deal nazo naamini ipo cku Utasilimu2 km Mungu akipenda coz Uko very sensitive na unauliza maswali vizuri ukipata Wasaa wakutasmin hizi hoja lazima ubadiri muelekeo Hakilillah ☝️

  • @rejim2231
    @rejim2231 3 วันที่ผ่านมา

    Uyu jamaa sidhani kama mzima, eti yeye ndo mwenye uchungu wa kuzaa na sio mke wake anaebeba. Uyu jamaa nahisi katokea vingunguti. Ivi kwann waislam wanawabagua wanawake?

  • @Maarifa_Film
    @Maarifa_Film 3 วันที่ผ่านมา

    Mwamba namuelewa sana Mungu aendelee kumpa maujuzi zaidi ili awe 7bu ya kuwavua wengi gizani, Ukiona wanao comment Ujinga ndio wale wale wa Paulo lkn Wenye akili zao timam wanajifunza vingi na hatma yke wanachagua njia iliyo sahihi❤

  • @Maarifa_Film
    @Maarifa_Film 3 วันที่ผ่านมา

    Waisilamu tuna watu bhana fahari ya Uisilamu hii, na mm namuomba Mungu anijaalie niwe na Vidume Wenye Kubainisha Dini ya Allah na kuipeleka mbele🎉

  • @wakeshojana
    @wakeshojana 3 วันที่ผ่านมา

    Hiyo Yuda 1:4 makafiri ni waislamu!!
    mnaosema Mungu kuwa na Mwana ni ufisadi!!

  • @Glen-v2i
    @Glen-v2i 2 วันที่ผ่านมา

    Izi vitu zote ni stori za jaba akuna alienda binguni akajua dini gani ya ukweli huenda hata binguni haipo

  • @petermgonja8547
    @petermgonja8547 วันที่ผ่านมา

    Huyu anahubiri mwenyewe, weka mkutano

  • @POVELSPORTS
    @POVELSPORTS 4 วันที่ผ่านมา

    DA aah kwl kuish kwng Kuona MENGI 😂😂😂

  • @rejim2231
    @rejim2231 3 วันที่ผ่านมา

    BAADA YA YESU HAKUNA NABII MWINGINE ALIETUMWA NA MUNGU, UYU MUHAMMAD KATOKEA WAPI?

  • @bitsanjE
    @bitsanjE 4 วันที่ผ่านมา

    Kama ni dhaifu kwa nini ikaandikwa?

  • @rejim2231
    @rejim2231 3 วันที่ผ่านมา

    Nabii wa kweli hawezi fanyiwa upasuaji ndugu, Mtume Muhamad ni wa mchongo ndugu shtuka.

    • @hassanjuma2772
      @hassanjuma2772 3 วันที่ผ่านมา

      Enhee nimeshtuka Sasa unitoe katika uislamu kwa hoja zenye mashiko,kwa hoja Kama hio uliotoa na mm hoja Kama hio yesu hawi Mungu kwa sababu alibebwa na ibilisi Hadi milimani akaonyeshwa vilivyo katika ulimwengu na akaambiwa amsujudie ili apewe vyote vile, jee Mungu gani abebwe na ibilisi halafu aambiwe atapewa vitu ambavyo ameviumba mwenyewe .

  • @ernestbensonmwamengo1642
    @ernestbensonmwamengo1642 4 วันที่ผ่านมา

    Kumbe Kuna hadithi dhaifu katika UISLAMU? Kulingana na heading

  • @GeraldMswazi-bp2kw
    @GeraldMswazi-bp2kw 4 วันที่ผ่านมา

    Simulizi ikimuhoji huyo bwana mwambiye atoe ushahidi Kwa maandiko hatutaki porojo nyingi Na Maneno YA akili yake.

  • @kefaongera192
    @kefaongera192 4 วันที่ผ่านมา

    Nyie waislamu siku ya kiama mtakimbilia wapi?
    Mnapinga nn?
    Mnafunza nn?

