Baba Yangu cover by Wemusic Band @wemusic studios

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 29

  • @goodluck373
    @goodluck373 ปีที่แล้ว +1

    Haleluya, ni kweli wimbo huu haujachuja hadi leo, na mmeutendea haki sana kuufanyia cover nzuri na ya kueleweka. Nahisi uwepo wa Mungu na nguvu zake ninaposikiliza kazi hii.

  • @conardmusic
    @conardmusic 4 ปีที่แล้ว +1

    Nani ako hapa kuabudu 2020,..... kwa kweli bwana wewe ni mkuu

  • @anithajoseph831
    @anithajoseph831 6 ปีที่แล้ว +2

    Mungu awabariki sana hakika kwa kweli Bwana ni Mkuu.

  • @farajaaugustino1175
    @farajaaugustino1175 6 ปีที่แล้ว +2

    blessed wependwa! msiache kumtumikia Mungu

  • @samsongwamaka6137
    @samsongwamaka6137 6 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri watumishi wa Mungu, keep it up

  • @frankgabriely9294
    @frankgabriely9294 4 ปีที่แล้ว

    Mko vizuri

  • @gideonimathew6491
    @gideonimathew6491 6 ปีที่แล้ว +1

    Kwa binafsi yangu nimebarikiwa Sanaaaa
    God is good

  • @danielkimaro8074
    @danielkimaro8074 6 ปีที่แล้ว +1

    Bleesed walimu wanguuu, , Mungu awainue

  • @shadymoses5813
    @shadymoses5813 5 ปีที่แล้ว

    Kinanda tune vizuri, nenda full range tusikie kwenye upper octaves. Ukiweza tumia inversions zinaongeza ladha.

  • @BarakaWaya
    @BarakaWaya 6 ปีที่แล้ว +2

    Nimempenda dada huyu leader. woooow

  • @rashidsimba5945
    @rashidsimba5945 5 ปีที่แล้ว

    Kali sana.I love it

  • @editamashaka9780
    @editamashaka9780 6 ปีที่แล้ว

    Bwana Yesu awabariki..

  • @AngelAfrica-w5x
    @AngelAfrica-w5x 6 ปีที่แล้ว

    wow ,so blessed. safi Elisha na wenzio

  • @imanizacharia5861
    @imanizacharia5861 6 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki sanaaa

  • @barakabelemanmsomba5771
    @barakabelemanmsomba5771 6 ปีที่แล้ว

    EASTER NA AGAPE NIME WAELEWA

  • @pastoreliamsika9355
    @pastoreliamsika9355 6 ปีที่แล้ว

    yes yes that's we need indeed
    Endeleeni mbele

  • @brightdeogratias6664
    @brightdeogratias6664 5 ปีที่แล้ว

    Beautiful song cover

  • @felixodundo2329
    @felixodundo2329 5 ปีที่แล้ว

    Best

  • @judithseni9326
    @judithseni9326 6 ปีที่แล้ว

    Ameen

  • @koyierbryan3089
    @koyierbryan3089 5 ปีที่แล้ว

    ameni

  • @martineliaza3650
    @martineliaza3650 6 ปีที่แล้ว

    very powerful

  • @ms.priscar
    @ms.priscar 6 ปีที่แล้ว

    powerful

  • @sintasmarty4974
    @sintasmarty4974 6 ปีที่แล้ว

    da hadi moyo unabubujika

  • @felixodundo2329
    @felixodundo2329 5 ปีที่แล้ว

    Best

  • @felixodundo2329
    @felixodundo2329 5 ปีที่แล้ว

    Best