    • @Maarifa_Film
      @Maarifa_Film 3 วันที่ผ่านมา

      Tutakimbilia peponi, tunapinga Ukafiri na tunafunza watu waiendee njia iliyonyooka ya kumwendea Mwenyezi Mungu direct 👈 nyie simtakimbilia Mbinguni ambako hakutakua na makazi cku hyo Mbingu zote zitakunjwakunjwa na milima itapeperuka km Sufi angani👈

    • @AbdulkarimShosi
      @AbdulkarimShosi 3 วันที่ผ่านมา

      Sisi waislamu tutakwenda peponi yaani paradiso nyie wakristo mutakwenda jahanamu kwa sababu yesu hawajui Wala hakutumwa ila kwa nyumba ya israel

    • @hassanjuma2772
      @hassanjuma2772 3 วันที่ผ่านมา

      Kwani unauhakika yesu atakuona kwenye umati wa watu wengi

  • @fadhilabbas5784
    @fadhilabbas5784 4 วันที่ผ่านมา

    Si wasome hio Aya anayosema kuhusu shetani kuliko kusema tu kuna ayah ,mwambie asome hio ayah sio tu kusema kuna ayah kuna ayah , iwapi na isomwe

  • @clewis520
    @clewis520 4 วันที่ผ่านมา +1

    Suni na shia ni ndini mbili tofauti…ahahah

    • @ZayyanaBamuni
      @ZayyanaBamuni 4 วันที่ผ่านมา

      Ni sawa na Katoliki na Sabato

  • @onasisthegreat1946
    @onasisthegreat1946 4 วันที่ผ่านมา

    Simulizi hapa sasa naona ni views unatafuta

  • @GeraldMswazi-bp2kw
    @GeraldMswazi-bp2kw 4 วันที่ผ่านมา

    Simulizi ikimuhoji huyo bwana mwambiye atoe ushahidi Kwa maandiko hatutaki porojo nyingi Na Maneno YA akili yake.

    • @hassanjuma2772
      @hassanjuma2772 3 วันที่ผ่านมา

      Inakuwa wapi au umelala maana ushahidi ametoa mwingi au unakusudia kusema hayo maandiko ya kwenye biblia ni porojo?

  • @IMRANITV1
    @IMRANITV1 4 วันที่ผ่านมา

    Hahaha uuuwihhh wananyolewa mavuzi live😂😂😂 na meno kung'olewa washenzi kabisha wakristo dahhhh

    • @aasatt78
      @aasatt78 4 วันที่ผ่านมา

      Toa mafundisho usitukane ndugu matusi hayafai kwenye uislamu

  • @IMRANITV1
    @IMRANITV1 4 วันที่ผ่านมา

    Mimi nibora uislamu kuliko ukristo kung'olewa meno akuuuu😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 4 วันที่ผ่านมา

      Shaloom Maranatha, I LOVE JESUS CHRISTIAN ❤❤❤❤❤❤❤❤❤ I'm Proud to be a Christian hallelujah hallelujah 😅🙏🖐️

  • @abdulazizkassim775
    @abdulazizkassim775 4 วันที่ผ่านมา +1

    Tatizo ya hawa ma sheikh hawajuwi dini ya uislamu , wanajuwa bibilia sana lakini corani na hadith hawajuwi .
    Sheikh shafii tou ndiye anajuwa machallah

    • @walidmgonja3644
      @walidmgonja3644 4 วันที่ผ่านมา

      Naona wewe kafiri mwenye jina la kiislam ukweli huu unakuuma.

    • @abdulazizkassim775
      @abdulazizkassim775 4 วันที่ผ่านมา

      @@walidmgonja3644 hadith ya mtume kourogwa ni ya kweli kabissa ila yeye yakujuwa kweleza
      Alafu ayat nyingi anazikoseya kuzisoma na tafsiri yake

    • @IMRANITV1
      @IMRANITV1 4 วันที่ผ่านมา

      Nawewe ni katika wale munainamiwa kanisani sio bure maana shekhe anaongea na wakristo nawewe unamshambulia au asifundishe wewe ni shoga kama papa benedikt

    • @IMRANITV1
      @IMRANITV1 4 วันที่ผ่านมา +1

      DINI gani imekupa kushambulia MUISLAMU wakati wenzio wanakufuru nawanakashifu Kwa njia hiyo hiyo kama sio mnafiki Mungu akudhalilishe maana hata ungeambiwa Mtume Alikuwa mwendazimu au yukowapi tukamuuwe ungewaonyesha aliko ungetetea makafiri ACHA ukafiri we dhehebu gani fala wewe uoni vya kuongea au mama Yako ukiulizwa alitiwa na mlevi utasema ndio aliinamishwa khaaaa fala kweli

    • @abdulazizkassim775
      @abdulazizkassim775 4 วันที่ผ่านมา

      @@IMRANITV1 kama anataka kulinganiya bassi alinganiye kwa kutumiya kweli , tafsir na maelezo sahihi
      Kama shafii na yule mwamba wa kimataifa DR ZAKIR NAIK

  • @richardkonzo5717
    @richardkonzo5717 4 วันที่ผ่านมา

    Baba ndio anajua uchungu wa kuzaa 😂😂😂

    • @twahahamisi9924
      @twahahamisi9924 4 วันที่ผ่านมา

      @@richardkonzo5717 kwahio unatumia ubini wa mama yako

  • @abdulnasuma9729
    @abdulnasuma9729 4 วันที่ผ่านมา

    Uyu jamaa anakuja vizuri sana mungu amlinde

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 4 วันที่ผ่านมา

      I LOVE JESUS CHRISTIAN❤❤❤❤❤❤❤❤ I'M CHRISTIAN ALLELUJAH

  • @clewis520
    @clewis520 4 วันที่ผ่านมา

    Mohammandi alipasuliwa akatolewa shetani….na akawekwa akili kwa bakuli…ahahaha

    • @Smart_jarm
      @Smart_jarm 4 วันที่ผ่านมา

      IPO SHIDA ASEE,SIAMINI KAMA WEWE NI UPO UPANDE WETU WAKIUME,HIZO NI FIKRA ZA KIANGLIKANA ZA KISHOGA😢

    • @hassanjuma2772
      @hassanjuma2772 3 วันที่ผ่านมา

      ​@@Smart_jarmusipate tabu na hawa watu wanaohitaji mchango wa dawa katika akili zao

  • @clewis520
    @clewis520 4 วันที่ผ่านมา

    Mohammandi alikufa baada ya kula sumu huko khaiba…

    • @Smart_jarm
      @Smart_jarm 4 วันที่ผ่านมา

      Ili ujue kuwa wewe ni mpumbavu hebu thibitisha hilo kwa hadithi sahihi?

    • @qwerqasd8597
      @qwerqasd8597 4 วันที่ผ่านมา

      Walio laaniwa wanatukana mitume wa Allah Allah akuongoze

    • @MohamedMohamed-u3t1n
      @MohamedMohamed-u3t1n 4 วันที่ผ่านมา

      Yesu si alipewa sifongo yenye siki (sumu kali) mathayo 4.5 iheshimu sumu
      imekupa ukombozi kama unavodai mana yesu aligoma kufa akapewa siki akafa kwa imani yako cha ajabu mnaiponda sumu wakati imekupa uzima😂😂

  • @favoritebrayo
    @favoritebrayo 4 วันที่ผ่านมา

    hawa waislam nimekuja gundua wanakula jaba aise story zao za jaba

  • @clewis520
    @clewis520 4 วันที่ผ่านมา

    …huyu ananjielewa kweli? Kwanini zipo hadithi dhaifu?…Quran pia ni hadithi dhaifu….huyu sayatin Matahkho

    • @Smart_jarm
      @Smart_jarm 4 วันที่ผ่านมา +1

      Kuna muda mnaongea kama mnakula mavi,kwaio unajua matumizi ya hizo hadithi????

    • @jacksonmwafongo1917
      @jacksonmwafongo1917 4 วันที่ผ่านมา +1

      Jamani ee kwanini utumie matusi kama hupendezewi si unacha kuliko kutukana huo ni ushamba wengine tunajifunza humo tumechoka kudanganywa Sasa kama we we tayari unaelimu tokomea mbali mjinga we uskoment upumbavu

    • @jakuabdull34
      @jakuabdull34 4 วันที่ผ่านมา

      Nahisi vyema kama hujaelewa uulize kuliko kuongea ujinga usioulewa hakuna aliyekuambia kuwa kuna qur ani dhaifu